Polisi Yapeleka Askari wengine 80 Kuongeza nguvu Katika Oparesheni Ya Kusaka...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeongeza nguvu kwa kutuma askari wengine 80 katika oparesheni ya kusaka majambazi inayoendelea katika maeneo ya Vikindu, wilayani Mkuranga mkoani...
View ArticlePICHA: Lowassa Akutana na Rais Magufuli
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa leo tarehe 27 Agosti, 2016 ameadhimisha Jubilei ya Dhahabu ya Miaka 50 ya Ndoa yake na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mtakatifu Petro...
View ArticleMagufuli: Ni Muujiza Kushikana Mkono na Lowassa
Rais Magufuli amesema anashukuru hafla ya Jubilei ya Miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa kuleta muujiza wa kukutana na kupeana mkono na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.Kauli hiyo...
View ArticleAskari Magereza Atiwa Mbaroni Kwa Kuingia Wodini Akiwa Amelewa na Kisha...
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia askari Magereza, Cleophas Chapaulinge kwa kosa la kulewa na kupiga risasi hewani akiwa wodini katika Hospitali ya Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga na kusababisha taharuki...
View ArticleGodbless Lema Agoma Kula Kwa Saa 48 Sasa
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ( Chadema) anayeshikiliwa katika mahabusu ya kituo kikuu cha Arusha Mjini amegoma kula kwa zaidi ya saa 48 sasa tangu alipokamatwaLema alikamatwa juzi alfajiri...
View ArticleWaziri Lukuvi: Serikali Tumedhamiria Kumaliza Migogoro Ya Ardhi
Na Sheila Simba- MAELEZOWaziri wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuwa Serikali imeanza kazi ya kupima ardhi nchi nzima kuanzia mkoani Morogoro.Akizungumza katika...
View ArticleTamko La Mtandao Wa Watetezi Wa Haki Za Binadamu Dhidi Ya Mauaji Ya Askari Wa...
Mtandao wa Watetezi wa Waki za Binadamu (THRDC) kwa niaba ya wanachama wake tunalani vikali maujai ya askari wa jeshi la polisi huku tukisisitiza kwamba askari wa jeshi la polisi wanaofanya kazi katika...
View ArticleProfesa Mbarawa: Serikali haijakurupuka kununua ndege za Bombadier Q400
Na Abushehe Nondo na Sheila Simba-MaelezoSerikali imesema kuwa iliamua kununua ndege mbili za abiria aina ya Bombadier Q400 kutoka nchini Canada kutokana na uhitaji wa huduma ya usafiri wa anga kwa...
View ArticleTaarifa kutoka SADC: Ukuaji wa demokrasia unaendelea kuimarika katika nchi...
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika -SADC- ambaye pia ni Rais wa Botswana Luteni Jenerali Dkt Seretse Khama Ian Khama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya mazungumzo na Mfanyabiashara Mohammed ‘MO’...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi wanaiathiri Serikali katika juhudi zake za kuboresha maisha ya Watanzania.Amesema Serikali haina mgogoro na wafanyabiashara...
View ArticleRais Magufuli Awaalika Wafanyabiashara wa Cuba Kuja Kuwekeza Nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaalika wafanyabiashara wa Cuba na Serikali ya nchi hiyo kuja hapa nchini kuwekeza katika uzalishaji wa sukari na kujenga viwanda vya...
View ArticleLowassa Aandika Waraka Mzito Kuhusu Oparesheni UKUTA... Asimulia...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ameandika barua kuhusu operesheni ya chama chake iliyopewa jina la Ukuta na jinsi ambavyo jeshi la Polisi na Serikali lilivyopanga ‘kuubomoa’.Katika...
View ArticleMakusanyo Kodi za Simu Yapanda Maradufu
Sheria ya Fedha ya Mwaka 2016 iliyopitishwa kuhusu utozaji ushuru kwenye ada ya kutuma na kupokea fedha kwenye miamala ya benki na simu, imeanza kuzaa matunda kutokana na ongezeko la mapato lililoanza...
View ArticleLowassa, Mbowe Watakiwa Kuripoti Polisi Keshoi Septemba 1
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Edward Lowassa na viongozi wengine waandamizi wameitwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwenda kuripoti kesho...
View ArticleBreaking News: Mbowe Atangaza Kuahirisha Maandamano ya Oparesheni UKUTA...
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo,Freeman Mbowe ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima hadi tarehe moja...
View ArticleNdege za Kivita Kutawala Anga la Dar Septemba 1
Septemba mosi mwaka huu inataraji kuingia katika histori ya Tanzania kutokana na matukio ambayo yanataraji kufanyika siku hiyo, matukio hayo ni pamoja na sherehe za miaka 52 ya Jeshi la Wananchi la...
View ArticleTaarifa Toka IKULU : Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.Kabla ya uteuzi huo Bw. Doto M....
View Article