UGANDA YARIDHIKA BOMBA LA MAFUTA KUISHIA BANDARI YA TANGA
WAZIRI wa Nishati na Madini wa Uganda, Irene Muloni amesema ameridhishwa na eneo lililotengwa kwa ajili ya utekelezaji mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Ziwa Albert hadi...
View ArticleMKUU WA MAJESHI JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AMPONGEZA DR SHEIN KWA USHINDI
MKUU wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein kwa kuchaguliwa tena na wananchi...
View ArticleMWANAFUNZI AFA KWA KUPIGWA NA RADI PORINI ALIKOKUWA AMEJIFICHA
Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Swaila, kata ya Mkwamba wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Maria Pangani (14) amekufa papo hapo baada ya kupigwa radi.Mwanafunzi huyo aliyekuwa akisoma...
View ArticleMFALME WA SAUDIA ARABIA AMUAHIDI RAIS MAGUFULI USHIRIKIANO MNONO
Mfalme wa Saudi Arabia Mtukufu Salman Bin Abdulaziz Al Saud amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa nchi yake imeichagua Tanzania kuwa nchi ya kipaumbele...
View ArticleMAMLAKA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA WILAYA YA MASWA (MAUWASA) MBARONI KWA...
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Maswa (MAUWASA) mkoa wa Simiyu, Lema Jeremiah (50) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Maswa akikabiliwa na makosa ya wizi wa...
View ArticleANNE KILANGO MALECELA AKOMAA NA WATUMISHI HEWA
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela ametoa siku sita kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tatu za Ushetu, Msalala na Kahama zilizopo wilayani Kahama kuhakikisha wanawakilisha kwake majina ya...
View ArticleMKUU WA MKOA WA ARUSHA ADAI YEYE NDO MWANZILISHI WA WAZO LA KUHAKIKI SILAHA...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amesema kazi ya kuhakiki silaha iliyoanza kwa wakazi wa Dar es Salaam, ilishaanza mkoani mwake takribani miezi miwili iliyopita na kwamba ndiyo maana matukio ya...
View ArticlePOLISI AMTANDIKA RISASI DEREVA WA DALADALA BAADA YA KUPISHANA KAULI
Polisi mmoja anadaiwa kumpiga risasi dereva daladala, Pistus Ngowi baada ya kutofautiana kauli.Tukio hilo lililotokea juzi saa tatu usiku, Kariakoo jijini Dar es Sallam lilisababisha madereva wenzake...
View ArticleSAKATA LA TUMBILI 61 WALIOKAMATWA UWANJA WA NDEGE LACHUKUA SURA MPYA
Serikali imeunda kikosi kazi kinachohusisha taasisi nyeti nchini kuchunguza sakata la kukamatwa kwa raia wawili wa Uholanzi wakiwa katika harakati za kusafirisha tumbili 61 kwenda nchini Albania.Kikosi...
View ArticleMAALIM SEIF SHARIF HAMADI AREJEA ZANZIBAR BAADA YA KUKAA MAPUMZIKONI SERENA...
Siku chache baada ya Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein kuapishwa baada ya kushinda uchaguzi wa marudio uliosusiwa na baadhi ya vyama vya upinzani, Katibu mkuu wa chama cha wananchi (CUF), Maalim...
View ArticleWANAJESHI 8 WA JWTZ WATIWA MBARONI WAKITUHUMIWA KUMUUA RAIA WALIYEDAI...
Askari nane wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kigona wakituhumiwa kwa mauaji ya Erick Nilamewa (16) waliyemtuhumu kuwaibia simu moja aina ya Techno na Sh....
View ArticleWALIOKULA MISHAHARA HEWA SINGIDA KUSHEREHEKEA SIKU YA WAJINGA RUMANDE
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mathew Mtigumwe ameagiza mamlaka zinazohusika kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria watu watakaobainika kutafuna fedha za mishahara hewa kabla ya mwezi huu...
View ArticleASKARI APORWA BUNDUKI AINA YA SMG NA MAJAMBAZI
Watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha mbalimbali za jadi, wamempora bunduki aina ya SMG askari polisi PC Shadrack.Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Mnyambuga alisema tukio...
View ArticleHABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI YA MARCH 27
HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI YA MARCH 27
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA HAINA MPANGO KWA KUTEKETEZA MENO YA TEMBO YALIYOHIFADHIWA
Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuwa kwa sasa haina mpango wowote wa kuteketeza meno ya tembo yaliyohifadhiwa ambayo yametokana na vitendo vya ujangili na vifo asilia vya tembo.Tamko hilo limetolewa...
View ArticleAJALI YA LORI YAUA WATU 7 NA KUJERUHI 10
WATU saba wamekufa na wengine 10 k u j e r u h i w a baada ya gari walilokuwa wanasafiri nalo aina ya Mitsubishi Fuso kupasuka tairi la mbele na kugonga kingo za barabara katika barabara kuu ya...
View ArticleMTOTO WA SIKU MOJA AIBWA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO
Mtoto wa siku moja ameibwa katika mazingira ya kutatanisha katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, akiwa pembeni mwa mama yake aliyekuwa amelala, mwenye umri wa miaka 16.Akizungumzia uporaji huo jana,...
View ArticleMADEREVA WATATU WA MALORI WAJERUHIWA KWA RISASI NA MLINZI WA HOTELI
Madereva watatu wa malori yaendayo mikoani na wasaidizi wao watatu, wamenusurika kifo baada ya kupigwa risasi sehemu mbalimbali za mwilini na mlinzi wa nyumba moja ya wageni iliyopo Ubena, Chalinze...
View ArticleDUNIA KIGANJANI INAWATAKIA WATEMBELEAJI WAKE WOTE HERI YA SIKUKUU YA PASAKA...
DUNIA KIGANJANI INAWATAKIA WATEMBELEAJI WAKE WOTE HERI YA SIKUKUU YA PASAKA NA MUNGU AWABARIKIPIA KWA MWENYE TANGAZO LOLOTE LILE OFA HIPO USISITE KUWASILIANA NA MKURUGENZI WA BLOG HII NA KUKUTANGAZIA...
View ArticleHABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMATATU YA MARCH 28
HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMATATU YA MARCH 28
View Article