Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KAMILI KUHUSU WATU WATANO WALIOFUKIWA NA KIFUSI MGODINI SIKU 41...

 Mmoja wa wahanga hao akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama.Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu 5 kati ya 6 waliyokuwa wamefunikwa na kifusi kwa siku 41 katika machimbo madogo wa nyangalata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA WAMTANGAZA OLE MEDEYE KUWA MGOMBEA USPIKA

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umemteua, Goodluck Ole Medeye (Chadema) kusimama katika nafasi ya uspika,huku katika nafasi ya unaibu Spika akiteuliwa,Magdalena Sakaya wa Chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERTS!!!!! MBIO ZA USPIKA: CCM WAMTEUA JOB NDUGAI KUWANIA NAFASI YA...

 Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo imemteua aliyekuwa naibu Spika wa Bunge la 10 Job Ndugai, kuwa mwakilishi wa chama hicho atakayegombea nafasi ya uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS TUESDAY NOV 17,2015, FOR HARD NEWS,...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI WA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO WALAANI POLISI KUPIGA MABOMU YA MACHOZI...

Uongozi wa hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza, umelaani matumizi mabaya ya mabomu ya machozi yaliyofanywa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa lengo la kuwatawanya wafuasi wa chama cha demokrasia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIFO CHA MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA: BAVICHA WAAPA KULIPA KISASI

BEN SAANANE ambaye ni mkuu wa Idara ya sera na utafiti wa chadema akionyesha baadhi ya picha za mauaji ya viongozi wa Chama hicho yaliyowahi kufanyika na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUGABE: RAILA ODINGA AKIKANYAGA ZIMBABWE NITAMKAMATA NA ‘KUMHASI’......

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amemshambulia kwa maneno makali mwanasiasa mkongwe wa Kenya ambaye pia ni kiongozi wa chama cha CORDS huku akimpiga marufuku kukanyaga ardhi ya nchi hiyo.Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE ATOA KAULI NZITO KUHUSU UCHAGUZI WA SPIKA WA BUNGE

Ameandika Maneno haya Kwenye Ukurasa wake wa Facebook:|Hata Nyerere hakuwahi kujaribu kuleta Spika wake au Naibu Spika wake mfukoni. Alipomteua Chief Adam Sapi Mkwawa kuwa Waziri alifanyiwa rebellion...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: YANAYOJIRI LEO BUNGENI KATIKA UCHAGUZI NA KIAPO CHA SPIKA WA BINGE LA 11

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano linaanza leo Dodoma kwa kusomwa Tangazo la Rais la Kuitisha Bunge, uchaguzi na Kiapo cha Spika, Kiapo kwa wabunge woteMuda huu tayari wabunge wameanza kuwasili kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: JOB NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA...

Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma wamemchagua  mheshimiwa  Job Yustino Ndugai kuwa spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania.Katibu wa Bunge Mh Dkt Thomasi Kashilila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA MKUU WA MAJESHI KULISHWA SUMU : SERIKALI YAKATA RUFAA KUPINGA...

Upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Tanzania (DIT), Benedict Ngonyani, anayetuhumiwa kusambaza taarifa katika mtandao wa kijamii wa Facebook kuwa Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT : SERIKALI KUWABEBA WANAFUNZI WANAOFELI FORM TWO NA DARASA LA NNE

Wakati wanafunzi wa kidato cha pili wakianza mitihani jana, Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza kwamba wanafunzi watakaofeli mtihani huo hawatorudia darasa, bali wataandaliwa utaratibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT : MTU MWINGINE AUAWA KINYAMA GEITA... KIFO CHAKE UTATA MTUPU

Mtu ambaye hajafahamika jina wala makazi, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Kituo cha Afya Katoro wilayani Geita, baada ya kufikishwa na polisi akiwa hajitambui.Mtu huyo anasadikika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WATATU WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUMIA MAJINA YA CCM NA CHADEMA KUTAPELI

Watu watatu wamefikishwa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na mashtaka ya wizi wa kimtandao na kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu.Washtakiwa hao wanadaiwa kusajili namba za simu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIKIBA ANAHISI KAFANYIWA MCHEZO MCHAFU KWENYE TUZO ZA AFRIMA BAADA YA KUKOSA...

 Muimbaji huyo alikuwa ametajwa kuwania vipengele vinne kwenye tuzo za Afrima zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Kiba alitajwa kuwania Best Male Artist East Africa, Artist of The Year,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAWACHA ZANZIBAR WAANZA KUSHUSHA BENDERA ZA CHADEMA KUPINGA UTEUZI WA VITI...

 Baraza la wanawake la CHADEMA Zanzibar laanza kufunga ofisi za chama hicho visiwani humo kupinga walichokiita unyonyaji kwa kupinga uteuzi viti maalum. Baadhi ya Mikoa ya Pemba na Unguja wameanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALI YA MWAKA..!! KOBE 201 WALIOKUWA WAKISAFIRSHWA NJE YA NCHI WAKAMATWA...

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akikagua mabegi matano yenye Kobe 201 yaliyokamatwa usiku wa kuamkia leo na askari wanyamapori kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS WEASDAY NOV 18,2015, FOR HARD NEWS,...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAFULIA AFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUPINGA USHINDI WA CCM.......TUNDU LISSU...

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia chama cha NCCR -Mageuzi, David Kafulila, amewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LAANZA KWA SPIDI KALIII!!!! NAPE APIGWA DONGO KALIIII...CHEKI HAPA

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza jana mjini Dodoma na moto ambao wengi waliutabiri huku harufu ya ushabiki wa vyama ikitawala.Katika zoezi la kumtafuta Spika wa Bunge hilo...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live