
Mwakyembe Waziri Mkuu
-Awabwaga akina Lukuvi, Prof. Muhongo, Makamba, Mwigulu na Ndugai
-Utendaji kuwa wa mchaka mchaka
-Wasomi mwazungumzia hali ya nchi itakavyokuwa
Vita ya Usika...
-Ukawa wajipenyeza CCM
-Vuta ni kuvute bwaga nikubwage
Muhimbili bado inahitaji Mashine zaidi
Makala kemkem za kuelimisha na kusisimua
Kwa haya na mengine mengi, soma Gazeti la Uwazi Mizengwe, Ijumaa hii.