Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

MWIGIZAJI MAARUFU 'DUDE' ATOA NENO HILI JUU YA RAIS MAGUFULI NI BALAAA...

$
0
0
HAPA mchezo! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtaka Rais John Pombe Magufuli kukanyaga spidi ya maendeleo kama alivyoonesha hivi karibu baada ya kuchaguliwa kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano.

 
 Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda,Dude alisema D.k Magufuli anapaswa aendeleze na mshtukizo huo wa kutembelea kila wizara ili kuibua uozo wao.

“Kwa kweli kwa kuwashtukiza vile atawakamata wengi sana na kama akifanya kwa mwaka mzima, naamini sekta za serikali zitakuwa vizuri sana, watumishi watawahi kazini, uzembe utapungua na hata rushwa. Isiwe tu nguvu ya soda,alisema Dude.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles