Polisi wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA wanayashikilia makontena 9 wanayoyatilia mashaka kuwa huenda yalikuwa yanatoroshwa Tanki Bovu, Mbezi Beach.
Madereva waliokuwa wanasafirisha makontena hayo baada ya kuhojiwa wamesema hawajui wanakoyapeleka na hawana nyaraka muhimu za kuonyesha kilichopo ndani.