PITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI SEPT 19,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticleMAREKANI YATOA ANGALIZO UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA
Siku moja tu baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kutabiri kuwapo kwa ushindani mkali katika uchaguzi mkuu nchini utakaofanyika Oktoba 25, Serikali ya Marekani imeibuka pia na kutoa angalizo kuhusiana na...
View ArticleCHADEMA, NCCR-MAGEUZI WASHIKANA MASHATI VUNJO
HALI ya Umoja wa Vyama vinne vya Upinzani (UKAWA), si shwari ndani ya Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, kutokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na NCCR-Mageuzi kushindwa kuheshimu...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE WA CUF AHAMIA CCM
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI SEPT 20,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo..........................
View ArticleVIDEO: MBOWE AJIBU MALALAMIKO YA VIONGOZI WA NCCR-MAGEUZI....MSIKILIZE HAPA
MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema, wanaoleta chokochoko ndani ya umoja huo...
View ArticleLOWASSA KUITEKA TENA DAR ES SALAAM LEO
MGOMBEA urais wa Chadema na anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa anatarajia kuliteka tena Jiji la Dar es Salaam leo katika mikutano mitatu.Lowassa...
View ArticleMAKAMBA: WATANZANIA MCHAGUENI MAGUFULI
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amewaasa Watanzania kutofanya makosa kwa kumchagua Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kuwa...
View ArticleUVCCM YAMSHANGAA SUMAYE KUMPIGIA DEBE LOWASSA
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka amesema anamshangaa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kusaidia kampeni mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha...
View ArticleLOWASSA ATOA MSIMAMO SAKATA LA RICHMOND....AAHIDI KUKOMESHA UNYANYASAJI KWA RAIA
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), amesema utawala wa serikali yake hautanyanyasa wananchi wanaodaiwa...
View ArticleMAGUFULI AFUNIKA CHATO........MAELFU YA WANANCHI WAHUDHURIA MKUTANO WAKE LEO
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Mazaina Chato tayari kuhutubia wakazi wa Chato.Umati wa wakazi wa Chato wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya...
View ArticleLOWASSA ATOA MSIMAMO SAKATA LA RICHMOND....AAHIDI KUKOMESHA UNYANYASAJI KWA RAIA
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), amesema utawala wa serikali yake hautanyanyasa wananchi wanaodaiwa...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU SEPT 21,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo....
View ArticleSENTESI 6 KUTOKA KWENYE TWITTER PAGE ZA EDWARD LOWASSA NA DR.MAGUFULI
Mitandao ya kijamii imekua ikitumika sana pia wakati huu wa kampeni kueleka kwenye siku kubwa ya Wananchi kufanya maamuzi ya nani aichukue nchi hii kwenye awamu ya tano kama Rais ambapo vyama viwili...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE SEPT 22,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo
View ArticlePICHA 6 ZA MAFURIKO YA LOWASSA JIJINI DAR ES SALAM....ZITAZAME HAPA>>>>
Lowassa jana aliendelea na kampeni zake katika majimbo matatu ya Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni Ukonga, Kigamboni na Mbagala. Hizi ni Picha Za Maelfu ya Wananchi waliofurika Kumsikiliza
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATUPIA MBALI MALALAMIKO YA MBOWE
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imepuuza malalamiko ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) juu ya kauli ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Abdallah Bulembo, kuwa chama chake hakitakuwa tayari...
View ArticlePICHA NA VIDEO YA MAGUFULI AKIPIGA PUSH-UP KUONESHA YUKO FITI
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli akipiga 'push-up' kuonesha kuwa anauwezo wa kufanya kazi ukilinganisha na wagombea wengine.Tazama video ya Dr. Maguli hapo chini Akipiga Push-Up
View ArticleUTAFITI WA TWAWEZA WAIBEBA CCM....KAMA UCHAGUZI UNGEFANYIKA LEO 65% WALISEMA...
Taasisi ya Twaweza imetoa utafiti wake ambao inasema imefanya kwa wananchi wa Tanzania bara kutoka mikoa tofauti ya Tanzania. Swali la kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura mgombea wa chama...
View ArticlePICHA!!! MAGUFULI APOKELEWA KISHUJAA BUKOBA MJINI....TAZAMA MAFURIKO YAKE...
Umati wa wakazi wa manispaa ya Bukoba wakiwa wamefurika katika viwanja vya Gymkhana kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli...
View Article