MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI... ASEMA CUF HAIKO...
Hatimaye, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ametoa msimamo wake na chama chake kufuatia mazungumzo ya siri ya kutafuta suluhu ya mkwamo wa kisiasa unaotokana na tangazo...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MWANZA APEWA MASAA 48 YA KUJIELEZA
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais ( Mazingira na Muungano) Luhaga Mpina amempatia saa 48 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kujieleza sababu za Jiji la Mwanza kuwa chafu.Mpina alisema hayo jana...
View ArticleTAARIFA YA UTEUZI WA WABUNGE KWENYE KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WABUNGE KWENYE KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE.Katibu wa Bunge anatoa taarifa kwa umma kwamba:(a) Kwa mujibu wa Kanuni ya 116 (3) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la...
View ArticleWAZANZIBARI WASHEREHEKEA MIAKA 52 YA MAPINDUZI LEO
WAZANZIBARI leo wanasherehekea miaka 52 ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964, ambayo yaling’oa utawala wa Sultani kutoka Oman na kuwezesha wazalendo wengi kushika hatamu ya kuongoza nchi.Katika kilele...
View ArticleCCM WAJIBU MAPIGO KUHUSU UCHAGUZI ZANZIBAR... WASEMA UCHAGUZI LAZIMA URUDIWE
Muda mfupi baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad kutangaza kasoro na athari za kurudia Uchaguzi uliofutwa kinyume cha sheria na Jecha Salim Jecha, viongozi wa Chama...
View ArticleUVCCM YATAKA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DR AMAN ABEID KARUME AFUKUZWE CCM
UMOJA wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kumvua uanachama Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Aman Abeid Karume.Kauli hiyo ilitolewa jana katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar...
View ArticleSERIKALI YAKUSUDIA KUANZA KUZALISHA DRIP ZA MAJI ZA IV KATIKA HOSPITALI ZAKE...
SERIKALI inakusudia kuanza kuzalisha drip za maji za IV (Intravenous Fluids) katika hospitali zake zote kubwa nchini.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFIKA MUHIMBILI KUMJULIA HALI WAZIRI MKUU STAAFU...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu Januari 12, 2016.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na...
View ArticleBREAKING NEWS:ZITTO KABWE ATOA KAULI NZITO KUHUSU BANGO LA CCM LILILOLETA...
"Siasa za Hatari sana hizi, Siasa za kibaguzi. Siasa zinazopaswa kulaaniwa na kila mpinga ubaguzi nchini. Nitashangaa sana kama wakubwa CCM hamtaomba radhi kwa siasa hizi hizi mbaya kabisa. What will...
View ArticleCCM YAOMBA RADHI KUTOKANA NA MANENO YA KIBAGUZI KWENYE BANGO KATIKA SHEREHE...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWS PAPER TODAY JANUARY 13,2016 FOR GOSSIP, SPORTS AND...
HERE ARE ALL TANZANIA NEWS PAPER TODAY JANUARY 13,2016 FOR GOSSIP, SPORTS AND HARD NEWS
View ArticleRAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA KIKWETE WAMPA POLE MAMA MARIA...
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam...
View ArticleMWANAFUNZI WA MIAKA 13 AOZESHWA KWA NG’OMBE 13
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Mika NyangeMtoto mwenye umri wa miaka 13 anayesoma darasa la sita katika Shule ya Msingi Wishiteleja wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, ameozeshwa kwa nguvu na...
View ArticleCHADEMA YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA ALIYEKUWA MBUNGE WAKE...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wake wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kilichotokea juzi nchini Marekani.Leticia alifariki...
View ArticleJECHA WA ZEC ATOKA MAFICHONI... DK. SHEIN ASISITIZA UCHAGUZI LAZIMA URUDIWE...
Hatimaye Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, jana ameonekana hadharani katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini...
View ArticleWAZIRI LUKUVI ATOA SIKU 18 JENGO LA GHOROFA 16 LIVUNJWE D’SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 18 kwa uongozi wa Manispaa ya Ilala kuvunja jengo la ghorofa 16 lililopo katika Mtaa wa Indira Gandhi kabla halijaleta...
View ArticleLOWASSA AMTEMBELEA SUMAYE HOSPITALINI.
Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI),...
View ArticleMAALIM SEIF SHARIF HAMAD AMWANDIKIA BARUA PAPA FRANCIS KUMWOMBA AINGILIE KATI...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, amemwangukia Papa Francis kwa kumwandikia barua, akimuomba kutumia ushawishi wake na Tanzania kumaliza mzozo wa kisiasa kisiwani humo kabla hali...
View ArticleNAPE AITAKA CHADEMA IMTIMUE LOWASSA
CCM imemjibu mwanasheria Mkuu wa Chadema ikisema ili chama hicho kikuu cha upinzani kionekane kinapambana na ufisadi kwa vitendo, kinatakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli na kumvua uanachama Waziri...
View ArticleLOWASSA ATANGAZA KUGOMBEA TENA URAIS MWAKA 2020
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alitangaza kwamba anajiandaa kugombea tena urais utakapofika uchaguzi mkuu ujao Oktoba 2020. Lowassa alitangaza hayo mbele ya wafanyabiashara wa sokoni...
View Article