Serikali Yamwaga Ajira za Walimu wa Sayansi na Hisabati
SERIKALI imetangaza kuajiri walimu wa masomo ya sayansi na hisabati katika shule za sekondari ambao wametakiwa kupeleka nakala za vyeti vyao vya elimu ya sekondari, vya taaluma ya ualimu (stashahada na...
View ArticleKamanda Sirro: Aliyetishwa na kauli ya Mzee wa Upako afungue kesi
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemtaka yeyote anayeona kuwa kauli iliyotolewa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako imetishia maisha yake,...
View ArticlePolisi Dar yawatia mbaroni watu 22 kwa kosa la uporaji katika magari
Kikosi maalumu cha kupambana na wizi wa kutumia silaha na wizi wa kutumia nguvu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kimewakamata watuhumiwa 22 kwa makosa ya kuwapora wenye magari na wapitanjia...
View ArticleWaziri Ummy azindua Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya...
Kwa mara ya kwanza mawaziri 11 wamekutana kwa ajili ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, huku Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikiweka wazi mpango wake wa kuanzisha...
View ArticleCUF Yakubali Kushiriki Uchaguzi wa Mbunge Dimani, Mwaka jana Walisusa Baada...
Kamati ya Utendaji ya CUF imepitisha majina matatu ya wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Dimani, Mkoa wa Mjini Mgharibi kisiwani Unguja. Wakati CUF imepitisha majina hayo...
View ArticlePicha za Rais Magufuli na mkewe walivyoshiriki ibada ya Krismasi mkoani Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mhe. Mama Janeth Magufuli, leo tarehe 25 Desemba, 2016 wameungana na waumini wa Jimbo Katoliki la Singida kusali Misa ya...
View ArticleRais Magufuli Atoboa Siri ya Kula Christmass Mkoani Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania,Dk.John Pombe Magufuli,amefichua siri ya kusali Krismasi kwenye kanisa la Parokia ya Moyo wa Yesu, mjini Singida mwaka huu.Ametaja siri hiyo kuwa wakati wa kampeni...
View ArticleTazama Hapa Video Mpya ya Wizkid iitwayo ‘Daddy Yo’
Mwimbaji staa wa Nigeria ambae alikua mgeni mualikwa wa FIESTA 2016 Mwanza na kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music Festival 2016 ametoa video nyingine kutoka kwenye maktaba yake. Itazame Hapa chini
View ArticleHaji Manara Amuombea Msamaha Jerry Muro Kwa Rais Wa TFF
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara amejitokeza kwa mara ya kwanza kumuombea msamaha mtani wake Jerry Muro ili kuifufua upya hamasa na kuongeza ushindani...
View ArticleTFF Yasema Mechi ya Simba na Yanga iko palepale
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa mechi ya ligi kuu Tanzania Bara ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kuchezwa Februari 18 mwaka 2017 iko palepale kwa kuwa bado...
View ArticleRatiba ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Disemba 30
Pazia la Mashindano ya Kombe la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Disemba 30, 2016 katika uwanja wa Amaan saa 2:15 Usiku ambapo kutakuwa na mchezo wa Derby ya Jangombe kati ya Taifa ya...
View ArticleWimbo Ambao Kenya Inataka Uondolewe Mtandaoni Kwa Kudhalilisha Dini unaoitwa...
Gazeti la Kenya liitwalo taifa leo limeripoti kwamba bodi ya filamu kwenye nchi hiyo imehuzunishwa na Msanii wa muziki wa Injili SBJ kuimba wimbo wa Injili ambao unadhalilisha Imani.Wimbo wenyewe...
View ArticleHapi Aishika Pabaya Kampuni Ya Zantel, Yalipa Mapato Zaidi Ya Milioni 687...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel Tanzania imelipa zaidi ya Sh milioni 687 baada ya kupewa siku saba na halmashauri hiyo iwe imelipa fedha hizo ambazo zilikuwa za kodi ya pango inazodaiwa na...
View ArticleWatu 7 Wafikishwa Mahakamani kwa kumchoma mkuki mdomoni mkulima
POLISI mkoani Morogoro imewafikisha mahakamani watu saba kati ya 12, kujibu tuhuma za kumjeruhi kwa kumchoma mkuki mdomoni hadi kutokea shingoni, Augustino Mtitu (35).Walipandishwa kizimbani jana...
View ArticleMapya Yaibuka Sakata la Kijana Aliyefariki Baada ya Nyoka wake Kuuawa na...
Tukio la kushangaza lililohusishwa na kifo cha Denis Komba (24) baada ya nyoka aliyekuwa naye kuuawa, limechukua sura mpya baada ya mambo kadhaa kuibuka.Hayo ni pamoja na familia kudai mzoga wa nyoka...
View ArticleMikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya yaongoza kwa maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI
Kutokana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi kupungua kwa asilimia 50 duniani kote na kupelekea watu milioni 2.1 tu kuambukizwa Virusi vya Ukimwi katika mwaka 2015,kumeibua matumaini mapya ya kuwa...
View ArticleMke wa anayedaiwa kutobolewa macho na ‘Scorpion’ atoa ushahidi Mahakamani
Stara Sudi, mke wa Saidi Mrisho ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jinsi alivyoshtuka baada ya kupokea simu aliyopiga mumewe kuwa amevamiwa na kuchomwa visu machoni, mgongoni na tumboni. Akiongozwa...
View ArticleWassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya
WAZIRI mwandamizi wa serikali ya Tanzania kwa awamu nne za uongozi, Stephen Masato Wassira, kupitia kwa wafuasi wake watatu, amekata rufaa Mahakama ya Rufaa, akipinga uamuzi wa Mahakama Kuu kwa...
View Article