Makamu wa Rais Asema Serikali Itaendelea Kushirikiana na Wadau Mbalimbali...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha rasilimali ya gesi na mafuta inakuwa ni chachu...
View ArticleJeshi La Polisi Laanza Uchunguzi Dhidi ya Mteja wa NMB Alivyofuatiliwa baada...
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi namna mtu mmoja alivyofuatiliwa na watu wasiojulikana alipotoka benki kuchukua fedha hadi wakampora mfuko uliokuwa na kiasi cha Sh15 milioni muda mfupi baada ya...
View ArticleSakata la Oparesheni UKUTA: Viongozi wa Dini Waendelea Kusubiri Maombi Yao...
Viongozi wa dini nchini waliopanga kumwona Rais John Magufuli kwa mazungumzo kuhusu hali ya siasa nchini wanaendelea kusubiri maombi yao kujibiwa licha ya kupita zaidi ya siku 90 sasa. Mkuu wa Kanisa...
View ArticleChadema Kukusanya Bilioni 13.9 Kwa Mwaka Kupitia Kadi Mpya za Wanachama...
Chadema imetangaza kuwa Januari itaanza kutumia kadi mpya za uanachama za kielektroniki, zitakazoiwezesha kukusanya Sh13.9 bilioni kwa mwaka na kupunguza utegemezi wa ruzuku ya Serikali.Mkakati huo...
View ArticleMawakili Kesi ya Godbless Lema Wagonga Mwamba Mahakamani, Arudishwa Tena...
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameendelea kusota katika mahabusu ya Gereza la Kisongo mjini Arusha akiingiza siku ya 22 leo baada ya jana kukwama katika azma yake ya kutaka Mahakama Kuu Kanda...
View ArticleNdalichako Awalaumu Wazazi Kuwa chanzo cha kushuka kwa maadili miongoni mwa...
Serikali imewalaumu wazazi kuwa ni chanzo cha kushuka kwa maadili miongoni mwa wanafunzi, kwa kuwa kama walezi, hawana ushirikiano mzuri na walimu.Kutokana na hali hiyo, imesema walimu wameacha...
View ArticleSerikali yafunguka kuhusu fao la kujitoa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi Ajira na Vijana) Bibi Jenista Mhagama amesema serikali itakaa na wadau ili kuangalia namna ya kulimaliza sakata la fao la kujitoa katika...
View ArticleSiku ya Maulid kuadhimishwa kwa usafi, kupanda miti na kuchangia damu
Waislamu wote nchini wametakiwa kuadhimisha Siku ya Maulid kwa kufanya usafi, kupanda miti na kuchangia damu.Aidha, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Maulid ya...
View ArticleMikoa Mitano inayoongoza kwa Ndoa za utotoni Tanzania
Tanzania imetajwa kuwa ni moja kati ya nchi zenye viwango vya juu vya matukio ya ndoa za utotoni. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika utafiti uliochapishwa mnamo Januari, 2016 uliitaja...
View ArticleMawakili wa Lema wakata rufaa kudai dhamana, Rufaa hiyo Itasikilizwa Jumatatu
Hatimaye rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema iliyokatwa na mawakili wake itasikilizwa Jumatatu ijayo.Rufaa hiyo itasikilizwa na Jaji Fatma Masengi ya kuomba mbunge huyo kupewa dhamana baada...
View ArticleMikoa inayoongoza kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi nchini Tanzania
Mikoa ya Tabora, Katavi na Rukwa imetajwa kuwa ni miongoni mwa mikoa 10 inayoongoza kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi.Hiyo ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2011/2012 za Taasisi ya Mkapa.Taarifa...
View ArticleWakenya watamani Rais Magufuli awe Rais wao angalau kwa mwaka mmoja
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini Kenya (COTU), Bw. Francis Atwoli amesema anaikubalia kasi ya Rais Magufuli katika kupambana na rushwa.Pia amewataka Watanzania wamuunge mkono...
View ArticleMajaliwa awavaa waajiri wanaonyanyasa wafanyakazi, atoa kauli kuhusu viongozi...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haitawavumilia waajiri ambao hawatoi mikataba ya ajira kwa wafanyakazi wao na amewaonya waache tabia hiyo mara moja.Ametoa agizo hilo jana (Jumatano,...
View ArticleMwanafunzi Apigwa Risasi na Polisi Dar, Askari Wawili Watiwa Mbaroni
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari Gerezani, Shakil Sures amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kujeruhiwa kwa risasi na polisi kwenye mazingira ya...
View ArticleRC Makonda Aamuru Mwenyekiti wa Mtuu Akamtwe na Kuwekwa Rumande Hadi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda jana aliliagiza jeshi la polisi kumkamata mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo baada ya kutuhumiwa kukusanya mapato kwa kutumia...
View ArticleWaziri Nape Nnauye Alitembelea Kundi la Wasafi Classic Linaloongozwa na...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Nape Nnauye ametembelea ofisi za Kundi la musiki wa kizazi kipya la Wasafi.Pamoja na mambo mengine uongozi wa kundi hilo umemuomba waziri huyo...
View ArticleWataalam wa afya kuanza kusajiliwa na kupewa leseni
Wataalamu mbalimbali wa sekta ya afya, sasa wataanza kusajiliwa na kupewa leseni zitakazowatambulisha na zitakuwa na masharti maalumu.Hayo yamesema na Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Kambi...
View ArticleRais Magufuli Ataja Sababu za Kuitumbua Bodi ya Wakurugenzi TRA
RAIS John Magufuli amefichua siri ya hatua yake ya kuitumbua Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).Amesema alilazimika kuchukua hatua hiyo baada ya bodi hiyo kuidhinisha Sh bilioni 26...
View ArticleVIDEO: Rais Magufuli akieleza sababu ya kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato TRA
RAIS John Magufuli amefichua siri ya hatua yake ya kuitumbua Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).Amesema alilazimika kuchukua hatua hiyo baada ya bodi hiyo kuidhinisha Sh bilioni 26...
View Article