Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upinzani Wamtega Rais Magufuli....Watumia Njia Mbadala Bungeni Kukumbushia...

Kambi ya Upinzani imelizidi maarifa  Bunge na kurejesha sakata la kuuzwa nyumba za Serikali ambalo juzi lilisababisha kiti cha Spika kuagiza yaondolewe maneno yanayomtaja Rais katika hotuba ya maoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atishia Kuwatumbua JIPU Mawaziri Wawili... Wenzao Wabaki Vinywa...

Operesheni ya kutumbua majipu ya Rais John Magufuli nusura iwaangukie Mawaziri wawili ambao  pia walikuwa  manaibu  mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Nne.Taarifa kutoka katika chanzo cha kuaminiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasifu Wa Brazil Na Uruguay Kabla Ya Michuano Ya Copa America Itakayorushwa...

 Brazil Ni taifa lenye kuongoza kwa rekodi nyingi katika historia ya Kombe la Dunia. Ndio taifa pekee lililoshiriki fainali za Kombe la Dunia bila kukosa tangu kuanzishwa kwake mwaka 1930. Na ndio...

View Article

Mkuu Wa Wilaya Ya Bukombe Asema Maandamano Ya Walimu Bukombe Ni Batili

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu Watatu Wauawa Kwa Kukatwa Mapanga na Mashoka Jijini Mwanza

Mnamo tarehe 18.05.2016 majira ya saa 20:30hrs katika msikiti wa masjid rahman uliopo ibanda relini mtaa wa utemini @ mapankini kata ya mkolani wilaya ya nyamagana jiji na mkoa wa mwanza. Watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe, Halima Mdee na John Heche Wawekwa Kitimoto.....Wahojiwa Kwa...

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto (ACT-Wazalendo) na wenzake wawili, jana wamehojiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, George Mkuchika kwa kufanya fujo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Edward Lowassa na Fredrick Sumaye Watajwa Katika Sakata la Uuzwaji wa Nyumba...

Uuzwaji wa nyumba za serikali umegeuka mwiba huku wabunge wakiendelea kuhoji hatua zilizochukuliwa kutokana na kadhia hiyoHatua hiyo iliyotekelezwa mwaka 2002  hadi 2004 ilizusha malalamiko mengi tangu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magari Ya Washawasha Kugeuzwa ya Zimamoto

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Yusufu Hamad Masauni, amesema Serikali iko katika mchakato wa kuangalia uwezekano wa kubadili matumizi magari ya polisi ya kuzuia ghasia kwa kurusha maji ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata la Lugumi: CHADEMA Yajipanga Kumng'oa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema uzito wa Rais John Magufuli kumwajibisha Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga kutokana na kutajwa kuhusika na Kampuni ya Lugumi inayodaiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanaharakati na Wanasiasa Waaswa kuacha kubeza Mafanikio ya Serikali ya awamu...

Wanaharakati na wanasiasa wanaobeza juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano, wametakiwa kuacha kuupotosha umma juu ya mafanikio yaliyofikiwa na Serikali hiyo chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli.Kauli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majaliwa: Rais Magufuli hakukosea kuzuia sukari kuingia nchini kiholela

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema kauli ya Rais John Pombe magufuli ya kuzuia kuingizwa kwa sukari kiholela nchini ilikuwa ni katika kulinda viwanda vya ndani.Aidha Majaliwa amesema kuingia kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Akutana Na Mabalozi Mbalimbali Pamoja Na Katibu Mtendaji Wa...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basi la Mwendo Kasi Lagonga na Kuua Mtoto Jijini Dar es Salaam

Basi la mwendo kasi ( DART)  limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hiloAjali hiyo imetoke leo katika  eneo la Shekilango...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bomba la Mafuta Kutoka Uganda Kuongeza Ajira

Serikali  imetaja manufaa ya mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania kuwa miongoni ni kuongezeka kwa uwekezaji wa fedha za kigeni na fursa za ajira.Waziri wa Nishati na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Wanafunzi Wote Nchini Watakalia Madawati

Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa inaendelea kuweka utaratibu kuongeza madawati na miundombinu ya vyumba vya madarasa nchini, kuhakikisha wanafunzi wote wanaokaa chini na kurundikana madarasani,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadakwa Wakisafirisha kilo 500 za Mirungi kwa Kutumia Gari Dogo

Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia wakazi wawili wa Mtaa wa Nyegezi, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.Kamanda wa Polisi mkoani humo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Mkoa na Waziri Kitwanga Watofautiana Kuhusu Kuwepo Kwa Tawi la...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles Kitwanga na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela wametofautiana juu ya taarifa za kuwapo kwa tawi la kundi la kigaidi la Islamic State (IS) jijini TangaJuzi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Here Are All Tanzania NewsPaper Today 20th May 2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atoa Salamu za Pole kwa Wakazi wa Jiji la Mwanza Kufuatia...

Rais John Magufuli ametoa salamu za pole kwa wakazi wa mkoa wa Mwanza, kutokana na mauaji ya watu watatu, waliouawa kwa kukatwa mapanga wakiwa msikitini.Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Nishati Yatengewa Tril.1.22/- Katika Bajeti ya Mwaka wa fedha 2016/17

WIZARA ya Nishati na Madini imetengewa Sh trilioni 1.22 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2016/17 huku fedha za miradi ya maendeleo zikiwa ni asilimia 94 ya fedha hizo.Pia katika kuongeza kiwango kikubwa...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live