Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

AGIZO LA JANA LA RAIS MAGUFULI LATIMIZWA......UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE -MOROCCO KWA FEDHA ZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA UHURU WAANZA RASMI

$
0
0
Mafundi wakiendelea na  Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
  
Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha  za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.
Tazama Video hii




Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles