Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ushahidi wa Mwalimu Kupigwa Kofi na Afisa Elimu Watua Kwa Mkuu wa Wilaya

CHAMA cha Walimu (CWT) Rukwa, kimemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka ushahidi wa maandishi unaoelezea kitendo cha Ofisa Elimu, Shule za Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ahukumiwa Miaka Mitatu Kwa Kosa la Kumtukana Mtandaoni Mwanamke Aliyedai...

Mfanyabiashara Naila Aminel (24) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh milioni tano baada ya kukiri kutumia mtandao wa kompyuta kutuma ujumbe wa lugha ya matusi.Aminel ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakurugenzi Katavi Kikaangoni ... Mkuu wa Mkoa Awataka Warejeshe Milioni 200...

Wakurugenzi wa Halmashauri zote mkoani Katavi, wameagizwa kurejesha Sh200 milioni wanazodaiwa kuwalipa watumishi hewa ndani ya siku 21. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali mstaafu, Raphael Muhuga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yabaini tani 4,579.2 za Sukari zilizokuwa zimefichwa

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) imebaini kuwepo kwa sukari iliyofichwa  tani 4,579.2 iliyonunuliwa toka Kiwanda cha Sukari Kilombero.Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Here Are All Tanzania Newspapers Today 08 May 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Ahudhuria Mazishi ya Lucy Kibaki nchini Kenya

Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Jakaya Kikwete amekuwa miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu katika ukanda wa Jumuia ya Afrika Mashariki kuhudhuria hafla ya mazishi ya aliyekuwa mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Awatunuku Kamisheni Maafisa Wapya 586 wa JWTZ mkoani Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli jana Jumamosi tarehe 07 Mei, 2016 amewatunuku Kamisheni Maafisa wapya 586 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais: Upinzani Kuna watu makini Wanaoweza Kuikabili Serikali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameonyesha kukerwa na vitendo vya wabunge wa CCM kurusha vijembe na kuutaka Umoja wa Wanawake (UWT) kuwaandalia mafunzo ili waweze...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chadema Walaani Wabunge wao wa Kike Kudhalilishwa Bungeni

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Dar es Salaam kimelaani kauli iliyotolewa na Mbunge wa CCM, Goodluck Mlinga kuwa ili wanawake wapate nafasi ndani ya chama hicho lazima waitwe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Machinga Marufuku Katikati ya Jiji la Dar es Salaam

Zaidi ya wafanyabiashara wadogo 2,000 waliokuwa wakifanya shughuli zao maeneo yasiyo rasmi katika Manispaa ya Ilala, wametengewa masoko manne kwa ajili ya kufanya biashara. Masoko hayo ni Kigogo Fresh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwalimu Adaiwa Kumjaza Mimba Mwanafunzi wake wa Darasa la Tano

Mwalimu wa Shule ya Msingi Tambaruka Kata ya Mkwamba wilayani Nkasi mkoani Rukwa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumsababishia ujauzito mwanafunzi wake anayesoma darasa la tano katika shule hiyo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Salama Amtetea Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

SALMA Kikwete, Mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ameonesha kukerwa na wale wanaoshambulia utawala wa mumewe (Rais Kikwete) na kwamba, hakuna sababu ya kufanya hivyo.  Mama Salma alisema hayo jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mamlaka ya Mapato (TRA) Yataifisha na Kugawa Bure Sukari Mifuko 5,319 toka...

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Million 373.5  kwa Taasisi mbali mbali Mkoani Lindi baada ya kuthibitishwa na Mamlaka ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mizengo Pinda ( Mtoto wa Mkulima ) Aishi Maisha ya Kikulima

WAZIRI Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, maarufu kama Mtoto wa Mkulima, ameamua kuishi maisha tofauti kabisa na watangulizi wake kwa kukwepa kukaa jijini Dar es Salaam na kwenda kijijini kwake baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atetea Uamuzi wake wa Kutimua Wafanyakazi

Rais John Magufuli ametetea uamuzi wake wa kuwatimua baadhi ya watumishi wa umma wanaokiuka maadili akisema anataka kuirejesha nchi kwenye mstari.Rais amesema hayo leo alipozungumza na waumini katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha Mbalimbali za Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada Ya Jumapili Ya Kupaa...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 08 Mei, 2016 ameungana na waumini wa Parokia ya Toleo la Bwana iliyopo katika Jimbo Katoliki la Arusha kusali ibada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Spika wa Bunge Afungua Mkutano Wa Chama Cha Wabunge Wanaopambana Na Rushwa

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma leo tare 8 Mei, 2016.Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADC Yawafuta Uanachama Wanachama wake Wanne Akiwemo Mwenyekiti wa Chama hicho...

Chama cha Alliance for Democratic Change ADC kimewafuta uanachama wanachama wake wanne akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Bwana Said Miraaj,Katibu Mkuu Bi.Lydia Bendera,Mkurugenzi wa mipango na uchaguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kigwangalla Amtaka Gardner Aombe Radhi kwa Kumdhalilisha Lady Jaydee

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla, amemtaka mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G Habash kumuomba radhi aliyekuwa mke wake, Lady Jaydee kwa ‘kile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMATRA Yatangaza Nauli Za Usafiri Wa Mabasi Yaendayo Haraka

Hatimaye  Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetangaza nauli zitakazo tumika kwa mabasi yaendayo kasi kuwa ni 400, 650 na 800 kwa safari za Mbezi mwisho hadi...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live