MWENYEKITI WA TUME JAJI LUBUVA ATOA UAMUZI KUHUSU SHERIA YA KUKAA MITA 200...
Majaji zaidi ya 40 wamepatiwa mafunzo ya namna bora na ya haraka zaidi ya kuendesha kesi za uchaguzi endapo zitajitokeza baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.Akiongea katika ufunguzi wa mafunzo hayo...
View ArticleMAJONZI YATAWALA : SAFARI YA MWISHO YA MWENYEKITI MWENZA WA UKAWA DR. MAKAIDI...
Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, katika viwanja vya Karimjee, posta, jijini Dar Es Salaam.Dr. Makaidi Amezikwa...
View ArticleMAGUFULI ASEMA MABADILIKO YA KWELI HAYAWEZI KULETWA KWA KUZUNGUSHA MIKONO
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi.Kutokana na hali hiyo, amesema yeye...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NDANI WA ZAMANI LAWRENCE MASHA AKAMATWA NA POLISI KWA...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha pamoja na viongozi wengine wa Chadema Wilaya ya Mpanda, wamekamatwa na polisi leo , kwa kile kinachodaiwa kufanya kampeni katika kambi ya wakimbizi...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS WEDNESDAY OCT 21,2015, FOR HARD NEWS,...
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here..............................
View ArticleHAYA HAPA MATOKEO YA ARSENAL VS FC BAYERN MUNICH, BATE BORISOV VS BARCELONA...
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea leo October 20 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Miongoni mwa mchezo uliyovuta hisia za mashabiki wengi wa soka ni mchezo...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA UWANJA WA NDEGE KATIKA KAMBI YA JESHI YA NGERENGERE...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana amezindua uwanja wa ndege katika kambi ya kijeshi ya anga iliyoko Ngerengere mkoani Morogoro ambapo alisema anajivunia kutoka madarakani akiwa ameiacha nchi katika hali...
View ArticleJANUARY MAKAMBA ATAJA SABABU TISA KWANINI CCM ITASHINDA KATIKA UCHAGUZI MKUU...
Na;January MakambaTarehe 25 mwezi huu Oktoba, Watanzania watapiga kura kumchagua rais wao wa tano, wabunge na madiwani.Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AKABIDHI POLISI MAGARI MAPYA 399 KATI YA 777 YALIYOAGIZWA
Pichani ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe, Mkuu wa Polisi, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777...
View ArticleRAIS KIKWETE ATAKA JESHI LA POLISI LISIWAFUMBIE MACHO WATU WATAKAOLETA VURUGU...
Zikiwa zimesalia siku nne Uchaguzi Mkuu ufanyike, Rais Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwa makini na watu aliowataja kuwa chanzo cha kuleta vurugu siku ya kupiga kura, Jumapili...
View ArticleMBOWE: HATUTAKUWA TAYARI KUYAKUBALI MATOKEO KAMA ITABAINIKA YAMEPIKWA !!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefichua mazito baada ya kueleza hadharani kuwa kamwe chama chake na washirika wao wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi...
View ArticleTV STATIONS ZA KENYA NA UGANDA ZINA UPENDELEO SANA KWA LOWASSA, KWANINI ??...
Huwa napitia kwa ufupi taarifa za habari za TV stations za Kenya na Uganda.Vituo kama WBS, NTV, CITIZEN TV, K24, KTN nk. Haiwezi kupita siku mbili ktk taarifa yao ya habari za kimataifa bila...
View ArticleMESSAGE FROM JUMA MWAPACHU TO UKAWA AND LOWASSA SUPPORTERS
My dear friends, UKAWA and Lowassa supporters. We have five days to go before the election of our lives. We are all mobilised and galvanised to vote CCM out of power.Our resolve and commitment is to...
View ArticleMATUSI KWA LOWASSA YALIVYOBUMA NA KUMUONGEZEA UMAARUFU ZAIDI
Matusi ni silaha sawa na zilivyo silaha nyingine za kupambana na adui, lakini silaha hii haijafua dafu kwa Lowassa. Wanaompenda Lowassa hawakatishwi na matusi kwa Lowassa. Wanaompenda Lowassa na UKAWA...
View ArticleHUYU DADA ANAJIITA JACK WOLPER AMEWEZA SANA KWENYE HIZI KAMPENI
Yaani huwezi kumfananisha na activist yeyote. Yaani ukichunguza post zote za siasa alizopost Insta utakubaliana na mimi kwamba ameonesha ubunifu wa hali ya juu na weledi wa kumnadi Lowasa na CHADEMA....
View ArticleNINACHOKIONA; SERIKALI YA MAGUFULI INAYOKUJA NA SHAKA ILIYOPO
Ndugu zangu,Naziona kila dalili, na nimelisema hili zaidi ya mwezi mmoja uliopita, kuwa mgombea urais wa CCM, John Pombe Magufuli ndiye atakayeunda Serikali ijayo ya Awamu ya Tano. Na sasa naiona pia...
View ArticleHALI YA MSHAMBULIAJI WA ZAMANI WA YANGA NSA JOB SI NZURI
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Coastal Union (kulia).Muonekano wa X-Ray ya kichwa ya Nsa Job baada ya kupigwa jiwe mjini Moshi juzi Usiku.UCHUNGUZI wa mwanzo wa madaktari katika Hospitali ya KCMC...
View ArticleSABABU 5 ZA KUMCHAGUA MAGUFULI HIZI HAPA
Dk. John Magufuli (CCM) .Na Daniel MbegaILIKUWA miezi, wiki na sasa zimesalia siku tu kabla Watanzania hawajaamua kumchagua rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Oktoba 25,...
View ArticleBEYONCE NA JAY Z WAFUNIKA KATIKA TAMASHA LA TIDAL X 1020, MAREKANI
Madiva wawili Beyonce na Nick Minaj wakiwa katika pozi kwenye Tamasha la Tidal X 1020 lilofanyika jana katika jiji la New York, Marekani. Rapa Jay Z akifanya makamuzi katika tamasha hilo.Beyonce...
View ArticleBREAKING NEWS: KIUMBE WA AJABU MWENYE UMBO KAMA BINADAMU AONEKANA VIWANJA VYA...
Kuna tetesi Kiumbe wa Ajabu mwenye Umbo kama Binadamu aonekana Viwanja vya kampeni za Mgombea mmoja Usiku huu mara baada ya Mkutano wa UKAWA kuisha.Hata hivyo tetesi hizi bado hazijathibitishwa,...
View Article