Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS FRIDAY NOV 13,2015, FOR HARD NEWS,...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWSSS!!!! GAZETI LA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR (SMZ) LACHAPISHA...

Wakati mazungumzo ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar yakiwa yamepamba moto, uamuzi wa kufutwa matokeo ya uchaguzi umetangazwa rasmi katika Gazeti la Serikali la Novemba 6,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ!!!!! RAIS MAGUFULI KUTEUA WABUNGEE...? NI WAKINANANI...?...

 Rais John Magufuli anatarajiwa, wakati wowote kuanzia sasa, kuwateua baadhi ya watu wenye sifa kuwa wabunge ili aweze kuwapa majukumu ya kuongoza wizara atakapopanga safu ya Baraza la Mawaziri, hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WOLPER AWEKA PEMBENI UIGIZAJI....KISA KIZIMA HIKI HAPAAA

‘Mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper.UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAA WA FILAMU ESTER AANZA MAANDALIZI YA MTOTO WA PILI

Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amedaiwa kuanza maandalizi ya kupata mtoto wa pili kutokana na uzazi wake kuwa wa tabu. Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama.Rafiki wa karibu wa staa huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HILI LA MAWAZIRI, MILUZI ISIMPOTEZE RAIS MAGUFULI!

 Rais John Pombe Magufuli.RAIS John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza Baraza lake la Mawaziri muda wowote kuanzia wiki ijayo, atakapokuwa ameshamtangaza Waziri Mkuu, kisha kuthibitishwa na Bunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWAZI MIZENGWE: MWAKYEMBE WAZIRI MKUU...?

Mwakyembe Waziri Mkuu-Awabwaga akina Lukuvi, Prof. Muhongo, Makamba, Mwigulu na Ndugai-Utendaji kuwa wa mchaka mchaka-Wasomi mwazungumzia hali ya nchi itakavyokuwaVita ya Usika...-Ukawa wajipenyeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANNE MAKINDA AUKIMBIA USPIKA.....AINGIA MITINI DAKIKA ZA MWISHO LICHA YA...

 Aliyekuwa Spika wa Bunge la Kumi, Anne Makinda ameamua kukaa kando ya mbio za Uspika wa Bunge la 11, siku chache baada ya kufanya kampeni kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine.Taarifa za kuaminika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDUGAI: BUNGE LIJALO NI BALAA…AKUISHIA HAPO ALISEMA MANENO HAYA…

 MCHAKATO wa kujaza, kurudisha fomu za kuwania nafasi ya Spikawa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa wagombea ambao si wabunge, umemalizika rasmi jana ambapo mgombea mmoja Profesa Costa Mahalu aliyewahi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE ATINGA OFISINI KWAKE LEO LUMUMBA...AANZA KUPIGA MZIGO FASTA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS SUTARDAY NOV 14,2015, FOR HARD NEWS,...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZZ!!!!! MAALIM SEIF AZUGUMZA NA BALOZI WA EU NA VIONGOZI WA...

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amerejea kauli yake ya kutotambua kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 25 mwezi uliopita.Akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT!!!!!! LOWASSA KUONGEA NA WATANZANIA LEO JIJINI I ARUSHA....NA...

Aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa anatarajia kuhutubia mkutano wa kumnadi mgombea wa ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema na kuwashukuru Watanzania kwa kura walizompa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZ!!!!! LOWASSA AHUSISHWA VITA YA USPIKA CCM

 Lowassa ahusishwa vita ya uspika

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAISI MSTAAFU,JAKAYA MRISHO KIKWETE AINGIA MTAANI.....AFANYA 'SHOPPING’...

Kwa mara ya kwanza tangu aondoke madarakani mwanzoni mwa mwezi huu, jana Rais Jakaya Kikwete alionekana akifanya manunuzi katika maduka yaliyopo jengo la Mlimani City, jijini Dar es Salaam.Kikwete,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR MAGUFULI AIFUMUA IKULU.....AIPANGA UPYA KWA KUPUNGUZA OFISI NA WATENDAJI

Rais John Magufuli amezifumua na kuziunda upya baadhi ya ofisi za Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam pamoja na kuwaondoa baadhi ya watumishi ambao hawana ulazima katika mfumo wa utumishi wa Ikulu.Taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ!!!!!! RATIBA YA UCHAGUZI WA SPIKA WA BUNGE PAMOJA NA UTEUZI...

Spika  wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kuchaguliwa mjini Dodoma Jumanne ijayo, ratiba ya Bunge hilo imeeleza.  Kutokana na ratiba hiyo, ni wazi Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK HELLEN KIJO-BISIMBA KUPELEKWA INDIA KWA MATIBABU

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba anatarajia kusafirishwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.Novemba 7, mwaka huu Dk Bisimba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERTS!!!!!! KIJANA ALIYESAMBAZA TAARIFA ZA MKUU WA MAJESHI KULISHWA...

 Mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT), Benedict Ngonyani anayekabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za uongo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange amelishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ!!!! PIGO CHADEMA: MWENYEKITI WA CHADEMA AUAWA KWA KUKATWA...

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini Katoro baada ya kushambuliwa kwa mapanga na shoka na kumjeruhi vibaya sehemu mbalimali za mwili wake hasa kichwani wakati akifanya...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live