MAJIPU 9 YATUMBULIWA KIGOMA KWA TUHUMA ZA UFISADI WA MAJENGO YA KIGODECO NA...
WAKUU wa idara tisa katika Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi kwenye matumizi ya fedha na uuzwaji wa majengo ya...
View ArticleSHEHENA YA PETROLI FEKI YAKAMATWA....SERIKALI YAAMURU IRUDISHWE ILIKOTOKA!
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeamuru shehena ya mafuta ya petroli iliyoagizwa kutoka Falme za Kiarabu irejeshwe ilikotoka kutokana na kubaini hayana ubora unaotakiwa kwa matumizi ya magari na...
View ArticleCHADEMA WAJICHIMBIA KILIMANJARO KUJITATHIMINI
Siku 74 baada ya kushindwa katika Uchaguzi Mkuu mwaka jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kimefanya kikao cha kujitathmini na kuweka mpango kazi kwa miaka mitano ijayo.Katika...
View ArticlePROF JOYCE NDALICHAKO ATOA MAAGIZO MAZITO NECTA......AWAPA SIKU 7 WAMWELEZE...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako  ametoa siku saba kwa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limpe sababu za kubadili mfumo wa utunuku viwango vya...
View ArticleMSIMAMIZI WA BOMOABOMOA DAR AANGUKA GHAFLA OFISINI KWAKE.... MADAKTARI...
Operesheni kubwa ya kubomoa nyumba zaidi ya 15,000 zilizojengwa katika maeneo yasiyostahili jijini Dar es Salaam, imekumbana na changamoto ya aina yake baada ya mmoja wa wasimamizi wa kazi hiyo kutoka...
View ArticleTHROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY JANUARY 9,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWS
THROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY JANUARY 9,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWS
View ArticleWAZIRI KITWANGA: HATUA KALI KUCHUKULIWA KWA YEYOTE ATAKAYE KAIDI KULIPISHA...
Katika kuhakikisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linafanya kazi kwa ufanisi mkubwa katika kupambana na majanga, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga ameliagiza jeshi hilo kumchukulia hatua...
View ArticleBOMOABOMOA YAIPASUA KICHWA SERIKALI.......MWANASHERIA WA NEMC ALIYEHALALISHA...
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU ZOEZI LA KUHAMISHA WAKAZI WA MABONDENI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAMUtanguliziNchi yetu ina kingo za mito na mabonde na maeneo mengi hatarishi ambamo watu wanaishi kinyume cha...
View ArticleTHROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY JANUARY 10,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD...
THROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY JANUARY 10,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWS
View ArticleTUNDU LISSU ATOFAUTISHA TUHUMA ZA UFISADI ZA LOWASSA NA PROFESA MUHONGO
Mwanasheria mkuu wa Chadema ambaye pia ni mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ametofautisha kilichomkuta Edward Lowassa kwenye sakata la Richmond na kilichomkuta Profesa Sospeter Muhongo kwenye...
View ArticleKESI YA MTANZANIA ( RASHIDI MBERESERO) ANAYETUHUMIWA KWA UGAIDI KENYA YAANZA...
Shahidi katika kesi ya shambulio la kigaidi lililofanyika mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya ameiambia mahakama kuwa Mtanzania Rashidi Mberesero anayetuhumiwa kushiriki, alikuwa akiswali...
View ArticleASKOFU PENGO KUTOKA HOSPITALI LEO
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema afya ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam,...
View ArticleTHROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY JANUARY 11,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD...
THROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY JANUARY 11,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWSMpekuzi blog
View ArticleMAALIM SEIF SHARIF HAMAD KUPASUA JIPU LEO SAA TANO ASUBUHI
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, leo anatarajia kufichua siri ya mazungumzo ya kusaka suluhu, baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kufutwa mwaka jana.Maalim...
View ArticleMSAKO WAHAMIAJI HARAMU WANAOFANYA KAZI NCHINI BILA KUFUATA SHERIA ZA NCHI...
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema operesheni kwa lengo la kuwachukulia hatua raia wa nje wanaofanya kazi nchini bila kufuata sheria za nchi, ni endelevu na itagusa maeneo yote ikiwemo...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWS PAPER TODAY JANUARY 12,2016 FOR GOSSIP, SPORTS AND...
ALL ARE NEWS PAPER TODAY JANUARY 12,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWS
View ArticleTANZIA: LETICIA NYERERE AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland jana saa mbili usiku...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE ALIYELAZWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Frederick...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMTEMBELEA NA KUMFARIJI MAMA MARIA NYERERE KUFUATIA KUFIWA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere kufuatia kifo cha Mkwewe Leticia...
View Article