PAROKO AACHA SWALI GUMU MSIBA WA DEO FILIKUNJOMBE
PAROKO wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Epifania Kijichi, Dar es Salaam, Respis Mzena, amehoji matukio ya watu wengi hasa wanasiasa kufa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kama ni mapenzi...
View ArticleMPALESTINA ALIYEWASHAMBULIA POLISI AUAWA
Mwanaume Mpalestina (mwenye jaketi la njano) mjini Jerusalem akimshambulia polisi wa Israel kwa kisu....Akiendelea kumchoma kwa kisu polisi.Polisi wakimuokoa mwenzao katikati baada ya kuchomwa kisu na...
View ArticleSHILOLE AAHIDI KUCHORA TATTOO NYINGINE YA NUH MZIWANDA KWENYE KALIO LAKE...
Hivi karibuni Zuwena Mohamed ‘Shilole’ alichora tattoo yenye jina la boyfriend wake Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye kifua chake, ikiwa ni ishara ya kuwa mapenzi yao yanazidi kushamiri. Kama vile...
View ArticleSIX UN-TOUCHABLE PHOTOS OF LOWASSA "MAFURIKO" IN MBEYA REGION... YOU MUST SEE
This is six un-touchable photos of lowassa "mafuriko" in mbeya region... you must see
View ArticleHAYA SASA MAGUFULI NAYE AINGIA MITINI MDAHALO WA URAIS... NAYE AFUATA NYAYO...
Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Magufuli, pamoja na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshindwa kushiriki...
View ArticleBREAKING NEWZ!!! KATIBU WA BUNGE APATA AJALI AKIENDA LUDEWA KUMZIKA FILIKUNJOMBE
Katibu wa bunge amepata ajali akiwa anaelekea Ludewa kumzika Filikunjombe.....wote wametoka salama.
View ArticleBREAKING NEWS: CHOPA YA LUSINDE YAPATA HITILAFU,,AAPA KUTOIPANDA
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde Chamwino. Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde ameapa kutotumia tena usafiri wa anga katika kampeni, baada ya...
View ArticleMASTAA 5 BONGO WENYE VIPAJI,LAKINI TATIZO NYOTA
KATIKA ulimwengu wa muziki Bongo, tumekuwa tukiwasikia wasanii wachache wakivuma ndani na nje ya nchi huku wakifanya kazi na wasanii mbalimbali wa nchi tofauti na Tanzania. Pamoja na hao wachache...
View ArticleSUPER STAR WA BONGO MOVIE JACKY WOLPER NDOA YAMTIA UCHIZI
CHIZIKA! Wakati hekeheka za maandalizi zikipamba juu ya ndoa ya karne ya staa wa sinema za Kibongo, Wolper, mwanadada huyo anaonekana kuingiwa na ‘uchizi’ juu ya suala hilo ambapo muda wote anawaza ni...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS MONDAY OCT 19,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
.I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here...................................
View ArticlePICHA ZA MKUTANO WA KIHISTORIA WA LOWASSA JANA JIJINI MBEYA... ILIKUWA NI...
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu",...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA AMSHAMBULIA LOWASSA KUHUSU AFYA YAKE.... ADAI MWALIMU NYERERE...
Mjumbe wa kamati ya ushindi ya CCM Ndugu.Mwingulu Nchemba,akizungumza na wananchi katika moja ya mikutano ya kampeni inayoendelea.Akiwa mkoani Mbeya wilaya ya Ileje amewaasa watanzania kutunza kadi za...
View ArticleMAMA LOWASSA ATOA KICHAPO UKUMBINI BAADA YA KUSHIKWA PABAYA NA MLEVI
Watu wanatabia Mbaya. Mama wa watu kaingia vizuri ukumbukini, Njemba ikampalamia na 'kumshika pabaya'Uvumilivu ukamshinda mama Lowassa na kujibu mapigo.Kuona video hiyo, <<...
View ArticleVIJANA WA CCM WASHAMBULIWA KWA MAPANGA WAKATI WAKIENDA KUANDAA MKUTANO WA...
VIJANA wawili wanaoaminika kuwa ni wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Nzega, wamejeruhiwa na watu wasiojulikana baada ya kuvamiwa walipokuwa wakielekea kuandaa mkutano wa kampeni wa...
View ArticleMASOGANGE ANASWA LIVE NA MIDUME MIWILI HOTELINI WAKIFANYA YAO
Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti.Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri...
View Article