CCM WATOA RATIBA YA KUFUNGA KAMPENI... KIKWETE KUTIKISA MWANZA, MKAPA KUITEKA...
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.Kufunga KampeniCCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni...
View ArticleKORTINI KWA KUMTUKANA RAIS KIKWETE NA RIDHIWAN WAKATI AKIWA BAA
Mkazi wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), jana alipandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.Mbali na shitaka hilo,...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA URAIS WA CCM AWATAKA WANANCHI KUTOMCHAGUA LOWASSA KWA...
MGOMBEA Mwenza wa Urais wa CCM, Samia Hassan Suluhu amewaonya wananchi kutochagua upinzani kwani mgombea wao ni goigoi na anaweza kuunda serikali goigoi.“Nawaombeni wana Iringa msichague watu wa...
View ArticleHATIMAYE MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA KUKAA MITA 200 BAADA YA KUPIGA KURA
Mahakama Kuu Dar leo imetupilia mbali shauri la tafsiri ya sheria ya mpigakura kukaa au kutokaa umbali wa mitaa 200 kutoka eneo la kupiga kura. Kwa mujibu wa majaji waliotoa maamuzi hayo wamesema...
View ArticlePICHA ZA MAFURIKO YA LOWAWASAA RUAHA, MIKUMI NI BALAA
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015 Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Kulia) akiambiwa jambo na mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi...
View ArticleLOWASSA ATOA ONYO KWA NEC NA POLISI MCHANA HUU.... SUMAYE ASEMA CCM...
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ameionya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Jeshi la Polisi...
View ArticleTUNDU LISSU ‘ANUSA’ BAO LA MKONO SINGIDA MASHARIKI
Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Antiphas Mughwai Lissu, amesema kwamba anahofia uchaguzi mkuu hautakuwa huru na wa haki akidai kwamba Jeshi la Polisi...
View ArticleLOWASSA: NITASHINDA KWA ASILIMIA 80....NAOMBA MFANYE NIPATE HIYO,NITAKUWA...
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 80 na kwamba atakuwa rais wa mabadiliko na siyo maneno. Aliyasema hayo jana...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS SUTARDAY OCT 24,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here...............................
View ArticleBREAKING NEWZZZZ!!!!! GARI LA MGHAMBA EXPRESS LAPATA AJALI LIKIWA LIKITOKEA...
GARI LA MGHAMBA EXPRESS LAPATA AJALI NA KUJERUHI WATU KADHA LIKIWA LIKITOKEA KAHAMA KUELEKE JIJINI ARUSHA, ENDELEA KUTEMBELEA DUNIA KIGANJANI KWA HABARI ZAIDI
View ArticleHOTUBA YA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA TIKETI CHADEMA...
Ndugu watanzania wenzangu.Imebaki siku moja tu kabla hatujapiga kura katika Uchaguzi Mkuu hapo tarehe 25 mwezi huu.Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka na rehema zake kwa kutufikisha hapa hii leo...
View ArticleHATIMAYE WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA WARUHUSIWA KUPIGA KURA
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amesema wanafunzi wa vyuo vikuu waliojiandikisha Dodoma watapiga kura kwenye maeneo waliyojiandikisha.Alisema hayo jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE NA MANAIBU KATIBU WAKUU WATANO WAPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa leo, Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbali mbali.Aidha, Rais Kikwete amewateua...
View ArticleMREMBO AMTIBU AUNT KITAMBI
MREMBO aliyejulikana kwa jina la Fatina Deus, ‘Fettylicious’ amesema amempa bure tiba ya kitambi staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ili kumuondolea kero aliyokuwa akiipata.Akipiga stori na gazeti hili,...
View ArticleKAJALA: AFADHALI UCHAGUZI UMEFIKA
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa anamshukuru Mungu uchaguzi umefika kitu ambacho alikuwa akikiomba usiku na mchana.Akizungumza na gazeti hili, Kajala alisema katika kipindi...
View ArticleMAINDA AWAOMBA RADHI MASHABIKI
KUTOKANA na kukaa kimya kwa muda mrefu bila kujihusisha na kazi yake ya uigizaji, msanii wa muda mrefu, Ruth Suka ‘Mainda’ amewaomba radhi mashabiki zake kwa kitendo hicho na kuweka wazi kuwa yuko...
View ArticleDIAMOND, OMMY DIMPOZ WAZINGUANA MAREKANI!
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.MAPENZI yanatingisha dunia! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia nyota wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuzinguana laivu...
View ArticleUBUNGE KUMWACHISHA KINGWENDU UIGIZAJI
Mchekeshaji maarufu Bongo, Rashidi Mwinishehe ‘Kingwendu’ ameweka wazi kwamba yupo njiani kuachana na mambo ya uigizaji mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge.Akizungumza na mwandishi wetu, Kingwendu...
View ArticleMASTAA WAZUNGUMZIA UCHAGUZI
IKIWA kesho Jumapili ndiyo siku ya uchaguzi mkuu ambapo Watanzania wataamua nani awe rais wao, mastaa mbalimbali wamezungumza na Risasi Jumamosi kueleza walivyojiandaa na uchaguzi huu ambao unaonekana...
View Article