Video: Alikiba Aeleza Sababu Ya M.I Kutoonekana Kwenye Video Ya Wimbo Wake...
Unaweza ukajiuliza kwamba kwanini audio ya wimbo mpya wa Alikiba Aje anasikika rapper wa Nigeria M.I Abaga lakini hujamuona kwenye video yake. Alikiba amezungumza na Bongo5 kueleza kwanini imekuwa...
View ArticleVideo: Madee Ameachia Video Ya Wimbo Wake Mpya Hii Hapa – Migulu Pande
Msanii Madee kutoka Tiptop Connection ameachia video yake mpya ya wimbo unaitwa “Migulu Pande” video imeongozwa na Mtanzania Adam Juma.TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI
View ArticleVideo: Shilole Ametoa Video Ya Wimbo Wake "Say My Name" Kamshirikisha Barnaba
Video mpya ya Shilole wimbo unaitwa “Say My Name” amemshirikisha Barnaba video imefanyika Afrika Kusini imeongozwa na Rey.ANGALIA VIDEO HAPA CHINI
View ArticleMajipu Mapya Tume ya Uchaguzi naTanesco Yaibuliwa Bungeni
Ripoti ya mwaka ya Mamlaka ya Udhibiti wa Umma (PPRA) imewasilishwa bungeni mjini Dodoma ikibainisha majipu katika utoaji wa zabuni katika baadhi ya mashirika na taasisi za umma ikiwamo Tume ya...
View ArticleSerikali Yatangaza Msako wa Waliokula Fedha za Watumishi Hewa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeamua kupambana na wala rushwa ili kiasi kidogo cha rasilmali kilicholengwa kiweze kuwafikia wananchi. Ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi, Mei 14, 2016)...
View ArticleJaji Mkuu: Sheria Ya Makosa ya Mtandaoni Haina Lengo la Kuwakandamiza Watanzania
JAJI MKUU wa Tanzania, Mohammed Chande Othman amesema sheria ya mitandao ilipitishwa kwa lengo jema la kulinda watumiaji, wanajamii na usalama wa Taifa la Tanzania. Ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi,...
View ArticleTanzania Kuwa Nchi Ya kwanza Duniani Kutumia Kitambaa Kilichowekewa Viatilifu...
Tanzania imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya majaribio ya kupambana na mbu waenezao magonjwa mbalimbali ikiwemo malaria kwa kutumia kitambaa kilichowekewa viatilifu ili kudhibiti ugonjwa malaria...
View ArticleMaalim Seif Awasha Moto Upya Zanzibar, Awataka Wananchi Wasilipe Kodi na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amewasha moto upya visiwani Zanzibar kwa kuwahimiza wananchi kufanya vitendo vinavyoonyesha kuikataa serikali inyoongozwa na Rais wa...
View ArticleWatu 12 Watiwa Mbaroni Wakituhumiwa Kuhusika na Mauaji ya Watu 7 Huko...
Siku chache baada ya watu saba wa familia moja kuuawa kwa mapanga wilayani Sengerema mkoani Mwanza, polisi wamefanikiwa kuwatia mbaroni watu 12 kwa tuhuma za mauaji hayo huku mmojawapo akikamatwa kwa...
View ArticleWaziri Mbarawa ‘Kuvaa Viatu’ vya Magufuli Kesho Bungeni
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa wiki hii anatarajiwa kuanza kuvaa viatu vya Rais John Magufuli bungeni.Kesho Profesa Mbarawa anatarajiwa kuwasilisha Makadirio ya...
View ArticleWaliotapeli Bilioni 62 Uingereza Waanza Kusakwa Jijini Dar es Salaam
Shirika la Kimataifa la Polisi linawasaka raia wawili wa Scotland wanaodaiwa kukimbilia Tanzania baada ya kufanya udanganyifu na kujipatia Paundi 20 milioni za Uingereza (sawa na Sh62 bilioni). Wawili...
View ArticleAuawa Kwa Kuchomwa Visu Akituhumiwa Kutoka Kimapenzi na Mtalaka Wake
Mkazi wa Kijiji cha Chala B, Tarafa ya Chala wilayani Nkasi, Mkoa wa Rukwa, Moses Nambasita (48) ameuawa kwa kuchomwa visu kutokana na kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akisimulia mkasa huo...
View ArticleSerikali Yasema Kusitishwa kwa Baadhi ya Misaada ya Wahisani Hakujaathiri...
Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo ameliambia Bunge Mjini Dodoma kwamba miradi ya umeme vijijini (REA) haijaathirika chochote kwa Bodi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) kuondoa...
View ArticleWaziri Nape Alivyofafanua Suala La Kurusha Live Bunge Mjini Dodoma
Sehemu ya Majumuisho ya Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akitolea ufafanuzi suala la Bunge kurushwa Live na studio za Bunge.
View ArticleBunge Liliahirishwa Leo Asubuhi Kupisha Kamati ya Kanuni ipitie Hotuba ya...
Hotuba ya Godbless Lema, Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ilizuiliwa leo asubuhi kusomwa Bungeni hadi ipitiwe upya na kamati ya kanuni.Bunge...
View ArticleWatu 11 Wakamatwa Mkoani Morogoro Kwa Tuhuma za Kumbaka na Kumdhalilisha...
Watuhumiwa wawili Zuberi Thabiti (30) na Iddy Adamu (32) wanaodaiwa kushirikiana kufanikisha tukio la kumbaka na kumdhalilisha binti wa miaka 21, mkulima (jina limehifadhiwa), mkazi wa Kata ya Dakawa,...
View ArticleSerikali: Hatuna Msamaha na Wauza Madawa ya Kulevya
Serikali imesema haitakuwa na msamaha wala suluhu kwa wahusika wote wa biashara haramu ya dawa za kulevya. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga alitoa rai kwa watu wote kutojihusisha na...
View ArticleJeshi La Polisi Lanasa Mahausigeli 15 Waliokuwa Wakipelekwa Oman
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata wasichana 15 katika nyumba iliyopo maeneo ya Ukonga, waliokuwa tayari kusafirishwa kwenda Oman kufanya kazi za ndani.Akizungumza na waandishi...
View Article