KAIMU MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU ATANGAZA KIAMA KWA WALA RUSHWA HASA...
Na Dotto MwaibaleTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru), imetoa onyo kwa taasisi nyeti nne hapa nchini ikiwemo wanaohusika na matumizi ya fedha za Umma kufuata sheria, taratibu na...
View ArticleCUF KUKINUKISHA KESHO KWA MAANDAMANO
VIJANA wa Chama cha Wananchi kupitia jumuiya yao (JUVI-CUF) wameweka msimamo kuwa ‘iwe iwavyo’ watafanya maandamano kesho visiwani humo kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo licha ya Jeshi la Polisi...
View ArticleMEMBE AZUNGUMZIA MPANGO WA KUSTAAFU SIASA..... AANZA KUANDIKA VITABU KAMA...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema hana mpango wa kustaafu siasa kwa sababu haina mwisho.Pia, amesema kwa sasa anafanya kazi ya uandishi wa vitabu kwa...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YOTE YA TANZANIA LEO JUMATANO JAN 27,2016, KWA HARD NEWS,...
Pitia Hapa Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatano Jan 27,2016, Kwa Hard News, Udaku Na Michezo.
View ArticleKAMPUNI YA LAKE OIL YAKAMULIWA BILIONI 8.5 KWA KUINGIZA MAFUTA NA KUKWEPA...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru), imetoa onyo kwa taasisi nyeti nne hapa nchini ikiwemo wanaohusika na matumizi ya fedha za Umma kufuata sheria, taratibu na kanuni....
View ArticleVIONGOZI WA UKAWA KUTOA MSIMAMO WAO JUU YA SUALA LA ZANZIBAR
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema utatoa msimamo juu ya hali ya siasa ya Zanzibar baada ya kikao cha kamati tendaji kuketi na kutoa msimamo. Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman...
View ArticleANDREW CHENGE ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA BUNGE.....ASEMA SUALA LA ESCROW...
MBUNGE wa Bariadi, Andrew Chenge na wabunge wawili wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na Najma Giga, wamechaguliwa kuwa Wenyeviti wa Bunge kwa kipindi cha miaka miwili na nusu.Uchaguzi huo ulifanyika...
View ArticleAMUUA MWENZAKE KWA KIPIGO BAADA YA KUMKUTA AKIMTONGOZA DADA YAKE
Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake.Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi...
View ArticleHOTEL YA MTOTO WA AMANI KARUME YATEKETEA KWA MOTO, VIJANA WAWILI WAHUSISHWA
Moto mkubwa umeteketeza hoteli ya kitalii ya Konokono Beach Resort iliyoko Michamvi mkoa wa kusini Unguja, inayomilikiwa na mtoto wa rais wa zamani wa Zanzibar, Amina Karume pamoja na wawekezaji wawili...
View ArticleWAZIRI KITWANGA AANIKA SIRI YA KUTUMBULIWA KWA VIGOGO WA MAMLAKA YA...
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) waliokumbwa na ‘operesheni tumbua majipu’, walikutwa na mali nyingi “kupita maelezo”, kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles...
View ArticleWAPAMBE WA WASSIRA KUKATA RUFAA KUPINGA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU ILIYOHALALISHA...
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza, kuipiga chini kesi iliyokuwa ikimkabili mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Esther Bulaya, wadai katika kesi hiyo wanatarajiwa kupinga uamuzi huo...
View ArticleHAUSIGELI AFARIKI KWA KULAWITIWA NA BOSI WAKE
Mtumishi wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo, Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, amekufa kwa madai ya kulawitiwa na bosi wake, Zablon...
View ArticlePOLISI WATATU WAFA KATIKA AJALI MBAYA YA GARI KWENYE MSAFARA WA RAIS MAGUFULI...
Askari polisi watatu wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya gari lao lililokuwa kwenye msafara wa Rais John Magufuli kutoka Singida kwenda Dodoma, kupasuka tairi na kupinduka.Rais...
View ArticleRAIS MAGUFULI AOMBOLEZA VIFO VYA ASKARI WALIOFARIKI DUNIA SINGIDA KWA AJALI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Ernest Mangu kufuatia vifo vya askari watatu...
View ArticleMAKAMISHNA WAWILI KATI YA SITA WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR WAMEPINGA...
Wakati wadau mbalimbali wa masuala ya kisiasa wakipinga kile kinachoendelea Zanzibar, nao makamishna wawili wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Nassor Khamis Mohamed na Ayoub Hamad wameibuka na...
View ArticleWAZIRI SIMBACHAWENE APONGEZA UCHAGUZI WA MEYA DAR ES SALAAM KUAHIRISHWA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, imetumia busara kuahirisha uchaguzi wa Meya uliopangwa kufanyika leo. Juzi halmashauri hiyo,...
View ArticleWAJANE WAWILI WAUAWA KWA KUKATWA MAPANGA WAKIDAIWA KUSAMBAZA KIPINDUPINDU...
Wajane wawili wa Kitongoji cha Bulinda wilayani Kyela wameuawa kwa mapanga wakidaiwa kusambaza ugonjwa wa kipindupindu baada ya kufiwa na waume zao katika eneo hilo.Waliouawa ni Geneli Kapwela (65) na...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AMOS MAKALLA AKAGUA MPAKA WA TANZANIA NA KENYA NA...
Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Kilimanjaro imeteketeza lita 140 za gongo, mapipa 40 na mitambo sita ya kutengeneza pombe hiyo haramu vyenye thamani ya Sh10 milioni. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,...
View Article