Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

PICHA ZA MKUTANO WA KIHISTORIA WA LOWASSA JANA JIJINI MBEYA... ILIKUWA NI ZAIDI YA MAFURIKO

$
0
0

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya Oktoba 18, 2015
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya jana Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera zinazotekelezeka


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles