Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania asimamishwa kazi kwa uzembe
Waziri wa Ujenzi Prof. Makame Mbarawa amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege ATCL Kapten Johnson Mfinanga na Mkurugenzi wa Uendeshaji Kapten Sadick Muze kwa kosa la kumchagua...
View ArticleBabu Atiwa mbaroni kwa kumbaka mjukuu wake
JESHI la Polisi, Mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kumbaka mjukuu wake mwenye umri wa miaka 12.Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kilimanjaro, Wilbrod Mutafungwa, aliwaambia waandishi...
View ArticleMwenyekiti wa mtaa adaiwa kumpa mimba mwanafunzi
Mwenyekiti wa Mtaa wa Sangabuye, kata ya Igombe wilayani Ilemela mkoani Mwanza anayejulikana kwa jina la John Mayala anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumtorosha na kumpa ujauzito...
View ArticleVyama 9 Vya Siasa Nchini Kufutwa Kutokana na Kutokidhi Vigezo Vta Kisheria
Vyama tisa vya siasa kati ya 22 vyenye usajili wa kudumu vipo hatarini kufutwa kutokana na kushindwa kukidhi vigezo na matakwa ya kisheria yaliyoviwezesha kupata usajili wa kudumu. Hatua ya kufutwa...
View ArticleUchawi Ni Utumwa : Nilimlisha Mume Wa Mtu Limbwata La Nyama Ya Bundi- Sehemu...
SEHEMU YA PILI….NASHIRIKI KUMFUNGA KICHAWI MUME WA MTU….Katika makala yangu yaliyopita , nilieleza jinsi mungu wa kabili alivyo niambia kuwa nina nyota ya uganga na hivyo ninatakiwa kusimikwa...
View ArticleTundu Lissu: Barua ya Sekretarieti ya Maadili ni njama ya kutengeneza...
TUMECHOKA kuvumilia! Ni kauli ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kudai kusakamwa na Serikali .Chama hicho kimetoa kauli hiyo leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar...
View ArticleMfumuko Wa Bei Wa Taifa Wa Mwezi Julai 2016 Umepungua Hadi Asilimia 5.1.
Na. Aron Msigwa – Dar es salaam.OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) imetangaza mfumuko wa Bei wa Taifa wa mwezi Julai 2016 na kueleza kuwa umepungua hadi kufikia asilimia 5.1 kutoka asilimia 5.5...
View ArticleAUDIO: Tundu Lissu Amjibu Rais Magufuli
Jumanee ya leo August 9 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam kutoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa za vitisho wanazokuwa wakizipata kutoka...
View ArticleBw. Hassan Abbas ateuliwa kuwa mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye amemtangaza Bw.Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali kuanzia Agosti 5 Mwaka huu.Uteuzi...
View ArticleWaziri Mkuu Kassimu Majaliwa agundua Ufisadi wa Kutisha soko la...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalumu katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya baada ya kuwepo kwa ubadhilifu katika...
View ArticleMahakama Kuu Yampunguza MAKALI Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP)
MAMLAKA ya kugomea dhamana za watuhumiwa aliyokuwa nayo Biswalo Mganga, Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), sasa imeondolewa na mahakama kuu.Awali, DPP alikuwa na uwezo wa kuzuia dhamana za baadhi...
View ArticleFreeman Mbowe na Tundu Lissu Waitwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu wameandikiwa barua na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, wakitakiwa kujieleza kwa matamko yao waliyoyatoa...
View ArticleGodbless Lema Amtumia Waraka Mzito Rais Magufuli
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amemuandikia waraka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akimsihi kuruhusu kufanyika kwa mikutano ya kisiasa nchini bila kujali...
View ArticleHabari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya Agosti 17
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya Agosti 17
View ArticleSerikali Yasitisha Fedha za 'field' kwa wiki mbili
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof Joyce Ndalichako amesema wizara hiyo imelazimika kusitisha malipo ya fedha za mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa muda wa wiki...
View ArticleKamishna Wa TRA Azindua Kampeni Ya Uhakiki Wa Namba Ya Mlipa Kodi (TIN)
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewataka wafanyabiashara katika jiji la Dar es salaam kuboresha taarifa za usajili wa namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) ili kuondokana na mfumo wa kizamani wa...
View ArticleMkurugenzi amwaga machozi mbele ya Kamati ya Bunge
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo mkoa wa Morogoro, Agnes Mkandya amemwaga machozi alipokuwa akiulizwa maswali na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).Tukio hilo...
View ArticleVIDEO: Masanja akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa, kaanza na MC pilipili
Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica ameifanya hiki kichekesho kifupi akiwa na...
View ArticleDk. Tulia afunguka, asema Ukawa walimtukana tusi kubwa
SIKU mbili baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kuahidi kufanyika maridhiano kati ya uongozi wa Bunge na wabunge wa upinzani katika kikao kijacho kinachotarajiwa kuanza Septemba 6, mwaka huu, Naibu...
View ArticleJWTZ Lawatoa Hofu Wananchi... Lasema Septemba 1 Litasherehekea Miaka 52 kwa...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo linaanza shamrashamra za maandalizi kuelekea siku ya maadhimisho ya 52 ya majeshi inayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi mwaka huu kwa kufanya usafi na...
View Article