CUF YATANGAZA KUTOYATAMBUA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR.... PIA...
Kufuatia ubakaji wa demokrasia kupitia kile kilichoitwa uchaguzi wa marudio uliofanywa juzi tarehe 20 Machi, 2016, jana Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salim Jecha, alikamilisha kazi...
View ArticleRAIS MTEULE WA ZANZIBAR DR. ALI MOHAMED SHEIN KUAPISHWA KESHO KUTWA ALHAMISI...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema kuwa sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein zitafanyika siku ya Alhamisi Machi 24 katika uwanja wa Amaan, na maandalizi yote...
View ArticleCHIDI BENZ APELEKWA BAGAMOYO SOBER HOUSE KWA AJILI KUMSAIDIWA KUACHA MATUMIZI...
Meneja wa Diamond, Babutale akishirikiana na Kalapina wamemchukua Chidi Benz na kumpeleka Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili kumsaidiwa kuacha matumizi ya madawa ya...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AWASILI TUNISIA KUSULUHISHA MGOGORO WA LIBYA
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika wa Usuluhishi wa Mgogoro wa Libya, amewasili jana Jijini Tunis nchini Tunisia kushiriki Mkutano wa 8 wa...
View ArticleTUHUMA ZA RUSHWA: HUSSEIN BASHE NAYE AJIUZULU UJUMBE WA KAMATI YA BUNGE
Mbunge wa Nzega Mjini na Kiongozi wa chama cha CCM, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.Kutokana na shtuma hizo ameamua kuungana na Zitto...
View ArticleMABASI YAENDAYO KASI KUANZA NDANI YA WIKI HII
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mabasi yaendayo kasi (DART) yataanza kufanyiwa majaribio ndani wiki moja kuanzia sasa ili madereva waanze kuzoea njia na taa za kuongozea magari.“Wataanza na mabasi...
View ArticleCHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAMPONGEZA DK ALI MOHAMMED SHEIN KWA USHINDI WA...
Baada ya Dk Ali Mohammed Shein kutangazwa mshindi kwa zaidi ya asilimia 90, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatma ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa itaamuliwa na Rais kwa kufuata matakwa...
View ArticleSOKO LA FERI LATAKIWA KUTAFUTA GESI YA BEI NAFUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya soko la Kimataifa la Samaki la Feri, kukutana na makampuni mbalimbali yanayouza gesi ili kupata kampuni inayouza kwa bei nafuu zaidi lengo likiwa ni...
View ArticleUJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI TOKA UGANDA HADI TANZANIA UKO PALEPALE LICHA...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka Bandari ya Tanga utafanyika kama marais wa nchi hizo mbili...
View ArticleBINTI WA MIAKA 17 AJIFUNGULIA MTOTO CHOONI HOSPITALI YA AMANA DAR
Msichana wa umri wa miaka 17 ambaye alikuwa katika machungu ya uzazi, amejikuta akijifungulia mtoto chooni baada ya muuguzi mmoja wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kumtaka aende kuoga na...
View ArticleUTATA WAGUBIKA WALIOKUFA KWA KUNYONGWA GESTI.
Hatimaye kitendawili cha watu watatu walionyongwa kisha kuchomwa moto kwenye Gesti ya Mexico mjini Kyela, kimetenguliwa baada ya ndugu kujitokeza na kuwataja kwa majina halisi.Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
View ArticleRC MAKONDA AITISHA KIKAO NA WALIMU ILI KUJADILI MATATIZO YANAYOWAKABILI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paulo Makonda amemwagiza Ofisa Elimu,Raymond Mapunda kuitisha mkutano wa walimu March 26 mwaka huu ili kujadili matarizo yanayowakabili likiwemo la...
View ArticleRC KIJUU: WATUMISHI HEWA ANZENI KUJIONDOA KABLA SIJAWAKAMUA MAJIPU
Mkuu mpya wa Mkoa wa Kagera,Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu amewaagiza watumishi wasio na sifa za kuajiriwa kujiondoa kabla ya March 31 mwaka huu.Kijuu alitoa kauli hiyo jana...
View ArticleZANZIBAR YASEMA IKO TAYARI KUFA NJAA KULIKO KUWANYENYEKEA WAZUNGU WANAOPONDA...
Licha ya Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) kueleza kusikitishwa kwao na uchaguzi wa marudio Zanzibar kufanyika bila kuwapo maelewano ya pande zinazokinzana, baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia...
View ArticleCCM NA CUF WATWANGANA NGUMI PEMBA WAKATI WAKISHEREHEKEA USHINDI WA DR. SHEIN
Jeshi la Polisi jana walitumia mabomu ya machozi kurejesha hali ya amani baada ya wananchi kuanza kupigana kwa sababu za kisiasa wakati wakisherehekea ushindi wa Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YOTE YA TANZANIA LEO ALHAMISI MARCH 24,2016... KWA HARD...
Pitia hapa magazeti yote ya tanzania leo alhamisi march 24,2016... Kwa hard news, udaku na michezo
View ArticleSHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA (IMF) LARIDHISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI...
Ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) umeridhishwa na juhudi zinazofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli katika kuongeza juhudi za kupambana na rushwa. Hali hiyo itabadili mtazamo wa awali...
View ArticleWALINZI WATATU WA SUMA JKT WATIWA MBARONI KWA WIZI WA KOMPYUTA 50 CHUO KIKUU...
Walinzi watatu wa Suma JKT na askari mmoja wa Kituo Kikuu cha Polisi Mkoa wa Dodoma, wametiwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa kompyuta zinazokadiriwa kufikia 50 mali ya Chuo Kikuu Dodoma (Udom).Chanzo...
View Article