Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT!!!! "DILI LIMEBUMBURUKA".....MAGOGO YA MILIONI 300 YAKAMATWA...

Kontena 37 zenye shehena ya magogo aina ya mninga yenye thamani zaidi ya Sh. milioni 300 zimekamatwa zikiwa zinasafirishwa kuelekea nchini China bila kibali.Katika shehena hiyo, kontena 31 zimekamatiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ!!!! PAPA FRANCIS KUMFUFUA NYERERE.....MAMA MARIA NYERERE...

ZIARA ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis nchini Uganda imetajwa kuwa itafufua mchakato wa kumtangaza Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuwa mtakatifu.Kwa mujibu wa mtandao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT!!! MAJIPU MATANO SUGU ANAYOTAKIWA KUYATUMBUA RAIS MAGUFULI

Wasomi, wanasiasa na watu kutoka makundi mengine ya jamii wamesema Rais John Magufuli atapimwa katika miaka mitano ijayo kwa mambo makubwa matano yaliyoonekana kuwa ‘majipu sugu’ na changamoto kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWELI HAPA KAZI TUUUUUU!!!!! WATUMISHI WENGINE WATATU WASIMAMISHWA KAZI TRA

SERIKALI imewasimamisha kazi watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambao jana iliamriwa kwamba watahamishiwa mikoani. Watumishi hao ni Bw. Anangisye Mtafya, Bw. Nsajigwa Mwandengele na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATE!!!! ZITTO KABWE 'AKAABWA KOO' ZANZIBAR......APEWA SIKU 14 ZA KUOMBA...

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amepewa siku 14 kufuta kauli yake na kuomba radhi kwa kumhusisha rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na makosa ya uhaini....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARAKA WA KUFUTA ADA ELIMU YA SEKONDARI ( KIDATO CHA 1 HADI 4) NA MICHANGO...

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimumsingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne,kuanzia mwaka wa masomo wa 2016.Azima hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUDHIBITI UCHAPISHAJI WA KALENDA NA VITABU VYA KUMBUKUMBU KATIKA...

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ametoa ufafanizi wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima katikaWizara,idara na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THROUGH HERE NEWSPAPER TODAY SUNDAY NOV, 29.2015 FOR STORY INFORMATION,GOSSIP...

THROUGH HERE NEWSPAPER TODAY FRIDAY NOV, 27.2015 FOR STORY INFORMATION,GOSSIP SPORTS HARD NEWS..

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES!!!! MAAMUZI MAPYA YA RAIS MAGUFULI KUHUSU SERIKALI KUPUNGUZA MATUMIZI...

Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue ametoa ufafanuzi wa maagizo ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kuhusu kupunguza matumizi yasiyo yalazima katika Wizara, idara na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA ULIPITWA NA TUKIO HILI LA KUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU ALPHONCE...

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akiaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo.Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IKULU: KATIBU WA WIZARA AMBAYE NI GOIGOI AJIONDOE MAPEMA

Joto la utawala wa Rais John Magufuli limebadili utendaji kazi wa makatibu wakuu wa wizara mbalimbali waliozoea kukaa ofisini na sasa wanafanya kazi nje ya ofisi na kusikiliza kero za wananchi kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WALIOJIUZULU CHADEMA WAREJEA TENA

Viongozi wa Chadema Mkoa wa Rukwa waliotangaza kujiuzulu nyadhifa zao ndani ya chama hicho hivi karibuni, wamesitisha uamuzi wao na kurejea madarakani.Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ACHARUKA : POLISI WASIPOCHUKUA HATUA KWA WALIOMUUA MAWAZO TUTACHUKUA...

 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelitaka jeshi la polisi kuwachukulia hatua watuhumiwa wanaodaiwa kumuua aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo, likishindwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMAA AUA WATU WATATU AKIWEMO MKE WAKE KISA MKE KUDAI AMEOKOKA HATAKI TENA...

Polisi mkoani Ruvuma inamshikilia Amani Hyera (42), mkazi wa kijiji cha Kikunja wilayani Songea kwa tuhuma za kuwaua watu watatu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES!!!! WALIOMUUA MAREHEMU ALPHONCE MAWAZO, TUZO YA MO, MTIKISIKO TRA,...

NIPASHEMkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mohamed Enterprises, Mohamed Dewji maarufu kama MO, ameshinda tuzo ya “Mtu wa Mwaka” wa jarida maarufu la Fobes katika hafla zilizofanyika jijini, Johanesburg...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA SAHIHI KUHUSU MABUNDA YA NOTI KWENYE NDOO ZINAZENDELEA KUZAGAA...

Habari zilizosambaa mitandaoni kuhusiana na mabunda ya noti za dola ya Kimarekani kuwa zimekutwa nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa wa mtandao wa wizi bandarini na TRA sio za kweli, Globu ya Jamii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZ!!!! TAARIFA YA UPOTEVU WA MAKONTENA AZAM ICD TOKA SSB GROUP...

Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa kampuni ya Bakhresa inahusika na upotevu wa Makontena 349 yaliyoripotiwa hivi karibuni kuwa yametolewa bandarini bila kulipiwa ushuru....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THROUGH HERE NEWSPAPER TODAY MONDAY NOV, 30.2015 FOR STORY INFORMATION,GOSSIP...

THROUGH HERE NEWSPAPER TODAY MONDAY NOV, 30.2015 FOR STORY INFORMATION,GOSSIP SPORTS HARD NEWS...............................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERTS!!!! LOWASSA, MBOWE WATUA ALIPOUAWA ALPHONCE MAWAZO

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho Mhe. Edward Lowassa pamoja na viongozi mbalimbali wakitazama eneo ambalo Alphonce Mawazo alifanyiwa kitendo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU: TUMEDHAMIRIA KUWATUMIKIA WATANZANIA...TUTAHAKIKISHA MAPATO YA...

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa maslahi ya Watanzania wote na si kwa manufaa ya...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live