Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

WANAWAKE NA WATOTO WAANZA KUODOKA MKOANI MTWARA WAKIHOFIA KUTOKEA KWA VURUGU BAADA YA UCHAGUZI

$
0
0

Shirika  la  utangazaji  la  Ujererumani,DW  limeripoti  leo  mchana  kuwa idadi kubwa ya watu  wameanza kuondoka  mkoani Mtwara  wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi.
  
Kwa mujibu wa Dw,watu wengi  wanaoondoka  ni wanawake na watoto, hali ambayo inaelezewa inatokana na vurugu za gesi za mwaka 2013,  kuonekana kwa baadhi ya vifaa vya jeshi na wanajeshi wakiwa kwenye vifaru.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles