Serikali Yaanza Kuhakiki Vyeti Vya Ndoa Kwa Watumishi Wa Umma
Gazeti la Tanzania Daima limeripoti kuwa Serikali imeanza uhakiki wa vyeti vya ndoa kwa watumishi wa umma. Hatua hiyo ambayo imewashtua watumishi wengi wa umma, imeelezwa kuwa ni mwendelezo wa harakati...
View ArticleMali Za Kampuni Ya Mohamed Trans Kupigwa Mnada Kisa Madeni
Mali za kampuni ya Mohamed Trans Limited zitapigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) baada ya kushindwa kulipa limbikizo lake la kodi analodaiwa. Kampuni hiyo pamoja na mali nyingine, inamiliki...
View ArticleRais Magufuli na Rais Kenyatta wazindua barabara ya Southern By-pass huko...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo tarehe 01 Novemba, 2016 wamezindua barabara ya Southern By-pass iliyojengwa kwa...
View ArticleSerikali Yawatumbua Watumishi 1663 Kwa Kuzalisha Watumishi Hewa
Na Eleuteri Mangi, MAELEZO, DodomaWatumishi wa Umma 1,663 kutoka Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Sekretarieti za Mikoa, na Mamlaka za Serikali za Mitaa wamechukuliwa hatua za...
View ArticleRais Magufuli Arejea Nyumbani Baada Ya Ziara Ya Kiserikali Ya Siku Mbili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi,...
View ArticleTaarifa Kuhusu taharuki ya Moto uliolipuka kwenye bandari ya Dar es salaam
Jana Nov 1 2016 katika Bandari ya Dar es salaam kulitokea moto ambao ulizua taharuki kwa baadhi ya wafanyakazi na watu wengine waliokuwa eneo hilo la bandari. Moto huo ulilipuka kwenye makontena na...
View ArticleUKAWA Wanyakua Umeya Manispaa ya Ubungo
Diwani wa Ubungo, Boniface Jacob kwa tiketi ya CHADEMA ameshinda kiti cha Umeya wa Manispaa ya Ubungo baada ya kupata jumla ya kura 16 huku akimuacha mbali mpinzani wake wa CCM, Yusuph Yenga aliyepata...
View ArticleWaziri Mpango ataja vipaumbele vya Serikali katika bajeti ya 2017/18
Serikali imeainisha maeneo ya kipaumbele kwa mwaka 2017/2018 kulingana na mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka ujao wa fedha.Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alisema hayo...
View ArticleSerikali yavipa siku mbili vyuo vikuu ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarish imevitaka vyuo vikuu 14 ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi wao ya mwaka uliopita kwa Bodi ya Mikopo kutuma...
View ArticleBunduki 11 za Ujangili zakutwa nyumbani kwa Mbunge
Kasi ya kupambana na ujangili iliyoongezwa na Rais John Magufuli imeendelea kuzaa matunda huku Kikosi Kazi Maalum kilichoundwa kikiripotiwa kukamata bunduki 11 nyumbani kwa mbunge.Kwa mujibu wa chanzo...
View ArticleGodbless Lema Ahojiwa Polisi Kwa Kumkashfu Rais Magufuli, Mkewe Afikishwa...
Neema Lema (33), mke wa Mbunge wa  Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.Alifikishwa mahakamani hapo jana na kuunganishwa katika kesi ya...
View ArticleMwaka Mmoja Wa Rais Magufuli: TRA Yavuka Lengo La Makusanyo Ya Mapato
Na JOVINA BUJULU- MAELEZONovemba Tano mwaka huu ni mwaka mmoja tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipoapishwa kuwa kiongozi na Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya...
View ArticleMahakama Yamtia Hatiani Lady Jaydee, Yamwamuru Amuombe Radhi Ruge wa Clouds...
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemkuta na hatia mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee kumkashifu Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga pamoja na Mkurugenzi wa Vipindi na...
View ArticleMbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema aswekwa mahabusu kwa mahojiano zaidi
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesafirishwa kutoka Mkoani Dodoma usiku wa kumkia jana na kuswekwa kwa mara nyingine tena Mahabusu Mkoani Arusha kwa mahojiano ya kutoa lugha za...
View ArticleWaziri Mkuu: Serikali Haijafilisika
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia Oktoba mwaka huu, Serikali imekwishapeleka zaidi ya sh. bilioni 177 kwenye halmashauri mbalimbali nchini ili kutekeleza miradi ya maendeleo.Ametoa kauli...
View ArticleTMA yatahadharisha nchi kukumbwa na ukame
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) - imeendelea kuwataka Wakulima kufuatilia kwa ukaribu Taarifa za hali ya hewa pamoja na kuzingatia maelekezo ya wataalamu wa kilimo.Hatua hiyo inatokana na uwepo wa...
View ArticleLugora: Mawaziri acheni kumpotosha Rais
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugora (CCM) amewaonya baadhi ya mawaziri kutompotosha Rais John Magufuli kuwa fedha zimepotea, kutokana na baadhi ya watu kuficha majumbani kwenye magodoro wakati hiyo si...
View ArticleWalimu Watatu Watiwa Mbaroni Kwa Kuwazuia Wanafunzi Kufanya Mtihani wa Kidato...
POLISI mkoani Dodoma inawashikilia walimu watatu wa shule za sekondari kwa tuhuma ya kuwazuia wanafunzi wa kidato cha nne, kufanya Mtihani wa Taifa.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa...
View Article