Rais Magufuli Amthibitisha Bw.gerson Msigwa Kuwa Mkurugenzi Wa Mawasiliano Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemthibitisha Bw. Gerson Partinus Msigwa kuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, (Director of Presidential Communication -...
View ArticleMadalali wa NHC wavamia ofisi ya gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na...
Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa ofisini kutokana na deni la pango la mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe.Mhariri Mtendaji wa...
View ArticleMsajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kufuatia mvutano wa kusimamishwa uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama...
View ArticleCheyo: Rais Magufuli ni Rais aliyesubiriwa tangu kuanza kwa uhuru
Na: Lilian Lundo-MaelezoMwenyekiti wa Chama cha UDP John Cheyo amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni Rais aliyesubiriwa kwa muda mrefu tangu kuanza kwa Uhuru.Cheyo ameyasema hayo alipokuwa...
View ArticleRais Magufuli apongezwa kwa kupambana na rushwa na kujenga mazingira bora...
Mwenyekiti wa Taasisi inayoshughulikia masuala ya Afrika (Africa Matters Limited) Mhe. (Baroness) Lynda Chalker wa Wallasey - Uingereza, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John...
View ArticleWaziri Mwinyi: Mipaka ya Tanzania iko Salama
Na: Lilian Lundo- MaelezoWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia watanzania kwamba mipaka ya Tanzania ni salama.Mhe. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo katika...
View ArticleOfficial video|rayvanny-natafuta kiki...Watch/Download
Official video|rayvanny-natafuta kiki [Watch/Download]
View ArticleRais Dkt. Magufuli Awapongeza JWTZ Kwa Kutimiza Miaka 52 Tangu Kuanzishwa Kwake
Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuwaunga mkono na kuwatumia wahandisi wa ndani wenye ujuzi mbalimbali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa viwanda, reli, barabara na...
View ArticleRais Magufuli amuapisha Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 01 Septemba, 2016 amemuapisha Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Ikulu Jijini Dar es Salaam....
View ArticleTanzania yateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Siasa, Ulinzi na USalama wa Nchi za SADC
Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali umemalizika katika mjini Mbabane Swaziland ambapo Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi muhimu na nyeti ya Siasa, Ulinzi na USalama ya Jumuiya ya Maendeleo...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua Ripoti Ya Hali Ya Hewa Barani Africa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Afrika wajiulize wanaweza kuchangia kitu gani katika kuboresha maisha ya mamilioni ya wakazi wa bara hilo.Ametoa kauli hiyo Alhamisi, Agosti 31, 2016...
View ArticleMapokezi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma Yaahirishwa Hadi Vikao vya Bunge Viishe
SERIKALI Mkoa wa Dodoma imesema Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atahamia rasmi mkoani humo mara baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge vinavyoanza wiki ijayo, Septemba 6.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan...
View ArticleRais Magufuli Atoa ONYO Kwa Walioficha Mabilioni ya Pesa Nyumbani, Atishia...
Rais John Magufuli amewataka watu walioficha fedha majumbani kuziachia ziingie kwenye mzunguko vinginevyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahali pa kuzipeleka. Amesema watu hao wamekuwa na...
View ArticleVifaa Vyote vya Freeman Mbowe Vilivyokamatwa Jana na NHC Vitauzwa Baada ya...
VIFAA vilivyokamatwa jana vya klabu ya usiku ya Bilicanas na ofisi ya gazeti la Tanzania Daima, vyote vinavyomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,...
View ArticleUVCCM yaivaa rasmi Chadema kwa kushindwa kufanya Maandamano ya UKUTA
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umewavaa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile walichodai kuendesha siasa za maigizo baada ya kushindwa kuzindua Operesheni...
View ArticleOrodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha tano Awamu ya pili
Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana 2,413 na...
View ArticleAfikishwa Mahakamani Kwa Kumuita Rais Magufuli ni Kilaza
ELIZABETH Asenga (40), mkazi wa jijini Dar es Salaam amepandishwa kortini jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuandika maneno ya kumkashifu Rais John Magufuli kupitia mtandao wa...
View Article