JESHI LA POLISI ZANZIBAR LATOA UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA CCM KUTAKA MAALIM...
Jeshi la Polisi Zanzibar limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa jeshi hilo linapanga kumkamata Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi, CUF, Maalim Seif Sharif...
View ArticleKIKWETE: NITAACHIA UENYEKITI WA CCM, LAKINI SITAACHA VIKAO VYA NDANI CCM
Moja kati ya hoja zinazogonga vichwa vya baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mabadiliko ya Uenyekiti wa Chama hicho ambayo yatamuwezesha mzee wa Kutumbua Majipu, Rais John Magufuli...
View ArticleTAARIFA MOTOMOTO: KINARA UPORAJI BENKI MBAGALA ATIWA MBARONI
Siku nne baada ya majambazi 12 kuvamia Benki ya Access tawi la Mbagala, jijini Dar es Salaam na kuiba Sh. milioni 20 na kusababisha vifo vya watu saba, mtu anayedaiwa kuwa kinara wa uhalifu huo ametiwa...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YOTE YA TANZANIA LEO JUMANNE MARCH 01,2016, KWA HARD...
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Tanzania Jumanne ya March ,2016
View ArticleHALIMA MDEE ATUPWA RUMANDE... MAHAKAMA YAKANA KUZUIA UCHAGUZI WA MEYA DAR
Wakati mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee akilala rumande akihusishwa na vurugu zilizotokea Jumapili wakati uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam ulipokwama, Mahakama ya Kisutu imelikana zuio...
View ArticleWAZIRI MKUU KUTUA JIJINI MWANZA LEO, NA HAYA NDIYO MAJIPU ATAKAYOTUMBUA
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa leo anatarajia kuanza ziara ya siku 14 katika mikoa ya Kanda Ziwa kukagua shughuli na miradi ya maendeleo. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo alisema Waziri Mkuu...
View ArticleRUFAA YA BABU SEYA NA MWANAYE KUANZA KUSIKILIZWA MARCH 11 MWAKA HUU
Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini Arusha, itapitia maombi ya rufani ya mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking na John Viking dhidi ya Jamhuri ya...
View ArticlePOLISI YAUA MAJAMBAZI WATATU.... BAADA YA KUPEKELIWA WALIKUTWA NA UJUMBE WA...
Watu watatu wanaosadikiwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi na ujambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi. Watu hao walikutwa na karatasi yenye ujumbe kwa aliyekuwa Kamanda wa Kanda...
View ArticleWASALITI NDANI YA CCM WAANZA KUTUMBULIWA MAJIPU
Huku kukiwa na taarifa kuwa wasaliti wa CCM wanaotarajiwa kutimuliwa wengi ni watu maarufu hasa viongozi wa ngazi za mkoa, tayari viongozi 21 wa Manyara, wameshatumbuliwa majipu bila ganzi. Jumla ya...
View ArticleThrough here NEWSPAPER TODAY WEDNESDAY MURCH,02.2016 story: ALL THE NEWS,...
Through here NEWSPAPER TODAY WEDNESDAY MUCH,02.2016 story: ALL THE NEWS, SPORTS AND HARD NEWS
View ArticlePolisi ,UKAWA Ngoma Nzito........Naibu Katibu Mkuu CUF Nassor Ahmed Mazrui...
Jeshi la Polisi limeendelea na kamatakamata ya wapinzani wa vyama vinavyounda Ukawa katika maeneo mbalimbali likieleza sababu tofauti za kijinai zinazohusishwa na masuala ya kisiasa.Mpaka sasa wabunge...
View ArticleDr. Bana: CCM Iheshimu Mfumo wa vyama Vingi
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mambo ya kijamii Dk Benson Bana amesema chama tawala nchini CCM lazima kikubali utamaduni na kanuni za...
View ArticleRais Magufuli akutana na kuzungumza na Rais Museveni wa Uganda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya Mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mheshimiwa Yoweri...
View ArticleCHADEMA Kususia ziara na Vikao vya Maendeleo Dar es Salaam
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi...
View ArticlePolisi Wafanya Upekuzi Nyumbani Kwa Halima Mdee
Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam jana lilifanya upekuzi mkubwa katika nyumba ya Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) baada ya kumtilia shaka kuwa na nyaraka muhimu za vikao vya uchaguzi wa Meya wa...
View ArticleLowassa Azidi Kuipasua CCM
Uamuzi wa Edward Lowassa kujiondoa CCM na kujiunga Chadema, bado unakitesa chama hicho tawala baada ya mikoa kuanza kuwashughulikia viongozi waliomuunga mkono wakati wa Uchaguzi Mkuu, huku baadhi...
View ArticleWauguzi sita Temeke wasimamishwa Kazi kwa kuuza gloves
Naibu Waziri wa Afya, Dk Hamis Kigwangalla amewasimamishwa kazi wauguzi sita katika hospitali ya Temeke kwa kosa la kuomba rushwa.Wauguzi waliosimamishwa ni Hadija Salum, Beatrice Temba, Agnes...
View ArticleSeleiman Jafo Amemvua Madaraka Meneja wa Mamlaka ya Maji Mji Mdogo wa Kisarawe
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Seleiman Jafo amemvua madaraka Meneja wa Mamlaka ya Maji Mji Mdogo wa Kisarawe mkoani Pwani, Listen Materu kwa kile alichodai ameshindwa kusimamia...
View ArticleKiwanda cha Vipodozi Feki chanaswa Kigamboni Dar
Mamlaka ya chakula na dawa nchini Tanzania TFDA imebaini kuwepo kwa kiwanda bubu kinachozalisha bidhaa za vipodozi nchini Tanzania zenye lebo ya SAME inayoonesha kutengenezwa nchini Uturuki kinyume na...
View Article