Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABOMU YA MACHOZI YARINDIMA ZANZIBAR KUWATAWANYA WAFUASI WA CUF WALIOINGIA...

Hali ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi amelazimka kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CUF walioingia barabarani kushangilia ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad ambaye amejitangazia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAANZA KUTANGAZA MATOKEO YA URAIS......MAJIMBO...

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza zoezi la kutangaza Matokeo ya Urais ambapo mpaka sasa majimbo matatu yametangazwa. Majimbo Yaliyotangazwa ni Jimbo la Makunduchi,Pache na LulindiKatika majimbo yote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AJITANGAZIA USHINDI WA URAIS ZANZIBAR..

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kusema kuwa baada ya chama chake kukusanya fomu zote za matokeo kutoka vituoni, yeye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ!!!! LOWASSA KAONGEA NA VYOMBO VYA HABARI MCHANA...

Nimewaita kueleza masikitiko yetu mawili haswa katika upande wa jeshi la Polisi. Tuna vijana wetu wanaofanya kazi za IT kwa kujitolea maeneo ya kinondoni na kijitonyama jumla ya vituo vitatu.Hawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ!!!!! MATOKEA YA URAIS: DK MAGUFULI ANAONGOZA MAJIMBO TISA,...

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jioni hii imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 13 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo tisa wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ!!!!! CCM WAONGEA NA VYOMBO VYA HABARI.....WAMESEMA HADI SASA...

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.Tathmini ya Upigaji KuraKama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEA YA URAIS: DK MAGUFULI ANAONGOZA MAJIMBO 17, LOWASSA MAJIMBO 10...

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Usiku huu imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 27 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo 17 wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS TUESDAY OCT 27,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here..............................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA UCHAGUZI: MAWAZIRI WATANO WA SERIKALI YA CCM WANG'OKA

Mawaziri watano wa Serikali inayomaliza muda wake wameanguka kwenye uchaguzi majimboni mwao, sambamba na wagombea wengine maarufu wa Bunge lililopita baada ya matokeo ya kura zilizopigwa Jumapili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM WALALAMIKIA KITENDO CHA MAALI SEIF SHARIF HAMAD KUJITANGAZA...

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema, Maalim Seif amevunja katiba na sheria kwa kujitangaza mshindi kabla ya matokeo halali ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (Zec).Akizungumza na waandishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ!!!! KILIMANJARO YAVUNJA REKODI ......MAJIMBO 7 KATI YA 9...

Mkoa wa Kilimanjaro, umevunja rekodi ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya upinzani kunyakua majimbo saba kati ya majimbo tisa.Mwaka 1995, upinzani ulinyakua majimbo sita ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGOGO WA UNGA JELA MIAKA 20, FAINI SHILINGI BILIONI 15

KIGOGO wa biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’, mkazi wa Kinondoni, Dar, Fred William Chonde amefungwa jela miaka 20 na faini ya shilingi bilioni 15 akitoka baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEREVA ALIYEUAWA KWA RISASI NA BOSI WAKE, ALIYESHUHUDIA ATOBOA SIRI

HAKUNA mauaji ya kikatili yaliyoacha machungu kwa ndugu na wananchi kama ya David Kalangula (36), dereva wa gari la kusafirisha mafuta ya petroli mikoani ambaye anadaiwa kupigwa risasi mbili na bosi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA: TUME YA UCHAGUZI INAMPE-NDELEA DK. MAGUFULI

MGOMBEA wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Ngoyai Lowassa, amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KISA UCHAGUZI...MADEREVA DALADALA DAR WALIA KUKOSA ABIRIA

Barabara ya Kawawa maeneo ya Kinondoni-Biafra hali ilivyoonekana, watu wachache barabarani.Watu wakionekana wachache tofauti na siku za kawaida. Hapa ni maeneo ya Kinondoni-Studio.Barabara ya Morogoro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ!!!! JWTZ YAVAMIA KIJIJI KUONDOA VIZUIZI BARABARANI

Vijana wa Jeshi la Wananchi jana walivamia nyumba za wananchi waliokaribu na barabara kuu ya kutoka Mbeya kwenda Malawi katika wilaya ya Rungwe na kuwataka waamke kuondoa vizuizi vya moto, magogo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMES LEMBELI AKATAA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA KAHAMA MJINI, ADAI YAMEJAA...

Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama mjini kupitia CHADEMA James Lembeli amesema hakubaliani na matokeo hayo kwakuwa yamejaa rushwa, mabavu ya vyombo vya dola na baadhi ya viongozi wa serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ!!! LOWASSA NA MAGUFULI WAENDELEA KUCHUANA KWA KARIBU...MPAKA...

Ushindani ni mkubwa sana kati ya Lowassa na Magufuli. Wote wanakabana kwa karibu sana katika majimbo yote yaliyotangazwa na tume.Hadi sasa ni ngumu sana kutabiri ni nani ataibuka kidedea. Tume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANGALIZI WA UMOJA WA ULAYA WATOA MAONI KUHUSU UCHAGUZI MKUU TANZANIA:

Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wamesema uchaguzi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa umeendeshwa vizuri lakini kasoro kadhaa zimesababisha baadhi ya wanasiasa kutilia shaka uhuru wa Tume za Uchaguzi NEC na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMES LEMBELI RETRACTS STATE LEGISLATURE RESULTS OF URBAN KAHAMA, FULL OF...

Former candidate in Kahama constituency through CHADEMA James Lembeli said he disagrees with the result because it is full of corruption, the heavy hand of state forces and some government officials to...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live