Rais Magufuli Ayaagiza Mashirika ya Hifadhi ya Jamii Kuwekeza kwenye Viwanda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameyaagiza mashirika yote ya Hifadhi ya jamii kutoendelea kuwekeza katika miradi ya majengo na badala yake yajielekeze katika ujenzi wa...
View ArticleSongas Yazima Mitambo Yao kwa Kuidai Tanesco Sh Blioni 194
Kampuni ya kufua umeme kwa njia ya gesi asilia, Songas Limited imezima mitambo yake, baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kushindwa kulipa deni la Dola 90 milioni za Marekani sawa na Sh193.5...
View ArticleMakonda Awasimamisha Kazi Vigogo wawili wa Manispaa Kwa Tuhuma za Kushindwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewasimamisha kazi wakuu wawili wa idara katika manispaa mbili kwa tuhuma za kushindwa kutoa maelezo kuhusu watumishi hewa katika idara zao, huku...
View ArticleWachungaji Wawili wa KKKT Wafikishwa Mahakamani Kwa Tuhuma za Mauaji.......
Wakati mchungaji wa Kanisa la Moravian akikamatwa na meno ya tembo 11 ndani ya kanisa, huko Moshi wachungaji wawili wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma...
View ArticleVita Ya Sukari Yazidi Kupamba Moto.....Kilo 622,000 Zakamatwa Morogoro, RC...
Suala la uhaba bandia wa sukari limeendelea kuitikisa nchi, lakini vyombo vya ulinzi na usalama vikifanya kazi nzuri baada ya kuwatia nguvuni wafanyabiashara wengine, waliohodhi bidhaa hiyo kinyume cha...
View ArticleMbunge Apinga Wakunga Wanaume Kuruhusiwa Kuwahudumia Wanawake Wakati wa...
Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), Riziki Mngwali amepinga mpango wa Serikali kuajiri wakunga wanaume katika baadhi ya zahanati kuhudumia wajawazito wakati wa kujifungua kuwa ni udhalilishaji dhidi ya...
View ArticleMfumuko Wa Bei Wa Taifa Waendelea Kupungua
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetangaza Mfumuko wa Bei wa Taifa wa mwezi Aprili 2016 na kusema kuwa umepungua kidogo hadi kufikia asilimia 5.1 kutoka asilimia 5.4 iliyokuwepo mwezi Machi, 2016. Hii...
View ArticleRais Mstaafu Jakaya Kikwete Aagwa Na Mabalozi Wapya Chikawe Na Kisamba
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Balozi Mathias Chikawe, alipofika kumuaga katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es...
View ArticleUDA Yazikwa Rasmi.... Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Yavunja Mkataba
Hatimaye uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, umevunja mkataba wa uwekezaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) na Kampuni ya Simon Group Limited inayomilikiwa na mfanyabiashara,...
View ArticleUKAWA Wadai Rais Magufuli Ndo Chanzo cha Sukari Kuadimika Nchini
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema tatizo la sukari nchini limetokana na uamuzi usio sahihi wa Rais Dk. John Magufuli, kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa hiyo kutoka nje ya nchi bila...
View ArticleMbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari Ajisalimisha Polisi, Ahojiwa Kwa...
Polisi wilayani Arumeru jana iliwashikiliwa kwa muda mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na madiwani 35 wa Chadema kwa tuhuma za kuvamia eneo na kuharibu mali. Viongozi hao, wiki iliyopita...
View ArticleTanzia: Msanii wa Vichekesho Mohammed Abdallah (Kinyambe) Amefariki Dunia
Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania kutoka katika Kundi la Vituko Show, Mohammed Abdallah ‘Kinyambe’ amefariki dunia Jumatano hii baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na uvimbe tumboni.Taarifa za kifo...
View ArticleMafikizolo Toka Sauzi Na Diamond Platinum's Wafunika Vibaya Tamasha La...
Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum’s” pamoja na kundila muziki la Mafikizolo wakiimba wimbo wao wa Color of Afrika wakati wa Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo...
View ArticleMbunge Apewa Siku 3 Atoe Ushahidi wa Magari 777 ya Washawasha
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amempa siku tatu Mbunge wa Viti Maalumu, Susan Lyimo (Chadema) awasilishe mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge, maelezo ya utetezi dhidi ya madai aliyotoa bungeni kuhusu...
View ArticleWabunge 53 Chadema na CUF Wajitoa TWPG Baada ya Kutoombwa Radhi na Mbunge wa...
WABUNGE wanawake 53 wa kambi ya upinzani kutoka vyama vya CUF na Chadema wamejitoa kwenye Umoja wa Wabunge Wanawake (TWPG) baada ya kutoombwa radhi na Mbunge la Ulanga, Godluck Mlinga (CCM) aliyesema...
View ArticleSakata la Sukari: Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kutetea Walaji Tanzania...
Wakati Serikali ikiendelea kuwaadhibu wafanyabiashara wakubwa kwa madai ya kuficha sukari katika maghala, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kutetea Walaji Tanzania (TCSA), Benard Kihiyo amesema hatua za...
View ArticleChadema Waungana na CUF Kutomtambua Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza rasmi kutoitambua Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), inayoongozwa na Dk Ali Mohamed Shein. Mbali na kutoitambua Serikali hiyo, chama hicho...
View ArticleSpika Job Ndgai Awagomea Wabunge Waliotaka Utaratibu wa Kusaini Mara Mbili...
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amejibu mwongozo ulioibuliwa na wabunge bungeni wa kutaka utaratibu wa kusaini kwa kutumia kidole mara mbili kwa siku uondolewe, kwa kusisitiza kuwa utaratibu huo...
View Article