HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THURSDAY OCT 22,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here..................................
View ArticleUKAWA WATISHIA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA JUMAPILI... SABABU HIZI HAPA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetishia kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.Mkurugenzi wa...
View ArticleKIKWETE: "KUTUMIA FEDHA NYINGI KUJENGA JESHI LETU SIYO UBADHIRIFU WA FEDHA"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania inaimarisha Jeshi lake – Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), siyo kwa nia ya kumchokoza...
View ArticleMAMBO YATAKAYOSABABISHA KURA YAKO IWE "IMEHARIBIKA" AU "SAHIHI" SOMA HAPA NI...
Kura halali zitakazopigwa siku ya Jumapili kwa ajili ya kuwachagua viongozi kwenye Uchaguzi Mkuu zinaweza kuharibika ikiwa hazitapigwa kwa usahihi na kuondoa utata..Kura iliyoharibika ni ile...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU KUWEPO KWA...
Ndugu Waandishi wa Habari,Mabibi na Mabwana,Kama mnavyojua tarehe 25 ya mwezi huu wa Oktoba mwaka 2015 siku ya Jumapili katika nchi yetu kutafanyika Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge na...
View ArticleCHADEMA WAFICHUA MBINU ZILIZOPANGWA KUVURUGA UCHAGUZI WA JUMAPILI HII
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi (kulia) akifafanua jambo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari**ZIKIWA zimebaki siku tatu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu...
View ArticleDIWANI ATIWA MBARONI KWA KUSAMBAZA UJUMBE WA UONGO WHATSAPP
Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 imebisha hodi mjini Moshi baada ya mgombea Udiwani kata ya Soweto, Collins Mayyutta kushitakiwa kwa kosa linaloangukia chini ya sheria hiyo.Mayyuta alifikishwa...
View ArticleUFAFANUZI WA SERIKALI KUHUSU UKOMO WA MADARAKA YA RAIS NA UHAI WA BARAZA LA...
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ukomo wa madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwisho wa uhai wa Baraza la Mawaziri kwa kadri Tanzania inavyoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika...
View ArticleBAA ZOTE ZAAGIZWA KUFUNGWA MKESHA WA UCHAGUZI
Serikali jijini Dar es Salaam imeagiza baa zote zinazouza pombe mpaka asubuhi kusitisha shughuli hiyo mkesha wa siku ya uchaguzi ili kuimarisha usalama Jumapili ijayo. Aidha, imesisitiza kwamba kila...
View ArticleBREAKING NEWS..!! NAPE NNAUYE APATA AJALI MBAYA YA GARI AKITOKEA DAR KWENDA...
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam.Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo...
View ArticleWANAWAKE NA WATOTO WAANZA KUODOKA MKOANI MTWARA WAKIHOFIA KUTOKEA KWA VURUGU...
Shirika la utangazaji la Ujererumani,DW limeripoti leo mchana kuwa idadi kubwa ya watu wameanza kuondoka mkoani Mtwara wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi. Kwa mujibu wa Dw,watu...
View ArticleKESI YA KUKAA MITA 200 NI KAA LA MOTO... MAWAKILI WATOANA JASHO KWA VIFUNGU...
Mvutano mkali wa hoja za kisheria ulitikisa kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana wakati Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Tulia Ackson alipoiomba mahakama itupilie mbali maombi ya...
View ArticleVIDEO: MAHOJIANO YA BBC NA MGOMBEA URAIS WA UKAWA, MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA...
Zuhura Yunus alimhoji Lowassa akiwa nyumbani kwake Monduli, Arusha na kwanza akataka maelezo zaidi kuhusu kipaumbele chake cha elimu.Mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo...Edward Lowassa: Watanzania...
View ArticlePICHA 11 ZA MAFURIKO YA MAGUFULI JIJINI DAR ES SALAAM-OKTOBA 21,2015
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwasalimia baadhi ya wakazi wa mji wa Kigamboni,waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana uwanja wa Machava Kigamboni .Baadhi ya wananchi...
View ArticlePICHA 16 ZA MAFURIKO YA LOWASSA HUKO TANGA- JANA OKTOBA 21
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akipunga mkono wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Indian Ocean katika mkutano wa kampeni mjini Tanga jana Jumatano...
View ArticleMAGUFULI ASIMAMISHA JIJI LA DAR... ASEMA TANZANIA INAHITAJI RAIS MKALI…...
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema nchi inahitaji rais mkali ili mambo yaende huku akishangazwa na mmoja wa vigogo kufungua kesi kupinga mradi wa maji.Amesema watu...
View ArticleMKUU WA JESHI LA POLISI (IGP) APIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO YA WATU SIKU YA...
Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani.Pia, Jeshi hilo limesema mikusanyiko ya aina yoyote...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS FRIDAY OCT 23,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here.............................
View ArticleLOWASSA KUHUTUBIA TAIFA LEO OKTOBA 23, 2015 SAA TATU USIKU KWA NJIA YA TV NA...
TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKupitia taarifa hii kwa vyombo vya habari, tunapenda kuutaarifu umma wa Watanzania wote nchini kuwa Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa...
View ArticleHATMA YA KESI YA KUKAA MITA 200 BAADA YA KUPIGA KURA KUTOLEWA LEO
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo itatoa uamuzi kuhusu shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Amy Kibatala likihoji uhalali wa...
View Article