NAPE AMSHAMBULIA LOWASSA.... ASEMA NI FISADI NA HAKUNA KAZI ALIYOFANYA BILA...
Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye ametumia dakika takribani 10 kumshambulia mgombea urais kwa kiketi ya Chadema, Edward Lowassa aliyewahi kuwa kada wa chama hicho. Nape...
View ArticleMPASUKO: KATIBU WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM MOSHI APEWA LIKIZO YA LAZIMA...
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Moshi Mjini, Zakaria Laizer amepewa likizo ya lazima ya siku 30, akituhumiwa kumuunga mkono mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.Kiini cha kupewa likizo hiyo...
View ArticleMAUAJI YA KUTISHA SIMIYU..!! WATU WATANO WA FAMILIA MOJA WACHINJWA KAMA...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu watano wamefariki dunia papo hapo kwa kukatwa katwa mapanga kama wanyama katika kitongoji cha Kisesa kata ya Bugalama wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu.Watu hao ambao...
View ArticlePICHA : MUHEZA NA KOROGWE WAMBEBA LOWASSA, ANGALIA MAFURIKO YAKE HAPA… HII NI...
Edward Lowassa, mgombea urais kupitia Chadema anaeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, leo amelazimika kusimama na kuwahutubia maelfu ya wakazi wa Muheza, Tanga waliojipanga barabarani....
View ArticleNEWS ALERT..!! AJALI MBAYA YA BASI LA NGORIKA YAUA ASKARI WA JWTZ NA KUJERUHI...
Watu wawili wamefariki dunia akiwemo askari wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ngorika kuigonga kwa mbele Toyota Costa eneo la Misugusugu mjini Kibaha...
View ArticleMCHUNGAJI PETER MSIGWA NA WAFUASI 61 WA CHADEMA WATIWA MBARONI NA JESHI LA...
JESHI la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani Iringa jana walitumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi zaidi ya 61 wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO SEPT 30,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Kutoka Tanzania leo Jumanne Septemba 29, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,...
View ArticleMSANII ROMA ADAI HAJAPATA BARUA YA WIMBO WAKE KUFUNGIWA... .AWAPA USHAURI...
Siku chache baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kutoa tamko la kuufungia wimbo wa Roma ‘Viva’, rapa huyo amesema kuwa bado hajapata barua rasmi ya Baraza hilo. Amesema yeye pia ameiona habari...
View ArticlePOLISI WASAMBARATISHA UTAFITI WA NANI MKALI KATI YA LOWASSA NA MAGUFULI...
Wakati tafiti za kienyeji zenye lengo la kupima kukubalika kwa wagombea urais, hasa Dk John Magufuli na Edward Lowassa zikizidi kuongezeka, polisi jijini Arusha mwishoni mwa wiki walitumia nguvu...
View ArticleNI MARUFUKU KUSAFIRISHA MASANDUKU YA KURA... TUME YASISITIZA MATOKEO...
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo...
View ArticleCCM WAITUHUMU UKAWA KUMWAGIA MIKOJO OFISI ZAO TANGA.... WADAI LOWASSA...
Chama cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha wafuasi wa vyama vinavyounda UKAWA kupiga mawe na kutupa chupa, baadhi zikiwa na mikojo, kwenye Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga jana, tarehe 28 Septemba...
View ArticleMAGUFULI: MAFISADI HAWATAKI NIINGIE IKULU… ASEMA HAWAWEZI KUMPIGIA KURA KWA...
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli, amesema mafisadi hawawezi kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa wanamwogopa. Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana kwenye mkutano...
View ArticleNOMA SANA : CCM WAMTIMUA MWANDISHI WA MWANANCHI KWENYE MSAFARA WAO BAADA YA...
Mwandishi wa gazeti la Mwananchi, Peter Elias ameondolewa kwenye kikosi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za kampeni za uchaguzi za mgombea wa CCM, Dk John Magufuli kwa madai kuwa aliandika...
View ArticleUNYAMA WA KUTISHA..!! MTOTO WA MIAKA 5 AMWAGIWA PETROLI NA KUCHOMWA MOTO,...
Mtoto Julias Makoye akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama kwa ajili ya Matibabu.Mtoto Julias Makoye (5) mkazi wa mwendakulima wilayani Kahama mkoani Shinyanga amenusurika kifo mara baada ya...
View ArticleUNYAMA: WATU WATANO WA FAMILIA MOJA WACHINJWA KAMA KUKU SIMIYU
Watu watano wamefariki dunia papo hapo kwa kukatwa katwa mapanga na kuchinjwa kama wanyama katika kitongoji cha Kisesa kata ya Bugalama wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu.Watu hao ambao ni wa familia moja...
View ArticlePICHA: RAY C AKIREJESHA KIUNO CHAKE KISICHO NA MFUPA, JIONEE MWENYEWE HAPA
Huenda jitihada za Ray C kukirejesha kiuno chake kisichokuwa na mfupa zimeanza kuzaa matunda!Kwa muda mrefu muimbaji huyo amekuwa akijaribu kuupunguza unene wake uliompoteza muonekano wake wa zamani...
View ArticleTFF IMEMFUNGIA MCHEZAJI NYOSO KWA MIAKA MIWILI KUCHEZA MPIRA WA MIGUU BAADA...
Kamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya...
View ArticleSERIKALI YAKANUSHA TWIGA KUTOROSHWA KWA NDEGE
SERIKALI imekanusha uvumi uliozagaa katika mitandao ya jamii wiki hii kuwa wanyama aina ya twiga wanatoroshwa kutoka pori tengefu la Loliondo na kupelekwa nje ya nchi.Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na...
View ArticleCHADEMA WAZIDI KUIKABA KOO TUME YA UCHAGUZI......WASEMA WATATANGAZA MATOKEO...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi nzima.Sambamba na kibano hicho...
View ArticleNCCR-MAGEUZI WATIBUA NJAMA ZA KUHUJUMU UKAWA........WAMTIMUA MAKAMU...
Ikiwa zimebaki siku 23 kufikia siku ya kupiga kura nchini, mapya yameibuliwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, akidai kuwa zipo njama chafu za kumdhuru na kutengeneza ushahidi wa...
View Article