Wafungwa Kifungo cha Maisha Jela Kwa Kumbaka Mama Mbele ya Mumewe na Watoto
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imewahukumu kutumikia kifungo cha maisha jela vijana wawili wakazi wa wilayani Chunya mkoani humo kutokana na kosa la ubakaji wa mwanamke mmoja waliyemtendea...
View ArticleBilionea wa Chadema Mustapha Jaffer Sabodo Akitosa Chama Hicho.... Aahidi...
MFANYABIASHARA maarufu, Mustapha Jaffer Sabodo ametangaza kutoa dola za Marekani bilioni 5 (Sh trilioni 10) kwa ajili ya kuwekeza mkoani Dodoma, ikiwa ni njia ya kumuunga mkono Rais John Magufuli...
View ArticleGoodbless Lema Amvaa Mkuu wa Wilaya Mbele ya Naibu Waziri Suleiman Jaffo
Mbunge wa Arusha Mjini, Goodbless Lema amemvaa Mkuu wa wilaya hiyo, Mrisho Gambo mbele Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleiman Jaffo akidai...
View ArticleMzee wa Miaka 64 Atupwa jela miaka 15 kwa kumiliki silaha Kinyume cha Sheria
Mkazi mmoja wa jijini hapa, Said Shomari (64) amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki silaha kinyume cha sheria. Shomari ambaye ni fundi saa, alitiwa hatiani na...
View ArticleMrema amtaka Lowassa akubali kwamba alishindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole ambaye pia ni Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amemtaka Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akubali kwamba alishindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na akae kimya hadi...
View ArticleMeneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale akamatwa na Polisi
Meneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ hivi sasa yupo mikononi mwa polisi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.Babu Tale amekamatwa leo na...
View ArticleMwanafunzi UDOM auawa kwa kupigwa na wenzake Wakati Wakitoka Baa
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Fredrick Joseph (25), ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na watu wanaosadikiwa kuwa ni wanafunzi wenzake...
View ArticlePolisi yawatia mbaroni watu watatu waliojiunganishia umeme Kinyemela Jijini...
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Wilayani Ilemela kwa tuhuma za kujiunganishia umeme kinyemela kwenye nyumba zao kinyume na utaratibu uliowekwa na TANESCO.Taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa...
View ArticleWaziri Mkuu Ayakataa Madawati Yaliyotolewa Na Tfs
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekataa kupokea msaada wa madawati uliotolewa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) baada ya kubaini yametengenezwa chini ya kiwango.“Ofisa Elimu njoo kagua haya madawati...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Avitaka Viwanda Vya Sukari Kuzalisha Asilimia 100 Ya...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amevitaka viwanda vya sukari nchini kuongeza mikakati ya uzalishaji zaidi ili mwaka 2020 Tanzania iwe imefikia kiwango cha kuzalisha asilimia 100 ya mahitaji yake.Waziri...
View ArticleMarekani Yaipatia Bilioni 895 Tanzania kufikia malengo
Serikali ya Marekani, kupitia shirika lake la Misaada ya Maendeleo USAID, imeipatia Tanzania msaada wa dola Milioni 407 sawa na zaidi ya shilingi Bilioni 895 zitakazotumika kwaajili ya kuendeleza sekta...
View ArticleMwalimu Aliyetuhumiwa Kufanya Mapenzi na Wanafunzi Auawa na Wananchi
MWALIMU Daniel Msalika (42) wa shule ya msingi Nyasosi, wilayani Bariadi, mkoa wa Simiyu amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando alikokuwa amelazwa akitibiwa majeraha.Majeraha hayo...
View ArticleSerikali Yatoa Tamko Zito Kuhusu NGOs zinazohamasisha ushoga
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wananchi na wadau kutoa taarifa, iwapo kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) zinazojihusisha na kuhamasisha vitendo vya ushoga...
View ArticleMadiwani wa UKAWA Wasusia Kikao cha Paul Makonda Kwa Madai Kwamba Anawadharau
Madiwani wa Ukawa wa Manispaa ya Kinondoni wamesusa kikao kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa madai kiongozi huyo hana uhusiano mzuri na viongozi wa upinzani. Jana,...
View ArticleHospitali ya Muhimbili kutumia mitandao ya simu kulipia huduma
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kuanza kutumia mitandao ya simu, kadi maalimu na kadi za benki kwa ajili ya kulipia huduma za matibabu ili kudhibiti changamoto za upotevu wa fedha na wizi...
View ArticleMahabusi waliojaribu kutoroka watiwa mbaroni
Mahabusi wawili kati ya saba waliotoroka chini ya ulinzi wa askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kilimanjaro, wametiwa mbaroni na kuhukumiwa kutumikia vifungo...
View ArticleCUF wadai wanasubiri Maalim Seif akamatwe, kurejea leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad anatarajiwa kurejea leo kutoka ughaibuni alikoenda kwa ziara ya takribani wiki tatu huku jeshi la polisi likijiandaa kumfikisha...
View ArticlePolisi Wamnyima Tundu Lissu Dhamana, Atupwa Rumande
JESHI la Polisi, kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemnyima dhamana, Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kumaliza kuhojiwa katika kituo kikuu cha...
View Article