Audio: Msikilize Rais Magufuli Akizungumzia Jinsi Atakavyoyapiga Mnada...
Rais John Magufuli amesema azma ya Serikali yake kuhamia Dodoma haraka iwezekanavyo ipo pale pale huku akiwaonya wale wataong'ang'ania kubaki Dar es Salaaam kuwa watakuwa wamejifukuzisha kazi...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Amjulia Hali Spika Wa Bunge, Job Ndugai
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi...
View ArticleMagufuli: Wapinzani Walisusia Vikao Vya Bunge Kwa Sababu Wanajua na Wao ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana July 29 2016 alianza ziara ya siku nne katika mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga na Geita akitokea mkoani Dodoma ambapo...
View ArticleTrafik wakusanya milioni 320 kwa siku nne Dar es Salaam
Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam limekusanya shilingi milioni 320.2 ambapo fedha hizo ni kutokana na tozo za makosa ya usalama barabarani.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleKiwanda Maarufu Cha Dangote Chatozwa Faini Ya Shilingi Milioni 15 Kwa...
Serikali kupitia Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limekitoza faini ya shilingi milioni 15, Kiwanda maarufu cha kutengeneza simenti cha Dagonte Industry limited kilichopo...
View ArticleHii Ndio Kauli ya Zitto Kabwe Kuhusu Kauli ya Rais Magufuli Jana Singida
Maelekezo ya Kiongozi wa Chama ( KC ) kwa wanachama wote wa ACT Wazalendo ( KC/01/2016 ).Tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 Utawala mpya umekuwa ukifanya kila juhudi kuminya uwezo wa...
View ArticleUSHIRIKINA..!! Kijana Aganda na Kukata Kauli Ghafla Baada Ya Kuogombana Na...
Mkazi wa Shunu kata ya Nyahanga mjini Kahama mkoani Shinyanga, Baraka John (22) amejikuta akishindwa kuzungumza baada ya kugombana na mpenzi wake MAGRETH JOHN nyumbani kwake katika tukio...
View ArticleMbowe Ahojiwa na Kuachiwa Kwa Dhamana.... Tundu Lissu Asisitiza Oparesheni...
MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema licha ya viongozi wa chama hicho kutishwa, kukamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi, bado msimamo wao kuhusu...
View ArticleJames Lembeli: Nipo Tayari Kurudi CCM Kumsaidia Rais Magufuli
MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kahama, James Lembeli, ameibukia katika mkutano wa Rais, Dk. John Magufuli, huku akimwomba kiongozi huyo kuhakikisha anakisafisha Chama Cha Mapinduzi (CCM).Lembeli ambaye...
View ArticleWaziri Mkuu: Wakurugenzi Watakaotoa Taarifa Za Uongo Kufutwa Kazi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitasita kuwaondoa katika nyadhifa zao Wakurugenzi wote watakaoshiriki katika kutoa taarifa za uongo kuhusu miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa...
View ArticleWafanyabiashara Wawili Wauawa Gesti Dar es Salaam
Watu wawili wamekutwa wamefariki katika nyumba ya wageni ya Kings Rest House iliyopo Mtaa wa Bumila, Gongo la Mboto jijini Dar huku miili yao ikiwa imeungua moto. Mmiliki wa gesti hiyo, Damian...
View ArticleWaziri Mkuu Aitaka Wizara Kuweka Mikakati Ya Kuendeleza Uvuvi Katika Kina...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuweka mikakati endelevu ya kuwawezesha wananchi kuvua katika maji ya kina kirefu cha bahari kwa kutumia meli kubwa na za kisasa...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa Afungua Maonyesho Ya Nanenane Mororogoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva wakati alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Monyesho ya Wakulima Nane mjini...
View ArticleRais Magufuli Amaliza mgogoro wa makazi Magomeni Kota
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemaliza mgogoro wa makazi wa Magomeni Kota uliodumu kwa kipindi kirefu.Hayo yamesbainishwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
View ArticleRais Magufuli Ahitimisha Ziara Ya Siku Nne Mikoa Ya Singida, Tabora Na Shinyanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Katoro na Buseresere wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Agosti 1, 2016Rais wa Jamhuri...
View ArticleMrema akutana na Madereva Bodaboda wa Kinondoni... Awataka wampe majina ya...
Mwenyekiti wa Parole Augustino Mrema amewataka madereva bodaboda kote nchini kujiepusha na tabia za kushiriki maandamano ya kisiasa yanayoandiwa na baadhi ya wanasiasa kwa lengo la kuvunja sheria za...
View ArticleTaarifa Toka Ikulu: Rais Magufuli Katoa Maagizo Mazito Kwa Viongozi Wote Hapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza viongozi wote wa kuanzia ngazi ya Mkoa hadi Kitongoji hapa nchini kufuatilia matumizi ya fedha zinazotolewa na Serikali kwa...
View ArticleUgonjwa wa Sumukuvu Wahatarisha Maisha Nchini...Umeua Watu 14 Mpaka sasa Huku...
Watu 14 wamefariki dunia katika wilaya za Chemba mkoani Dodoma na Kiteto mkoani Manyara kutokana na ugonjwa unaojulikana kitaalamu kama ‘Aflatoxicosis’ unaosababishwa na sumu kuvu (Aflatoxins) kwenye...
View ArticleDereva Ajali ya City Boy Iliyoua watu 30 Ajisalimisha Polisi
MMOJA wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya Kampuni ya City Boy iliyotokea Julai 4, mwaka huu na kutoroka, Boniface Mwakalukwa (37), amejisalimisha mikononi mwa polisi na kufikishwa...
View Article