Makamu wa Rais Atema Cheche.... Wakuu wa Mikoa na Wilaya Watakaopuuza Agiza...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameagiza wakuu wa mikoa ya Geita, Arusha na Kagera kuhakikisha wanaondoa mifugo itokayo nje ya nchi pamoja na kuwaondoa wanachi waliovamia maeneo ya hifadhi za taifa...
View ArticleSerikali Kuajiri Askari Wapya 3700.... Askari 7000 na Wakaguzi 1300...
Serikali inatarajia kumwaga ajira kwa askari katika mwaka ujao wa fedha.Taarifa juu ya ajira hizo, zilitolewa jana bungeni na waziri mwenye dhamana. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato ya Matumizi ya...
View ArticleKatibu Mkuu Chadema Ziarani Ghana
Katibu Mkuu wa Chadema Dk Vincent Mashinji ameanza ziara ya kikazi ya siku tano nchini Ghana ambako pamoja na shughuli nyingine, atashiriki mkutano wa kimkakati kuhusu masuala ya uchaguzi. Katika ziara...
View ArticleBodaboda Wagongana Jijini Mwanza, mmoja afariki
Mwendesha pikipiki ambaye hajafahamika amefariki dunia baada kugongana uso kwa uso na mwenzake, eneo la Mabatini jijini Mwanza. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi alisema bodaboda mwingine...
View ArticleMtu Mwingine Auawa Kwa Kukatwa Mapanga Usiku Sengerema Mkoani Mwanza
Wakati upelelezi wa tukio la watu saba wa familia moja kuuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana ukiendelea, mauaji mengine ya aina hiyo yametokea wilayani Sengerema. Safari hii, mkazi wa...
View ArticleMabasi ya Mwendo Kasi ( Dart ) Yaanza kwa Changamoto Lukuki.... Mfumo wa...
Huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka imeanza rasmi jana jijini Dar es Salaam huku yakilalamikiwa na watumiaji wakiwemo baadhi ya watu waliokuwa na msamaha wa kusafiri bila kutoa nauli, ambao...
View ArticleWalimu 35,411 Kuajiriwa Mwezi wa 7 Mwaka Huu
Walimu 35,411 nchini wataajiriwa katika shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2016/2017.Watakaokaidi kwenda kuripoti katika mikoa ya pembezoni, hawataajiriwa na serikali.Hatua hiyo...
View ArticleMjane Aliyemwaga Machozi Mbele ya Rais Magufuli Akabidhiwa Nyumba Yake
Hatimaye mjane aliyemwaga machozi mbele ya Rais John Magufuli akidai kudhulumiwa mali ya urithi, amepewa nyumba na shamba baada ya Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Crispin Meela kusuluhisha...
View ArticleSerikali Yakanusha Kuhusu Zuio La Mashine Za Kukoboa Nafaka Halmashauri Ya...
Na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma.…………………………………………SERIKALI imekanusha taarifa kuhusiana na zuio la mashine za kukoboa mpunga na mahindi katika Halmashauri ya Mji wa Kahama kwamba zisifanye kazi...
View ArticleKafulila Naye Apigwa Chini kesi Yake Ya Kupinga Matokeo Ya Uchaguzi dhidi Ya...
Mbunge wa zamani wa Kigoma kusini (NCCR-MAGEUZI), David Kafulila ameshindwa kwenye kesi yake iliyokuwa ikisikilizwa mahakama kuu kanda ya Tabora kuhusu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana Na Balozi Wa Tanzania Nchini Uingereza,...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 17, 2016.Waziri Mkuu,...
View ArticleHii Ndio Ramani Sahihi Ya Tanzania Iliyotolewa Leo Na Wizara Ya Ardhi, Nyumba...
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imebaini kuwepo kwa ongezeko la matumizi ya ramani ya Tanzania ambayo mipaka yake imepotoshwa.Upotoshwaji huu umefanywa kwenye “diary” (vitabu vya...
View ArticleKesi ya aliyemtukana Rais Magufuli Facebook imeendelea leo Mahakamani, na...
Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook imeendelea leo May 17 2016 kwenye Mahakama Kuu kanda ya Arusha ambapo ushahidi umekamilika...
View ArticleBunge Laitaka Serikali Kuharakisha Ujenzi Wa Reli Ya Kati Kwa Kiwango Cha...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeshauri Serikali kuharakisha ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha standard gauge ili kuisaidia Bandari ya Dar es salaam kukabiliana na ushindani kutoka...
View ArticlePolisi Akamatwa na Noti Bandia Zenye Thamani ya Sh. 870,000
ASKARI Polisi Ezekiel Dinoso (32) mkazi wa tarafa ya Mgeta, wilayani Mvomero mkoani Morogoro amekutwa na noti bandia za Sh 10,000 zenye thamani ya Sh 870,000, akijiandaa kuzitumbukiza katika akaunti ya...
View ArticleMtoto wa Chacha Wangwe Abadili Msimamo Mahakamani
Mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa machachari na Mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe, amebadili msimamo mahakamani katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii, kuwa Zanzibar...
View ArticleSamia: Sijawahi Kupinga Utumbuaji Majipu, Lakini Nilishauri Wakuu wa Mikoa...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kuzingatia sheria na kanuni za utumishi wa umma wanapotaka kuwafukuza watumishi wasio waadilifu.Alisema hajapinga kauli ya Rais...
View ArticleMganga mbaroni akidaiwa kugoma kumhudumia mjamzito
Polisi mkoani Mara inamshikilia mganga wa zahanati katika Kijiji cha Rwamchanga wilayani Serengeti kwa madai ya kushindwa kumhudumia mjamzito aliyejifungua pacha na kusababisha kifo cha mtoto mmoja....
View ArticleBavicha Walaani Hotuba ya Godbless Lema Kuzuiwa Bungeni... Wataka Waziri...
Wakati uchunguzi wa kampuni ya Lugumi inayodaiwa kushindwa kutekeleza mradi wa utambuzi wa vidole kwenye vituo vya polisi ukiendelea, Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limemtaka Waziri wa Mambo ya...
View Article