WATU WATANO WAFARIKI DUNIA JIJINI DAR KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI.
Watu watano wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuangukiwa na kifusi na mti wakiwa wamelala, ajali hiyo ilisababishwa na kupasuka kwa karo la majitaka la...
View ArticleMBUNGE WA ZAMANI NA MOSHI VIJIJINI (CCM) APANDISHWA KIZIMBANI
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Thomas Ngawaiya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka la kujenga hoteli kwa kutumia makandarasi wasiosajiliwa.Ngawaiya...
View ArticleVIONGOZI CUF WASHUTUMIWA KWA KUKOSA UZALENDO
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekishiutumu Chama cha Wananchi (Cuf) pamoja na viongozi wao kwa kukosa uzalendo kutokana na kauli zao za kuunga mkono wahisani kuisitishia misaada...
View ArticleHAMAD RASHID: SERIKALI YA MUUNGANO ISIBABAISHWE NA WAHISANI
Mjumbe wa Kuteuliwa wa Baraza la Wawakilishi, Hamad Rashid (ADC) ametaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutobabaishwa na nchi washirika wa maendeleo kwa kususa misaada yao kwa kile...
View ArticleMTOTO WA MIAKA SABA AJINYONGA KWA KAMBA
Mtoto George Elias (7) amekutwa amekufa kwa kujinyonga kwa kamba ya katani katika Kijiji cha Buganzu, Kata ya Uyovu wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita, tukio linalodaiwa kusababishwa na michezo ya...
View ArticleMIAKA 4 YA KIFO CHA KANUMBA, HII NDIYO HALI HALISI
Hii ndiyo hali halisi! Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba ambapo ametimiza miaka minne kaburini, mambo mbalimbali yametokea tangu...
View ArticlePADRI AMTOLEA TAMKO JOKATE
Mbongo Fleva na Miss Tanzania No. 2, 2006, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.DAR ES SALAAM: Baadhi ya watu waliodai kuwa wao ni waumini wa Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam ambako...
View ArticlePOLISI DAR WAMCHUNGUZA ZARI!
Zarina Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah.DAR ES SALAAM: Kufuatia kamatakamata ya wafanya-biashara wanaodaiwa kujihusisha na madawa ya kulevya ‘unga’ Bongo, kuna madai kwamba, Jeshi la Polisi Tanzania...
View ArticleDAYNA NYANGE AWACHANA MASHABIKI
Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’Staa wa Ngoma ya Angejua, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amewatolea uvivu watu wanaofuatilia maisha yake katika mitandao ya kijamii kuwa hakuna anayemsaidia...
View ArticleVENGU ASAKWA KWA SAA 72
Mchekeshaji maarufu Bongo, Joseph Shamba ‘Vengu’.DAR ES SALAAM: Baada ya wasomaji mbalimbali kuonesha hamu ya kutaka kujua hali ya mchekeshaji maarufu Bongo, Joseph Shamba ‘Vengu’, Amani lililazimika...
View ArticleTAARIFA ZA UZUSHI KUHUSU WALIMU KUSHONEWA SARE INAYOSAMBAZWA KATIKA MITANDAO...
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDITAARIFA KWA UMMAYAH: TAARIFA ZA UZUSHI KUHUSU WALIMU KUSHONEWA SARE INAYOSAMBAZWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMIIWizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi...
View ArticleRAIS MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 22 YA MAUAJI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishuhudia wenyeji wao Rais Paul Kagame na Mama Janeth Kagame pamoja na binti yao wakiweka shada...
View ArticleWabunge Wanawake wa UKAWA watoka nje ya Bunge baada ya Mbunge wa CCM...
Wabunge wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga (CCM ) aliyedai jana kuwa viti maalum Ukawa hutolewa kwa rushwa...
View ArticleMahakama Kuu Yaitupilia Mbali Rufaa iliyoletwa na Mwendesha Mashtaka wa...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) iliyokuwa ikipinga kuondolewa kwa shitaka la 8 la utakatishaji fedha linalomkabili aliyekuwa...
View ArticleTamko la wizara ya Afya Kulaani Mauaji ya Mama na Mtoto Huko Bagamoyo
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto inasikitishwa na inalaani vikali tukio la kuuawa kwa kuchinjwa, mwanamke Oliver Erasto (23) na mtoto wake Emmanuel (3), wakazi wa eneo la...
View ArticleJengo La NSSF La Eneo La Akiba Lawaka Moto
Jengo lililoko eneo la akiba posta jijini Dar es salaam limeripotiwa kuwaka moto kuanzia majira ya jioni na chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kulipuka na kusababisha moto.Inasemekana...
View ArticleJason Rweikiza Achaguliwa Kuwa Katibu wa Wabunge wa CCM
WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemchagua Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza kuwa Katibu wao.Rweikiza anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, ambaye...
View ArticleMbunge Ataka Walawiti na Wabakaji Wahasiwe
MBUNGE wa Viti Maalumu, Angelina Malembeka (CCM) ametaka watu wanaohukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la ubakaji na ulawiti, wahasiwe ili wawapo gerezani wasiendeleze tabia hizo.“Tumeshaona...
View Article