UTAWALA WA RAIS MAGUFULI NI WA KIJESHI…..ASEMA PROFESA BAREGU:
SIKU moja baada ya Rais Dk. John Magufuli kuteua wakuu wa mikoa wapya, mtaalamu wa sayansi ya siasa, Profesa Mwesiga Baregu, ameibuka na kusema kuwa kuwapo kwa wanajeshi wengi wastaafu katika uteuzi...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YOTE YA TANZANIA LEO JUMATANO MARCH 16,2016 KWA HARD...
Pitia Hapa Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatano March 16,2016 Kwa Hard News, Udaku Na Michezo
View ArticleMKUU MPYA WA MKOA WA KAGERA MEJA JENERALI MSTAAFU SALUM MUSTAFA KIJUU ATOA...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu amewataka watu wote wanaopindisha sheria, majambazi na wahalifu wote kutafuta kazi nyingine halali za kufanya.Meja Kijuu aliyasema hayo...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGIZA KUFUTWA UMILIKI WA MASHAMBA MAKUBWA 11 WILAYANI NGARA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kufutwa mara moja umiliki wa mashamba makubwa 11 yenye ukubwa wa ekari 7,700 kwenye vijiji vya Kasharazi na Rwakalemera wilayani Ngara Kagera, ambayo hayana hati...
View ArticleUCHOMAJI KITUO CHA POLISI BUNJU A....WATUHUMIWA 17 WAACHIWA HURU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washtakiwa 17 kati ya 35 wanaokabiliwa na kesi ya kuchoma moto Kituo cha Polisi Bunju ‘A’ baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha...
View ArticleLOWASSA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU WANACHAMA WANAOFUKUZWA CCM WAKITUHUMIWA...
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amewapa neno wanachama wa CCM wanaotaka kufukuzwa ndani ya chama hicho wakituhumiwa kumuunga...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATCL), DAVID MATTAKA...
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na mashtaka sita yakiwamo ya matumizi mabaya ya madaraka,...
View ArticleBILLIONI 12 ZAKUSANYWA KUTOKA KWA WAKWEPA KODI
Na Raymond Mushumbusi- MAELEZOSerikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya takribani Sh. billioni 12 kutoka kwa wafanyabiashara ambao walikwepa kodi na kupewa muda wa siku 14 na Mhe....
View ArticleWAZIRI JAFFO: HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI INANUKA UFISADI
Naibu Waziri wa Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora, Selemani Jafo amesema Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya inanuka ufisadi unaofanywa na baadhi ya wakuu wa idara. Kauli hiyo ya waziri...
View ArticleMTOTO WA SIKU 5 AIBIWA HOSPITALINI USIKU WAKATI MAMA YAKE AKIWA AMELALA
Hali ya sintofahamu imeibuka katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru baada ya mtoto mchanga wa siku tano kuibiwa wodini katika mazingira ya kutatanisha. Tukio hilo limezusha hofu kwa baadhi ya...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YOTE YA TANZANIA LEO ALHAMISI MARCH 17,2016 KWA HARD...
Pitia Hapa Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Alhamisi March 17,2016 Kwa Hard News, Udaku Na Michezo
View ArticleRAIS MAGUFULI AKERWA NA MIKATABA MIBOVU YA KAMPUNI YA KUFUA UMEME YA...
Rais John Magufuli jana aliitaja kampuni ya kuzalisha umeme ya IPTL wakati akizungumzia matatizo yanayosababishwa na kununua umeme unaozalishwa na mitambo ya kukodi na kupiga marufuku mikataba hiyo....
View ArticleWATU 42 WATIWA MBARONI ZANZIBAR WAKITUHUMIWA KULIPUA NYUMBA YA KAMISHNA WA...
Jeshi la Polisi Zanzibar linawashikilia watu 42 wakituhumiwa kuhusika na mlipuko uliotokea juzi usiku katika nyumba ya Kamishna wa Polisi, Hamdan Omar Makame. Akizungumza na waandishi wa habari katika...
View ArticleWAZIRI KITWANGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amewataka wananchi wa visiwani Zanzibar kujitokeza kwa wingi Machi 20, 2016 ili waweze kupiga kura kwa amani na utulivu bila kubughudhiwa na mtu...
View ArticleBALOZI JUMA MWAPACHU ATANGAZA KURUDI CCM...ASEMA ALIFANYA KOSA KUBWA KUHAMIA...
HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM-MIKOCHENI 16/03/2016Ndugu zangu,Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu ya uanachama kwenye...
View ArticleRAIS MAGUFULI APIGA MARUFUKU KUKODI MITAMBO YA KUZALISHA UMEME
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 16 Machi, 2016 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi namba mbili, uliopo katika wilaya...
View ArticleTAARIFA YA WIZARA KUHUSU FILAMU ILIYOMPATIA TUZO ELIZABETH MICHAEL "LULU"
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKumekuwa na minongono mingi kutoka kwa baadhi ya wananchi kuhusu Filamu ya Mapenzi ya Mungu ya msanii Elizabeth Michael (Lulu) iliyoshinda tuzo ya Filamu bora Afrika...
View ArticleRC MAKONDA ATEMA CHECHE... ATOA MASAA 24 KWA WAKUU WA IDARA KUMPA RIPOTI YA...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewagiza wakuu wa idara wa Halmashauri za jiji la Dar es Salaam kutoa ripoti za matatizo ya wananchi na jinsi walivyojipanga ndani ya masaa 24.Makonda...
View ArticleMAJALIWA AMTUMBUA JIPU MHANDISI WA MAJI NYUMBANI KWA RAIS MAGUFULI
Majaliwa Amtumbua JIPU Mhandisi wa Maji Nyumbani Kwa Rais Magufuli Rungu lakuwatumbua majipuwatumishi wa ummawasiowajibika limetua kwaMhandisi wa Maji Wilaya yaChato, Peter Ngolemi baadaya Waziri Mkuu,...
View ArticleKIGOGO WA MADAWA YA KULEVYA ATIWA MBARONI DAR.... TRAFFIC DAR WAKUSANYA...
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa kilo moja, akiwamo anayedaiwa kuwa kigogo wa biashara ya dawa...
View Article