Ripoti ya uchunguzi wa mali za BAKWATA yakabidhiwa
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakari Zuber jana amekabidhiwa ripoti ya awali iliyoandaliwa na tume ambayo ameiunda kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kuzibainisha mali zote za Baraza kuu la...
View ArticleKampeni ya kumng’oa Trump yashika kasi
Ndoto za Donald Trump aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Rais wa 45 wa Marekani huenda zikayeyuka baada ya wajumbe sita wa Democratic watakaopiga kura za majimbo kuanzisha kampeni maalumu ya...
View ArticleRais Magufuli amualika Rais wa Zambia kwa ziara ya siku 3
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, amesema Rais Edgar Lungu wa Zambia anatarajiwa kufanya ziara rasmi ya siku tatu nchini kuanzia Novemba 27 kwa...
View ArticleShilingi bilioni 3 zatafunwa kununulia mafuta katika 'magari hewa'
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania Luteni Kanali Mstaafu Dkt. Haroun Kondo (Kushoto) **Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania imeuagiza uongozi wa shirika hilo...
View ArticleMuhimbili yafanya upasuaji Mkubwa wa kihistoria wa Kuhamisha Misuli
Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili jana kwa mara ya kwanza wamefanya upasuaji kwa kutumia darubini (microvascular surgery) wa kuhamisha misuli na mishipa ya damu kutoka kwenye mguu kwenda sehemu...
View ArticleMakonda azidi kuwabana wenyeviti wa Mitaa, Amburuza mwingine rumande
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana aliliagiza jeshi la polisi kumkamata mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Zavala kata ya Buyuni Ilala, Chiku Said baada ya kutuhumiwa kuuza viwanja vya...
View ArticleWafuasi wa CUF Watwangana Ngumi Mahakamani, Mawakili Wawasilisha Ombi la...
Wafuasi wa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad jana waligeuka sinema ya bure baada ya kutwangana makonde hadharani katika Mahakama Kuu...
View ArticleSalamu za Rambirambi za Rais Magufuli Kufuatia Kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Raul Castro kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba Mhe. Fidel Castro...
View ArticleRais Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya wa JWTZ Ikulu Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli, jana tarehe 26 Novemba, 2016 ametunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 194 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa...
View ArticleSerikali yampokonya Sumaye shamba lake lenye ukubwa wa hekta 33
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amepokonywa na Serikali shamba lake lenye ukubwa wa hekta 33 kwa kile kilichoelezwa kushindwa kuliendeleza.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema kuwa...
View ArticleLowassa Awajibu wanasiasa waliodai ni mgonjwa na atakufa
Aliyekuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amewashukuru wananchi kwa kumpigia kura kwa wingi...
View ArticleRais Magufuli Apokea Marais Wawili Ikulu Jijini Dar es Salaam
RAIS John Magufuli jana aliwapokea marais wawili, Edgar Lungu wa Zambia aliyewasili kwa ziara ya kiserikali na Idriss Deby wa Chad aliyekuja kikazi.Tofauti na Lungu ambaye ziara yake ilifahamika tangu...
View ArticleMchungaji Anthony Lusekelo maarufu 'Mzee wa Upako' Afunguka Kuhusu Sakata la...
Siku tatu baada ya kudaiwa kumfanyia fujo jirani yake, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako, amejibu tuhuma hizo akisema anaishi kana kwamba hana...
View ArticleHatima ya dhamana ya Godbless Lema kujulikana leo
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, leo, anatarajia kujua hatima ya dhamana ya kesi ya uchochezi inayomkabili.Lema anashikiliwa katika mahabusu ya Magereza ya Kisongo mjini Arusha.Wakili...
View ArticleCUF Yanyimwa Ruzuku, Maalim Seif Ataja Hujuma 9 Zinazofanywa na Profesa Lipumba
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameibuka na kutaja utatu unaojumuisha mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi na Jeshi la...
View ArticleJiji la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na...
Jiji la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na Lagos lililopo Nigeria.Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika, jiji hilo lina makanisa 450 na Mtaa wa Sae...
View ArticleRC Makonda atembelea Uwanja wa Fisi wanapofanya biashara ya ngono, Aahidi...
Jumapili Novemba 27 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam akiwa na lengo la kusikiliza kero za wananchi na...
View ArticleDiamond, Ali Kiba, Vanessa Mdee na Navy Kenzo kuwania tuzo Nigeria... Tazama...
Kituo cha runinga cha Sound City (Sound City Tv) kimetoa orodha ya wasanii na vipingele watakavyowani katika tuzo za Sound City MVP. Kwa upande wa Tanzania, katika tuzo hizo tutawakilishwa na Diamond...
View Article