Waziri Mkuu Ataka ujenzi wa nyumba za Magomeni Kota Ukamilishwe Kwa Wakati
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watalaamu wa ujenzi wa mradi wa nyumba za makazi Magomeni watumie utaalamu wao vizuri na wakamilishe kwa wakati.Ametoa agizo hilo jana mchana (Ijumaa, Novemba 18,...
View ArticlePolisi Yaongeza Muda wa Uhakiki wa Silaha Kwa Mwezi Mmoja Nchi Nzima, Yasema...
Jeshi la Polisi limeongeza muda wa huruma kwa wamiliki wa silaha walioshindwa kuhakiki silaha zao katika zoezi la uhakiki wa silaha za kiraia Tanzania Bara lililoanza Machi 22 na kumalizika Juni 30,...
View ArticleMaalim Seif Kufanya Ziara Mikoa ya Kusini Kufuta Nyayo za Lipumba
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad anatarajiwa kuzuru mikoa ya Kusini mwa Tanzania katika kipindi ambacho bado kuna sintofahamu kuhusu nafasi ya Uenyekiti wa chama...
View ArticleMchezaji Mpya wa Azam FC Yahaya Mohammed Adai Amekuja kuipa Timu Hiyo Matokeo...
Mohammed ambaye ameshakamilisha usajili wa kujiunga na timu hiyo amesaini mkataba wa miaka miwili tayari kabisa kuitumikia Azam FC kuanzia mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Kombe la Kagame...
View Article“Lazima Nioe Mungu Ameagiza”, Asema Man Fongo Na Anataraji Kufunga Ndoa Muda...
Msanii wa muziki wa Singeli Man Fongo amesema yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wanaamini msanii wa muziki akioa lazima apotee kimuziki lakini hana jinsi ataoa tu kwa kuwa ni agizo la mwenyezi...
View ArticleWaziri Mkuu Aagiza TAMISEMI isimamishe usajili wa vijiji kuanzia sasa, Atoa...
*Ni kwa ajili ya kuzuia migogoro ya mipaka na wanavijiji*Aagiza TAMISEMI isimamishe usajili wa vijiji kuanzia leoWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi na siku tisa kwa Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za...
View ArticleHAKIELIMU Yabariki Mabadiliko Katika Mafunzo Ya Ualimu Nchini
Kutokana na mabadiliko ya mafunzo ya ualimu yaliyo fanywa na Wizara ya Elimu ,Sayansi, Tektinolojia na ufundi novemba mwaka huu kuondoa mamlaka ya usimamizi wa ngazi ya cheti na stashahada kutoka...
View ArticleMajambazi Dar waendelea kuangukia mikononi mwa polisi huku pombe feki na...
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeendesha operesheni katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kuwakamata watuhumiwa 67 wakiwemo watano waliokutwa wakiuza na kusambaza pombe bandia aina ya...
View ArticleWaliohamishiwa UDOM kutoka St Joseph kurudia mwaka
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknlojia Imewataka wanafunzi wa St. Joseph walioamishiwa katika chuo kikuu cha Dodoma kurudia mwaka kwa kile kilichobainika kuwa na ujuzi na maarifa usiokidhi viwango vya...
View ArticleMakonda Asubiri Kibali cha Rais Kuwafuta Kazi wa Watumishi wa Umma Dar
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imesema itawastaafisha kwa manufaa ya umma watumishi wa mkoa huo walioshindwa kutekeleza majukumu yao kikamilifu.Hayo yalisemwa jana jijini humo na Mkuu wa Mkoa huo,...
View ArticleGodbless Lema Kujaribu Tena Bahati yake Leo Mahakamani baada ya Kusota...
Jaribio jingine la maombi ya dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema linafanyika leo baada ya kusota mahabusu tangu akamatwe mkoani Dodoma Novemba 3. Lema anayekabiliwa na tuhuma ya...
View ArticleBaba Wa Kambo Atiwa Mbaroni kwa Kumnajisi Hadi Kufa Mtoto wa Miaka Mitatu
Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Nyamihaga Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma amekufa baada ya kunajisiwa na baba yake wa kambo.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma, Ferdinand...
View ArticleWakili wa Serikali Amuomba Radhi Hakimu kwa Kushindwa Kumkamata Tundu Lissu
Wakili wa Serikali, Patrick Mwita amemuomba radhi Hakimu Mkazi Mkuu wa Kisutu kwa kushindwa kutekeleza amri ya kumkamata mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
View ArticleRais Magufuli Amuapisha Katibu Tawala Wa Mkoa Wa Kagera (Ras) Kamishna Diwani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAS) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016. Rais wa...
View ArticleAgizo la Rais Magufuli bandarini latekelezwa
Mradi wa kuweka mashine mpya za kisasa za kukagua mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam ambazo zina uwezo wa kusoma na kupeleka taarifa na picha za mizigo mubashara kwenye mifumo ya Mamlaka ya...
View ArticleMwenyekiti aomba kupigwa risasi mbele ya Makonda
Katika hali ya kushangaza, jana Mwenyekiti wa soko la Mbande Mbagala katika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Mokiwa Hassani aliomba kupigwa risasi mbele ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda...
View ArticleNape Amtembelea Na Kumjulia Hali Mkuu Wa Mkoa Wa Tanga
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigela aliyelazwa katika wodi ya Sewahaji Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es...
View ArticleVIDEO Mpya: Tazama Hapa Video Mpya ya Rich Mavoko ft. Diamond, Wimbo Unaitwa...
WCB wanayofuraha kutualika kuitazama video mpya ya kijana wao Rich Mavoko ambayo kamshirikisha Boss wake Diamond Platnumz, ukishamaliza kuitazama video hii ni ruhusa kuacha na comment yako umeionaje...
View Article