Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAWATAKA WANANCHI KUJUMULISHA MATOKEO NA KUYASAMBAZA BADALA YA...

Chadema imewataka wananchi kujumlisha matokeo yote yatakayotolewa kwenye vituo vya uchaguzi na kuyasambaza badala ya kusubiri kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).Akizungumza jana kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA DK. KIGODA KUWASILI NCHINI LEO.

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, unatarajiwa kuwasili leo kutoka nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu na maziko kufanyika kesho.Mwakilishi wa familia,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI....AANZA KAMPENI MKOA WA PWANI...

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YA LOWASSA KATIKA UWANJA WA MNADANI JIMBO LA BUSANDA, MKOANI GEITA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JANUARY MAKAMBA ADAI MAGAZETI YANAMPENDELEA LOWASSA KWA KUMPIGIA KAMPENI

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba ameonesha kutokubaliana kwake na ripoti za kinachojili kwenye mikutano ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa na kueleza kuwa  Magazeti hutumiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOKATE, KIBA PICHA SASA ZINAIVA...JIONEEE HII

MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwandani wake Ally Salehe Kiba, wamethibitisha kuwa wana maelewano mazuri (picha zinaiva) baada ya mwishoni mwa wiki kuonekana pamoja katika bonanza maalum la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJUTO AREJEA TOKA MAKKA SHAVU DODO!

MABADILIKO! Baada ya kunusurika kwenye vifo vya mkanyagano vilivyoua mahujaji zaidi ya 4000 waliokwenda kuhiji katika mji wa Mina, Makka nchini Saudi Arabia, staa wa filamu za Bongo, Amri Athuman ‘Mzee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROSE NDAUKA: SITAKI KUWACHANGANYA MASHABIKI

MWANADADA staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema hataki kujihusisha na harakati za siasa kwa sasa kwa vile anaogopa kuwachanganya mashabiki wake.Mwanadada staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka.Akipiga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAYUU: WANAUME WANNE WAMEINGIA MITINI

Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’.NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesha nia ya kumuoa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THUSDAY OCT 15,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here......................................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA: MLIOBAKI CCM NIFUATENI CHADEMA.

Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka viongozi na makada wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA YA MTANDAO YAMTIA MBARONI MTAYARISHAJI WA VIPINDI MKOANI DODOMA

Mtayarishaji wa vipindi, Sospiter Jonas amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Dodoma Mjini akishtakiwa kwa matumizi mabaya ya mtandao.Sospiter alisomewa mashtaka hayo na Mwendesha Mashtaka wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAONYA WANAOPANGA KULINDA KURA VITUONI

Rais Jakaya Kikwete amesema watu wanaopanga kubaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza zoezi hilo kwa lengo la kulinda kura kunaashiria uvunjaji amani, hivyo serikali imejipanga kupambana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILIA YA NYERERE KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JANA OKTOBA 14

Mama Maria Nyerere, mjane wa baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jana aliungana na Wananchi wa kijiji cha Butiama katika misa takatifu ya kumbukumbu ya miaka 16 baada ya kifo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAPACHU ASEMA NYERERE ANGEKUWAPO ANGEJITOA CCM

Siku moja baada ya kutangaza kujitoa CCM, kada mkongwe wa chama hicho, Balozi Juma Mwapachu amesema uamuzi alioufanya ni sahihi ambao hata Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere angekuwa hai angeufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAYUU,SKAINA WAFANYA UCHAFU

SMATAA wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ pamoja na Skyner Ally ‘Skaina’ wanadaiwa kufanya uchafu baada ya picha za wawili hao wakionesha mahaba hadharani kusambaa.Staa wa filamu Bongo Alice Bagenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU, WEMA WAFIKA PABAYA

Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIYA ADAI KUPONZWA NA FILAMU ZA USALITI

Msanii wa filamu na muziki anayekuja kwa kasi, Taiya Odero.MSANII wa filamu na muziki anayekuja kwa kasi, Taiya Odero amedai kuponzwa na filamu za usaliti anazocheza kwa kuwa wanaume wengi wanamuogopa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIENS; BADO TISHIO JIPYA DUNIANI!

LIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:Wiki iliyopita nilieleza jinsi ambavyo kwenye miaka ya hivi karibuni, neno UFO (Unidentified Flying Objects) limechukua kasi hasa nchi za Magharibi, Asia na nyinginezo. Taarifa...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live