Kesi ya kwanza yaanza Kusikilizwa Mahakama ya Mafisadi Dar
Hatimaye Mahakama Kuu Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Ufisadi imeanza rasmi usikilizaji wa kesi jana.Kesi ya kwanza kutua na kusikilizwa na Mahakama hiyo ambayo...
View ArticleUfafanuzi wa tuhuma za Freeman Mbowe Kwa wabunge wa CCM kupewa rushwa ya mil 10
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe jana alisababisha taharuki katika kikao cha Bunge baada ya kuzusha tuhuma za rushwa kwa wabunge wa CCM katika kipindi cha maswali na majibu na...
View ArticleTaarifa ya hatua iliyofikiwa katika mchakato wa ujenzi wa reli ya standard...
Serikali ya Awamu ya Tano ndani ya mwaka mmoja imeanza mipango ya kuboresha usafiri wa reli ya Kati kwa kuijenga kwa kiwango cha kimataifa yaani Standard Gauge. Usafiri huu utaongeza fursa za kiuchumi...
View ArticleYaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa...
Rais Magufuli: Niwashukuru sana kwa michango yenu mikubwa katika maeneo yenu ya kazi.Swali(Tido Mhando): Ulichukua muda kuunda baraza la mawaziri, Je Katika tathmini hiyo wanafanya kazi kulingana na...
View ArticleRais Magufuli ajibu madai ya kukandamiza demokrasia na Udikteta
Rais John Magufuli ameyatolea majibu malalamiko yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini kuwa amekuwa akikandamiza demokrasia tangu alipoingia madarakani.Akijibu swali...
View ArticleAjali Mbaya ya Noah na Lori la Mizigo Yaua watu 17 Mkoani Shinyanya
Watu 17 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye namba za usajili T232BQR iliyotokea jana usiku katika kijiji cha...
View ArticleBreaking News: Spika wa Bunge Mstaafu Samwel Sitta Afariki Dunia
Spika wa Bunge Mstaafu, Samuel Sitta (74) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Mtoto wa marehemu, Benjamin Sitta amesema baba yake amefariki saa 10:00 usiku...
View ArticleWaliokula Fedha za Mikopo Elimu ya Juu Kitanzini, Sheria Yarekebishwa...
Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali Namba 3 wa Mwaka 2016 unatarajiwa kuwasilishwa bungeni leo, ukigusa sheria tisa ikiwemo ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu ambapo sasa mnufaika...
View ArticleRais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Spika Mstaafu Mhe....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kufuatia kifo cha Spika Mstaafu na...
View ArticleMsimamo wa Rais Magufuli Kuhusu Katiba Mpya Wamtesa Tundu Lissu
Siku tatu baada ya Rais John Magufuli kueleza bayana kwamba suala la Katiba Mpya si kipaumbele chake kwa sasa akitaka aachwe ili ainyooshe nchi kwanza, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
View ArticleTAKUKURU Yajitosa Kuchunguza Tuhuma za Wabunge wa CCM Kuhongwa Milioni 10
Taasisi ya Kuzuia na Kupambanana Rushwa (Takukuru) imeanza kuchunguza tuhuma zilizoibuliwa Bungeni kuwa Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walipewa rushwa ya shilingi milioni 10. Tuhuma hizo...
View ArticleVideo: Ommy Dimpoz Na Alikiba Wamekuletea wimbo mpya “KAJIANDAE” Tazama hapa
Hii inakuwa kolabo ya pili kati ya Ommy Dimpoz na Alikiba baada ya miaka minne. Alikiba yuko chini ya usimamizi wa Studio ya Kimataifa ya ROCKSTAR4000 na Rockstar Publishing wakati Ommy Dimpoz yuko...
View ArticleMkataba wa EPA pasua kichwa, Wabunge Kuamua Hatima Yake
MKATABA wa Uhusiano wa Uchumi na Biashara Kati ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Ulaya (EPA), umegeuka kaa la moto baada ya mtalaamu wa sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa...
View ArticleCCM Yatuma Salamu Za Rambi Rambi Kifo Cha Mzee Samwel Sitta
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha Mhe. Samuel John Sitta, Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea usiku wa jana tarehe...
View ArticleBodi Ya Pamba Kuhamia Mwanza
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, DodomaWizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imejipanga kuhamishia Bodi ya Pamba katika Mkoa wa Mwanza kabla ya Novemba 10 mwaka huu ili kuhakikisha wakulima wa pamba waliopo...
View ArticleTanzia: Mwenyekiti wa Klabu ya Azam, Said Mohammed afariki dunia
Uongozi wa Klabu ya Azam FC kwa masikitiko makubwa, unatangaza kifo cha mwenyekiti wake, Mzee Said Mohamed Abeid, kilichotokea alasir ya Novemba 7, 2016, katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es...
View ArticleHospitali Ya Taifa Muhimbili Yapokea Msaada Wa Mashine Kubwa Ya Utrasound...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa mashine kubwa na ya kisasa ya Utra Sound maalum kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya Figo.Msaada huo umetolewa jana na Hospitali ya...
View ArticleTanzania Yachaguliwa Kuongoza Mkutano Wa Kimataifa Wa Wamiliki Wa Kampuni
Kufuatia uchumi wa Tanzania kuzidi kukua na kushika nafasi ya kwanza kwa ukuaji uchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, pamoja na jitihada zake za kuifanya nchi kuwa na uchumi wa kati kupitia...
View Article