Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWATAKA WATANZANIA WAMSAMEHE KWA MATAMSHI...

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, jana alitumia Ibada ya Shukrani iliyofanyika katika Parokia ya Hananasifu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kulitumikia Taifa kwa zaidi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: HAYA NDIYO MAAMUZI YALIYOTOLEWA LEO KWA SHEKHE PONDA NA...

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUHUDIA HAPA MAZISHI YA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE...SIMANZI YATAWALA LUDEWA

Mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe aliyefariki kwa ajali ya chopa umezikwa jimboni kwake huku viongozi mbalimbali,wapiga kura wake na watu mbalimbali wenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI APONDA AHADI YA LOWASSA KUFUTA UMASIKINI NDANI YA SIKU 100......

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kujipanga kufanya kazi kwa sababu Serikali yake haitavumilia watu wavivu.Akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Shule ya Msingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA: NAJISIKIA KUDEKA NINAPOYAONA MAFURIKO HAYA... NIPENI KURA ZA KUTOSHA...

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema amejiandaa na yupo tayari kuwaongoza Watanzania akiwa rais wa awamu ya tano.Ā Ā Akizungumza kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe- Mbeya Mjini, Lowassa alisema:...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE AFICHUA NJAMA ZA CCM KUIBA KURA USIKU WA TAREHE 24 OCTOBA KABLA YA...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema wamegundua njama za kuiba kura zitakazofanywa na CCM usiku wa tarehe 24 kwa kupita mitaani na kugawa fedha za kura feki.Mbowe alitoaĀ  kauliĀ  hiyoĀ  jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM KUZUIA WANAFUNZI WA VYUO WANAOSAFIRISHWA KUPIGA KURA

Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma kimesema kuwa kimejipanga kuhakikisha wananchi ambao sio wakazi wa maeneo husika mkoani humo hawashiriki kuwachagua viongozi wasiowahusu.Katibu Msaidizi wa CCM...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA WASIMAMISHA KAMPENI ZAO KESHO, SOMA KISA KIZIMA HAPA

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitasitisha kampeni zake ngazi zote kesho tarehe 20 Oktoba kutoa fursa kwa wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza, Dk. Emmanuel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS TUESDAY OCT 20,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...

Ā  I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here...............................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA WASIMAMISHA KAMPENI ZAO NCHI NZIMA LEO... KISA KIZIMA HIKI HAPA

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimesitisha kampeni zake ngazi zote ili kutoa fursa kwa wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza, Dk. Emmanuel Makaidi.Dk. Makaidi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ATUA KWA KISHINDO TUNDUMA BAADA YA MITAMBO KUKOROFISHA JUZI... TAZAMA...

Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Freeman Mbowe wakiongea na wanaanchi wa Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi TundumaMhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAZUNGUMZIA TUHUMA ZA MBOWE KUHAMISHA MABILIONI YA PESA NJE YA NCHI

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekashangwazwa na tuhuma za uongo zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe za kuhamisha fedha katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YATOA ONYO KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUTANGAZA MATOKEO

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevionya vyombo vya habari vitakavyotangaza matokeo ya uchaguzi mkuu kinyume cha sheria na taratibu kwamba haitasita kuviadhibu.Mbele ya wanahabari jana jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APOKELWA KIFALME JIMBONI KWA MWAKYEMBE HUKO KYELA JIJINI MBEYA......

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAMSHITAKI RAIS KIKWETE UMOJA WA MATAIFA, AU NA KATIKA MAHAKAMA YA...

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.Akizungumza na waandishi wa habariĀ  jana mchana ukumbi wa Kisenga uliopo Millenium...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA JINA LAKO HALIJABANDIKWA KITUONI,HUTARUHUSIWA KUPIGA KURA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATAKIWA KUDHIBITI VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki.Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILICHOJIRI MAHAKAMANI MUDA HUU KESI YA KULINDA KURA KWA KUKAA UMBALI WA MITA...

Mahakama Kuu ya Tanzania, imehairisha kesi namba 37 ya mwaka huu, ya mlalamikaji kuiomba mahakama itoe tafsiri ya kifungu cha 104 kidogo cha (1) cha Sheria ya Uchaguzi kama kinazuia ama la wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABABU ZA RAIS KUTOVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI HADI SASA ZAWEKWA WAZI... NA MIMI...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju ametoa mwongozo wa kisheria kufuatia sintofahamu iliyoibuka kwa baadhi ya watanzania kuhusu sababu zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutovunjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS : MADEREVA WA MALORI WAFUNGA BARABARA YA MOROGORO BAADA YA...

Madereva wa magari makubwa aina ya Lori wafunga Barabara ya Morogoro baada ya mwenzao kupigwa risasi na Bosi wake-Yadaiwa dereva alikula njama kuiba mafuta kisha kutaka kulichoma gari.abari za asubuh...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live