Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

UPDATES : TAARIFA ZAIDI KUHUDU AJALI YA BASI KUUWA WATU ZAIDI YA 30 NA KUJERUHI WENGINE WENGI HUKO SINGIDA BAADA YA KUGONGANA NA LORI LA MAFUTA

$
0
0
 
Basi la Taqbir namba T 230 BRJ likiwa eneo la tukio. 
 
 
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Tabora zinaarifu kua basi la Taqbir namba za usajili T 230 BRJ lililokua likitokea jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Geita limepata ajali majira ya saa 2 usiku maeneo ya Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida katika barabara kuu ya Singida-Tabora kuelekea Igunga. 


Shuhuda wetu anasema ajali hiyo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa baada ya kugongana na Lori la mafuta na kuharibika vibaya.
  
Picha za Basi hilo baada ya Ajali.

 

 


 


 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles