Huu Hapa Ndio Ujumbe Mzito Uliopostiwa Na Lowassa Leo
Nina furaha kutimiza mwaka mmoja toka nilipojitoa CCM na kujiunga na CHADEMA.Uamuzi ule haukuwa rahisi,lakini kwa ushupavu, ujasiri na mwongozo wa Mungu nilifanya hivyo.Nilifanya uamuzi wa kihistoria...
View ArticleAgizo la Waziri Mkuu kuhusu wafanyakazi walioajiriwa kwa mkataba
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Halmashauri ya wilaya ya Temeke kuondoa wafanyakazi wa mkataba kwa ili kuwapa ajira ya kudumu kwa wenye sifa na kuwaondoa wasiokuwa na sifa ifikapo Julai 30 mwaka...
View ArticleWalimu 4 wamvua nguo na kumchangia viboko binti wa Kidato cha IV Mbeya huku...
VITENDO vya ukatili wa kijinsia na dhuluma dhidi ya watoto wa kike vimekuwa vikishamiri kila siku pamoja na kuwepo kwa taasisi za kutetea haki za wanawake na kuanzishwa kwa madawati ya Kijinsia kwenye...
View ArticleUSHIRIKINA !! Kijana Anasa Mlangoni Kwa Bibi Anayedaiwa Kumchezea Kishirikina...
Katika hali isiyo ya kawaida Mkazi wa Mtaa wa Majengo wilayani KAHAMA Mkoani Shinyanga aliefahamika kwa jina moja la MLINDA amekutwa amenasa katika mlango wa nyumba ya Bibi mmoja mtaani hapo, tukio...
View ArticleHATARI..!! Wawili Wafariki Dunia Kwa Unywaji Wa Pombe Kupita Kiasi Wilayani...
Mkazi wa Mbulu misheni mjini Kahama PETER RAMADHAN (27) na SHIJA DOMINIC (24) mkazi wa NYANDEKWA wamefariki dunia katika maeneo mawili tofauti kutokana na unywaji wa pombe kupita kiasi. Akielezea...
View ArticleLowassa Akoleza Moto CCM... Awata Wanaomuunga Mkono Ndani ya CCM Waendelee...
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ana uhakika kuwa bado kuna wanachama wanaomuunga mkono ndani ya CCM na sasa anawataka waendelee kushikamana naye, kauli ambayo...
View ArticleTaarifa ya Wizara ya Afya Kuhusu Kuvamiwa Kwa Shirika Lililokuwa Likigawa...
Wizara imepokea taarifa kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Shinyanga imevamia ofisi za shirika la Jhpiego mkoani humo na kukamata baadhi ya watumishi wake kwa madai ya shirika hilo kugawa...
View ArticleBingwa wa kubikiri Wasichana Nchini Malawi abainika ana UKIMWI... Rais Aamuru...
Rais wa Malawi, Peter Mutharika juzi alitoa amri ya kukamatwa kwa Eric Aniva ambaye hivi karibuni alibainika kufanya kibarua cha kuwabikiri mabinti wa chini ya umri wa miaka 13 zaidi ya 100.Amri hiyo...
View ArticleMwanamuziki Koffi Olomide aachiwa huru Kutoka Jela... Mahakama Yasema...
Koffi Olomide Alikamatwa Jumanne July 26 2016 nyumbani kwake Kinshasa kwa tuhuma za kumshambulia dancer wake wa kike wakati wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Nairobi na baadaye ikawa...
View ArticleIkiwa Zimesali Siku Tatu, Yadaiwa Waombaji wa Mikopo Elimu ya juu Wafikia 69,820
JUMLA ya wanafunzi 69,820 wameomba mikopo kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) hadi sasa ikiwa zimebaki siku tatu kufikia mwisho wa kupokea maombi hayo.Akizungumza jana jijini Dar es...
View ArticleDiamond, Alikiba, Navy Kenzo na Vanessa Wakutana Uso Kwa Uso AYCA2016
Diamond Platnumz, Alikiba, Navy Kenzo, Vanessa Mdee, Mama Salma Kikwete na wengine wametajwa kuwania tuzo za Africa Youth Choice [Awards] 2016. Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi ya Septemba 17 jijini...
View ArticleVitu alivyoongea bilionea Mohammed Dewji katika mpango wake wa kuinunua Timu...
Kuelekea mkutano mkuu wa Simba unaotaraji kufanyika Jumapili ya Julai, 31, shabiki na mkeleketwa wa Simba ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group),...
View ArticleCHADEMA Wasema Tamko la Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini ni Upotoshaji
Baada ya kulifanyia uchambuzi na kulitafakari tamko la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, lililotolewa jana na msajIli mwenyewe, Jaji Francis Mutungi tumeona ni jambo lenye afya kwa ustawi wa...
View ArticleSerikali Yatoa Onyo Kwa Wanaotaka Kujenga Kwenywe Njia Ya Bomba La Mafuta Ili...
Serikali imewataka watanzania kutokuwa na mashaka juu ya utekelezazaji wa mradi wa Bomba la mafuta baina ya Tanzania na Uganda wenye urefu kwa kilomita 1,443 kwani utakamilika kabla ya mwaka 2020. Hayo...
View ArticleRais Magufuli Atoa ONYO Kali..."Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Julai, 2016 ameanza ziara ya siku nne katika mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga na Geita akitokea mkoani Dodoma, ambapo...
View ArticleRais Magufuli: Chadema Msiwape Vijana Viroba Ili Watangulie Kwenye...
Juzi Chama cha Demokrasia na maendeleo ‘CHADEMA’ kilitangaza mikakati mitatu ya kupinga ilichokiita ukandamizaji wa haki na demokrasia na kuitangaza siku ya September mosi mwaka kuwa ni siku ya...
View ArticleMajengo ya Serikali Dar es Salaam kupigwa mnada ili wale wasiotaka kuhamia...
WAKATI suala la serikali kuhamia mkoani Dodoma likiwa dhahiri zaidi kila siku moja inayoongezeka, Rais John Magufuli ametangaza kuuza majengo ya wizara Dar es Salaam, mara atakapohamia yeye katika...
View Article