Gari lagonga mwendesha baiskeli na kusababisha kifo Jijini Mwanza
Mnamo tarehe 11.05.2016 majira ya 13:30hrs mchana katika barabara ya Mwanza – Simiyu eneo la Igoma Kata ya Nyakato Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza, gari namba T. 488 CDZ aina ya Scania Tractor...
View ArticleJeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linafanya uchunguzi juu ya mauaji ya watu 7...
Kwamba tarehe 11.05.2016 siku ya jumatano majira ya saa 03:45hrs usiku katika Kijiji na Kata ya Sima Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, watu wawili wasiofahamika majina wakiwa na mapanga walivunja...
View ArticleRais Magufuli Ataka Walioua Watu 7 wa Familia Moja Kwa Mapanga Wakamatwe Haraka
Rais Dk. John Magufuli amesema amesikitishwa na mauaji ya kinyama ya watu saba wa familia moja waliokatwa mapanga katika Kijiji cha Sima wilayani Sengerema mkoani Mwanza.Kutokana na hali hiyo, Rais...
View ArticleTanzania Yang’ara Mkutano Wa Kupambana Na Rushwa London
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema viongozi wakuu wa nchini na washiriki wa mkutano wa kimataifa wa kupambana na rushwa wamevutiwa na jitihada ambazo Tanzania imezichukua kukabiliana na janga...
View ArticleRais Magufuli Afanya ziara ya Kushtukiza Uwanja wa Ndege Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na vyombo vya dola kuchukua hatua mara moja dhidi ya dosari za...
View ArticleNape Nnauye Asulubiwa Bungeni ......Wabunge Wamwita ni Waziri Mzigo ( Lumbesa)
Wabunge wamemcharukia Waziri wa Habari, Nape Nnauye kwamba aliwahi kuwaita mawaziri wa Serikali iliyopita mizigo, lakini yeye amezuia matangazo ya moja kwa moja ya Bunge, ili wananchi washindwe kumpima...
View ArticleLipumba Amvaa Rais Magufuli.... Asema Vitisho Vitaangamiza Uchumi wa Taifa,...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuchoshwa na utendaji wa Rais John Magufuli katika kukabiliana na changamoto za kiuchumi.Prof. Lipumba alitoa kauli hiyo jana mbele ya...
View ArticleLHRC Yaonya Kuhusu Picha za Uchi na za Kutisha
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeonya vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu kuchapisha picha za utupu ama za kutisha katika mitandao ya kijamii.Akizungumza na waandishi wa habari jana...
View ArticleMapato Hospitalini Yanuka Ufisadi.....Vifaa vya Kielektroniki Vya Kuyakusanya...
Ufungaji wa vifaa vya kielektroniki katika hospitali za Serikali katika mikoa mbalimbali, umeibua fukuto la ufisadi mkubwa, uliokuwa ukifanywa katika makusanyo ya fedha wanazolipa wagonjwa kwa ajili...
View ArticleAhukumiwa Kifungo cha Miaka 30 Jela Kwa Kumuoa Bunti Yake wa Kumzaa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, jana ilimhukumu kifungo cha miaka 30, Godfrey Mjelwa (48), baada ya kupatikana na hatia ya kuishi kinyumba na binti yake wa kumzaa. Hakimu Mkazi katika mahakama hiyo,...
View ArticleSerikali Yasitisha Kwa Muda Ajira Zote za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imesitisha kwa muda ajira zote kwenye vyombo vya ulinzi na usalama vilivyomo ndani ya wizara hiyo, ikiwemo Jeshi la Polisi ili kupitia upya utaratibu wa kutoa ajira na...
View ArticleLady Jaydee Amtaka Gardner Aombe Radhi Ndani ya Siku 7
Msanii wa muziki Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ kupitia mwanasheria wake Aman G. Tenga kutoka Law Associates (Advocate) ameandika barua ya kumtaka mtangazaji maarufu wa Clouds Fm, Gardner G. Habash,...
View ArticleSafari Ya Mwisho Ya Mtoto Wa Issa Michuzi, Maggid Muhidini Michuzi
Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18) yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es...
View ArticleMkuu wa Wilaya ya Kinondoni Awakemea Wafanyabiashara wa Sukari Wanaompigia...
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amefichua kuwa amekuwa akipigiwa simu na baadhi ya wafanyabiashara vigogo wenye nia ya kutaka kupunguza makali ya operesheni inayofanywa na wilaya yake dhidi ya...
View ArticleUingereza Kusaidia Usambazaji wa Umeme Vijijini
Miezi michache baada ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (MCC) kujitoa kusaidia Tanzania katika usambazaji wa umeme vijijini, Serikali ya Uingereza kupitia taasisi yake ya Energy Africa...
View ArticleBunge Larudisha safari za Ulaya na Marekani
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano ikizuia maofisa na watumishi wa umma kwenda nje ya nchi kwa safari ambazo si za lazima ili kubana matumizi, Bunge limesema limetenga fungu kwa ajili ya kuwawezesha...
View ArticleVijana Wanaovaa Suruali Chini ya Kiuno Na Mabinti Wavaa Vimini, Sasa Kuchapwa...
Wakazi wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi...
View ArticleSerikali Yanasa Kilo 34,000,000 za Sukari Mafichoni
Shehena ya sukari ya kilo milioni 34 zilizokuwa zimefichwa kwenye maghala ya wafanyabiashara watatu Kilimanjaro imekamatwa na vyombo vya usalama, na serikali mkoani humo imetangaza kuiuza kwa wananchi...
View Article