Mrema amshtaki mkuu wa gereza la Dodoma kwa waziri mkuu
Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole,Dkt. Augustine Mrema amemwandikia barua Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kasim Majaliwa kulalamikia jeshi la Magereza kukwamisha mpango wake wa...
View ArticleLipumba Atishia Kumpiga Marufuku Maalim Seif Kufanya Mikutano Tanzania Bara...
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atampiga marufuku Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad kufanya mikutano ya kisiasa Tanzania Bara kama hatamtambua kuwa mwenyekiti...
View ArticleTRA Yasema Muda Wa Kuboresha Taarifa Za Walipakodi Sasa ni Hadi Januari 2017
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwashukuru wakazi wa Dar es Salaam kwa kushiriki katika zoezi la kuhakiki Namba ya Utambulisho Mlipakodi (TIN).Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kutaka...
View ArticleHoja ya TANESCO Kupandisha Bei ya Umeme Yapigwa na Wadau
Wakati wadau wa umeme wa jijini Dar es salaam wakisubiri wiki ijayo kutoa maoni kuhusu pendekezo la Tanesco kuongeza bei ya umeme kwa asilimia 18.19, wenzao katika kanda nne wamepiga hatua hiyo.Msimamo...
View ArticleMakamu wa Rais Samia Suluhu Afanya Ziara Yenye Mafanikio Huko Ukerewe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika mradi mkubwa wa maji kwenye mji Nansio katika kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza mradi ambao utahudumia...
View ArticleAnne Makinda Azitaka Hospitali Za Serikali Ziboreshe Huduma Ili Zipate Wateja...
Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Anne Makinda amezishauri hospitali, vituo vya afya na zahanati za serikali kuboresha huduma za afya ili wananchi waliojiunga katika mifuko ya...
View ArticleUmoja wa Ulaya (EU) : Tanzania ina haki kutosaini Mkataba wa EPA kama...
BALOZI wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Roeland Van de Geer amesema Tanzania ina haki ya kuamua kutosaini Mkataba wa Ushirikiano wa Kibiashara na Jumuiya ya...
View ArticleDaktari FEKI anaswa Hospitali ya Rufaa Dodoma Akiwa Katika Harakati za...
Mkazi wa Area C mjini Dodoma, Boniface Kigomba amekamatwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akiwa katika harakati za kuwaonyesha wagonjwa kliniki ya wajawazito. Tukio hilo lilitokea jana na...
View ArticleMamlaka ya Bandari TPA Yapokea Boti Mbili za Kuegesha Meli kutoka China
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepokea boti mbili za kisasa za kuhudumia meli kutoka China zitakazotumika katika Bandari za Dar es Salaam na Tanga. Meneja Mawasiliano wa TPA, Janeth...
View ArticlePolisi Waanza Uchunguzi wa kifo chenye Utata cha kigogo mstaafu Jeshi la...
Naibu Kamishna mstaafu wa Magereza nchini (DCP), Luhusa Chiza (62) amefariki dunia katika mazingira ya utata kwenye Hoteli ya Kitemba mjini Dodoma. Kwa mujibu wa mashuhuda tukio hilo, mwili wa Chiza...
View ArticleGodbless Lema Akwama Tena Kupata Dhamana, Hatima Yake Kujulikana Wiki Ijayo,...
Hatma ya dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), ilishindwa kujulikana jana baada ya mawakili wa Serikali kuweka pingamizi, wakipinga Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha kusikiliza maombi...
View ArticleWakuu 7 wa Mikoa Watakaoshindwa kutekeleza Agizo la Rais Magufuli, Hatarini...
Wakuu wa mikoa saba wako hatarini kutumbuliwa kutokana na kushindwa kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kumaliza tatizo la madawati katika mikoa yao. Akizungumza jana alipokuwa akipokea madawati...
View ArticleMwanamke Afariki akiombewa kwa ‘Nabii’ Jijini Arusha, Utata waibuka baada ya...
Mwanamke mkazi wa Unga-Limited jijini Arusha , Lightness Kivuyo ameripotiwa kufa wakati akifanyiwa maombi nyumbani kwa mchungaji aliyejulikana kama ‘Nabii Rajabu’ eneo la Kwa-Mrombo pia jijini...
View ArticleSteven Wassira Chali, Ester Bulaya Ashinda Kesi ya Kupinga Ushindi Wake
Hatimaye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imetoa uamuzi wa kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubunge uliompa ushindi Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya (Chadema) dhidi ya Spephen Wassira (CCM)....
View ArticleKamanda Sirro: Makonda ni Mwenyekiti wangu, Kama ana wasiwasi Atajua...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es salaam Simon Sirro, amesema kama Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, ana wasiwasi na Jeshi la Polisi katika operesheni ya kutokomeza matumizi ya Shisha, achukue...
View ArticleMajibu ya Jeshi la Polisi Makao Makuu kuhusu tuhuma za Rushwa dhidi ya...
Jeshi la polisi nchini limesema litafanya uchunguzi wa tuhuma za rushwa dhidi ya Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Simon Sirro na baadhi ya makamanda wa mikoa akiwemo kamanda wa...
View Article