LOWASSA KUZINDUA KAMPENI YA ‘ TOROKA UJE ’ LEO… MAFURIKO KATIKA VIWANJA VYA...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kushirikiana na UKAWA leo wanatarajia kuzindua kampeni nyingine iliyopewa jina la ‘Toroka Uje’ katika viwanja vya Tanganyika Pekazi Kawe jijini Dar es...
View ArticleWIKI TATU ZA MHESHIMIWA LOWASSA NA MAGUFULI KUINGIA IKULU... HIZI NDIO...
Wakati zikiwa zimebaki siku 23 kuanzia leo kabla ya kupiga kura Oktoba 25, wagombea urais wakiwamo Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleUKAWA WADAI KUSHTUKIA BAO LA MKONO LA NEC... UCHAGUZI HUU NGOMA NZITO
Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima.Siku moja tu baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, kuvitaka vyama vya siasa kuacha kuituhumu, Umoja wa Katiba ya...
View ArticleBREAKING NEWS: NDEGE YA JWTZ YAANGUKA BAHARI YA HINDI..WANAJESHI WAWILI AMBAO...
Muda mfupi uliopita ndege kivita ya JWTZ imeanguka baharini na kusababisha vifo vya watu wawili. Lt. Col Ndongolo na Capt. Hamis waliokuwa kwenye ndege hiyo.Ndongolo alikuwa mkufunzi na Hamis alikuwa...
View ArticleLOWASSA KUZINDUA KAMPENI YA ‘ TOROKA UJE ’ LEO JIONEE ILIVYOKUA HAPA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kushirikiana na UKAWA leo wanatarajia kuzindua kampeni nyingine iliyopewa jina la ‘Toroka Uje’ katika viwanja vya Tanganyika Pekazi Kawe jijini Dar es...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA OCT 02,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Kutoka Tanzania leo IJUMAA OCTOBA 02, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote...
View ArticleACHOMWA KISU AKIMTETEA MKEWE!
Inasikitisha! Kijana aliyefahamika kwa jina la Khalid Abdallah (30) mkazi wa Kigogo Sambusa jijini Dar, amefariki dunia kwa kuchomwa kisu na mtu aliyefahamika kwa jina la Amani huku mkewe aitwaye Aisha...
View ArticleWASTARA ATESEKA, ATAMANI KUUA!
Hii ni habari ya kusikitisha! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kuteswa na kitu kilichoitwa pepo mbaya ambaye humsababishia hasira kali hasa anapokosewa ambapo anapokumbwa na hali hiyo,...
View ArticleHAMISA MOBETO: NDOA YANGU ITAZINDULIWA MITANDAONI
Mwanamitindo Hamisa Hassan ‘Mobeto’ amefunguka kuwa siku atakayofunga ndoa atafanya siri na watu wataiona kwa mara ya kwanza kupitia mitandao ya kijamii.Mwanamitindo Hamisa Hassan ‘Mobeto.Akizungumza...
View ArticleFAIZA AMBANIA SUGU ‘BETHIDEI’ YA MWANAYE
Msanii ambaye ni mpenzi wa zamani wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally juzikati alimfanyia mwanaye Sasha pati katika siku yake ya kuzaliwa lakini cha ajabu hakumualika mzazi...
View ArticleESMA: NAMSHANGAA SANA DIAMOND!
Dada wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma .DADA wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma amemshangaa kaka yake, (Diamond) kwa kuendeleza chuki...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE ATEKWA HUKO SIMIYU…HAJULIKANI ALIPO MPAKA SASA….
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limethibitisha kutekwa kwa mgombea ubunge Jimbo la Bariadi, kupitia chama cha ACT Wazalendo Masunga Ng’hozo na watu wasiojulikana.Akiongea na waandishi wa habari ofisini...
View ArticleLOWASSA ATAJA VIPAUMBE VYAKE 13 NDANI YA SIKU 100.
Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ametaja mambo 13 atakayoyafanya ndani ya siku 100 iwapo atachaguliwa kuwa Rais, huku akisema “atawakata kilimilimi” wanaombeza kuwa hawezi kuondoa...
View ArticleVIJANA SITA WA JKT BULOMBORA, KIGOMA WAFARIKI DUNIA BAADA YA GARI LA JESHI...
VIJANA sita waliokuwa katika mafunzo ya kijeshi ya kujitolea katika kikosi cha 821 JKT Bulombora mkoani Kigoma wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya gari iliyotokea jana...
View ArticlePOLISI WAKANUSHA KARATASI ZA KURA ZILIZOMPA ALAMA YA VEMA MAGUFULI KUKAMATWA...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limekanusha taarifa zinazodaiwa kuandikwa katika mtandao mmoja wa kijamii, zikidai kukamatwa kwa baadhi ya watu katika kituo cha polisi wilaya ya Masasi mkoani hapa...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI OCT 03,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticleNIMEKUWEKEA HAPA RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA, UINGEREZA NA HISPANIA KWA...
Najua mtu wangu wa nguvu ungependa kufahamu ratiba ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali ambazo zitachezwa siku ya Jumamosi ya October 3 na Jumapili ya October 4. Naomba nikusogezee karibu yako ratiba ya...
View ArticleHII HAPA LISTI YA WACHEZAJI WANAOWANIA MCHEZAJI BORA WA DUNIA MWAKA HUU WA...
Hii ni moja kati ya stori kubwa zilizoingia katika headlines October 2 katika vyombo vingi vya habari za michezo duniani, stori kutoka katika mtandao wa 90min.com umeripoti kuvuja kwa majina 59 ya...
View ArticleMAAJABU YA DUNIA..!! MTOTO HUYU AZALIWA NA NUSU KICHWA, HANA UBONGO LAKINI...
Jaxon Buell alizaliwa August 27 2014 huko Birmingham, Uingereza akiwa hana sehemu kubwa ya fuvu la kichwa pamoja na ubongo.Madaktari waliligundua tatizo la huyu mtoto tangu kipindi ambacho bado...
View ArticleHATARI KUBWA!!! MAFUTA TRANSFOMA KUKANGIA CHIPS.....WABONGO WENGI KUFARIKI
HATARI! Kufuatia kuwepo kwa madai kwamba, baadhi ya wakaanga chipsi mijini, hususan jijini Dar, wamekuwa wakitumia mafuta ya transifoma kukaangia chakula hicho, timu ya Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya...
View Article