Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

STAA WA FILAMU ESTER AANZA MAANDALIZI YA MTOTO WA PILI

$
0
0
Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amedaiwa kuanza maandalizi ya kupata mtoto wa pili kutokana na uzazi wake kuwa wa tabu.

 
Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama.

Rafiki wa karibu wa staa huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake juzikati alilitonya Ijumaa kuwa, pamoja na Ester kuwa na mtoto mmoja amekuwa ni mtu wa kusumbuliwa na tumbo la uzazi na uzazi wake huwa ni wa tabu hivyo kwa sasa anakesha kwa wataalam wa uzazi ili kukaa mkao wa kuleta kiumbe kingine duniani.

Baada ya rafiki huyo kunyetisha taarifa hiyo, mwandishi alimwendea hewani Ester na kumweleza alichokisikia ambapo alikiri kwenda hospitali na kushangaa mwandishi kujua habari zake ambazo yeye hakupenda kuzianika mapema.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles