Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

BREAKING NEWZZZ!!!! PIGO CHADEMA: MWENYEKITI WA CHADEMA AUAWA KWA KUKATWA MAPANGA..JIONEE TUKIO ZIMA HAPA

$
0
0


Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini Katoro baada ya kushambuliwa kwa mapanga na shoka na kumjeruhi vibaya sehemu mbalimali za mwili wake hasa kichwani wakati akifanya kampeni za kumnadi diwani wake


Mawazo aliyewahi pia kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha amefariki dunia akiwa hospitalini alipokimbizwa katika jitihada za kujaribu kuokoa maisha yake. Mganga Mkuu Geita amethibitisha.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles