$ 0 0 Basi la mwendo kasi ( DART) limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hiloAjali hiyo imetoke leo katika eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.Pikipiki iliyohusika kwenye ajali hiyo